Simba vs Yanga: Oct 03, 2012

Simba vs Yanga: Oct 03, 2012

Half time...ila kiukweli simba wana nafasi ya kuondoka na point zote 3...kingine mpira hauonekani vizuri, kutokana na rangi yake, cku nyingine watumie mweupe. Huu wa njano unataka kufanana na rangi ya pitch. Mi naangalia super sports 9
 
engmtolera hujajibu swali langu. Hayo maroroso uliyoweka hapo sio jibu la swali langu jombaa.
 
Last edited by a moderator:
Half time...ila kiukweli simba wana nafasi ya kuondoka na point zote 3...kingine mpira hauonekani vizuri, kutokana na rangi yake, cku nyingine watumie mweupe. Huu wa njano unataka kufanana na rangi ya pitch. Mi naangalia super sports 9
Sio half time ni kipindi cha pili na dakika ya 10.
 
mmh!huyu refa mbona anaelekea kuwa kituko...kadi kaziacha kwake nini
 
Kavumbagu keshatoa gundu,basi kuna magoli mawili hapa
 
Yanga wamepata goli lakini kipa kapokonywa mpira
 
Yanga = CCM, haifai na ife kabisa. Japo sipendi mpira wa Tanzania ila timu yeyote inayovaa jezi za CCM huwa naichukia.
 
linesmen leo yupo upande wasimba kama ilivyokuwa kwa yanga na lyon..
 
Hongereni watani zangu Simba.....So far mmecheza vizuri na mnastahili ushindi.......

Nina wasiwasi Nyoso anaweza kuwagahrimu pale nyuma...

Amri Kiemba kafunga goli zuri sana.....

Pamoja sana wana Yanga wenzangu
 
Back
Top Bottom