Simba vs Yanga: Oct 03, 2012

Simba vs Yanga: Oct 03, 2012

What a miss by Didier Kavumbangu.....

Kazi nzuri Mbuyu Twite
 
Naona Frank Domayo tangu aingie kabadilisha mchezo wa Yanga.........

Hamis Kiiza alikuwa anakimbiakimbia tu uwanjani
 
Yanga wanapoteza nafasi nyingi sana!
 
ngasa kaanza kuboa anajiangusha sana kweli ngasa yanga damu..
 
Yanga wanapata penalty!
 
Dakika ya 65 Said Buhanuzi anaipatia Yanga goli

Yanga 1-1 Simba
 
Back
Top Bottom