Simba vs Yanga: Oct 03, 2012

Simba vs Yanga: Oct 03, 2012

1. Joseph katuba
2. Silvatus polisi
3. Keny mkapa
4. Abdalah msheli
5. John mwansasu
6. Steven nyenge
7. Peter luis
8. Yusuf macho
9. Mohamed husein,
10. Victor john bambo
11. Edibily lunyamila.

Yanga 3 na express 1
 
Hivi hawa waamizi mbona wanaboronga hivyo tangu lini mchezaji akapewa kadi akiwa amelala chini?
 
hii ni rafu ya kadi nyekundu kabisa iko open kabisa mwamuzi hapa kayumba
 
mhuuuuuu! Boban ana bahati kwakweli; mwamuzi kayumba duh!!!!
 
Boban ni mchezaji mzuri sana............Ana kipaji kama cha Celestine Sikinde Mbunga....

Tatizo lake ni nidhamu..........

Ona kama hiyo foul aliyomchezea Chuji............Angekuwa Howard Webb angempa straight Red Card
 
Huyu Bobani analaana mpira gani ule.?
 
Dah boban anacheza uhuni hapa, ilikuwa red card
 
poor boban!ana bahati kwa vile refa mwenyewe ndo vile
 
Nilitegemea Refa ampe Kadi nyekundu Boban lakini si Simon Msuva kwa kudive.......

Very disappointing
 
kweli rage anasema ukweli red lazima sijui ilikuwa ya boban...
 
Back
Top Bottom