Abbitto
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 547
- 756
Sasa je hata Kama wewe ukiona mpambano umekushinda kifuatachoTiger ana uwezo wa kupigana kwa kusimamia miguu ya nyuma wakati anatoa kichapo kwa adui.
Ni mnyama ambaye ni mwepesi mno na anashambulia kwa kasi kuliko simba!
Ana uwezo wa kujitupa na kujigeuza upande wowote wakati wa mapigano kwa kasi na kwa nguvu zote.
Bahati mbaya anachoka haraka tofauti na simba!
Simba anaweza asiwe na ufanisi wa mbinu za kupigana kama tiger lakini ana ujasiri na hachoki. Anapigana mpaka tone la mwisho la damu hata apigwe vipi hakimbii.
Tigers wana nguvu na ufanisi lakini ni wazembe. Anashambulia kwa kasi lakini akichoka anakimbia pambano!
Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna video niliona ng'ombe wanashindwanishwa nani zaidi kwenye kupigana bas huo mmoja alianza kwa makeke mengi watu wakawa wanamshangilia kumbe mwenzie anausoma mchezo
Alivyoona kachoka yule aliyekuwa anausoma mchezo akaanza alimla kichwa kimoja yule ng'ombe akawa Kama kapigwa butwaa Sasa yule mwingine akarudi nyuma akamfuata kwa spidi bas yule ng'ombe alikimbia akatoka nnje ya uwanja watu walizomea dah nikikumbukaga nacheka



Sent using Jamii Forums mobile app
