Simba vs Tiger

Simba vs Tiger

Sasa umeanza kuleta mzaha, kama sio mzaha basi ni mahaba. Tunapoteza radha ya thread kwa mambo kama haya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima upoteze "radha"

Narudia tena SIMBA sio kwamba anamuogopa TIGER pekee bali hata MBWA MWITU anaogopwa na SIMBA

Kila nukta nayoandika ishakua calculated sibahatishi
 
Chief
Ushahidi wa kuokota si ushahidi...

Yaani mtu kujiandikia story ya kusadikika tu,ndio wataka kila mtu akubali.....?!!!

Nadhani ww ni Mtu Asia
Watu wa Asia wengi wao wana Propaganda mbaya sana dhidi ya Simba
Lkn wanafeli...
Mmoja wapo ni wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Simba anamkimbia mbwa mwitu tena hata nyuma hageuki, ajabu ni kwamba mbwa mwitu anamuogopa binadamu

Yani kiufupi we unaweza ukawa jasiri kuliko hata simba mwenyewe

Ukiacha mahaba yako, hata wewe una fight naye mbona fresh tu

Nimekuwekea hapo SOURCE kutoka BBC we unakuja kusema propaganda za ASIA hivi nyinyi wa africa mna nini lakini?
 
Huu ndio uhalisia

Na si Porojo

Ila vita

Walichonganisha makusudi

Ili kumjua mbabe ni nani....!!!

Ila
Simba ni kiumbe mwengine kabisa katika mapambano

Mfalme wa Pori
Baba Lao
Nilishaona battle ya simba vs tiger wakuu sio poa, ilikua hivi wote walikua shimoni sijui waliingia vipi so hakuna aliekua anaweza kutoka yani ulipigwa mkono sio poa ilifikia point tiger alikua hawezi kuamka alikua anapigana kalala chali simba ndo alikua bado yupo active alikua anapigana akiwa bado kasimama ila kajeruhiwa balaa dam zimamwagika. Mwisho wakawa wote wanatazamana. Nilichogundua simba anapumzi kuliko tiger so naweza kusema simba ni habari nyingine anapigana mpaka kufa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kumfananisha simba na hivyo vipaka vingine.Ayo mapaka mengine hawana jambo lolote zaidi yaujanja ujanja tu wakuruka ruka.na pia achana na mambo yakupigana kwasababu kupigana kwa wanyama wakati mwingine kunategemeana na mood na sio wakati wote wanakua maadui ila angali maisha halisi. kwamaswala yote ya porini Mfalme ni Simba.Pia nikupe angalizo kua ukiona mnyama anapatikana mapori ya bara la AFRICA kamwe usithubutu kumlinganisha na wanyama wa mabara mengine.Wanyama wa Africa ni more aggresive ukicompare na species zinazopatikana mabara mengine.Nahii nikwaviumbe wote kuanzia wadudu wadogo hadi Tembo.
 
kimbe mazingira yanaweza changia mood ya mnyama.

kama tiger analeta shida kwa simba akiwa yupo huko kwao,vipu angekuwa anapatikana africa???

simba ana wababe wake kibao tu anawagwaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tigers huwa wana hit and run yan tiger anakupa kichapo ndan ya dk tano tu amekujeruhi Sana akiona huf huwa anasepa simba huwa linapigana bila kuchoka yan do or die
 
Mkuu, nilazima useme; bite force
relative to its body weight/size hapo Jagusr anawadi Cats wote.

Vinginevyo sio sawa hata kidogo kwamba Jaguar anamzidi Simba au Tiger kwa bite force.
mkuu kuna sehem nilisoma kuwa jaguar anauwezo wa kucrush skull ya pray wake like kama hao caiman tofaut na tiger au simba kwa upande wao sijasikia sifa kma iyo
 
Basi History

Inampa heshima yake tokea hujazaliwa Chief
Kuanzia katika Vitabu vya Dini mpaka vitabu vingine mbalimbali

Sent using Jamii Forums mobile app
Sifa gani
Basi History

Inampa heshima yake tokea hujazaliwa Chief
Kuanzia katika Vitabu vya Dini mpaka vitabu vingine mbalimbali

Sent using Jamii Forums mobile app
Fatilia historia ya mapsmbano kati ya simba na Tiger 🐯

Simba kashinda kwa 5% huku Tiger akishinda kwa 95%
 
mkuu kuna sehem nilisoma kuwa jaguar anauwezo wa kucrush skull ya pray wake like kama hao caiman tofaut na tiger au simba kwa upande wao sijasikia sifa kma iyo

Mkuu, Caiman ni miongoni mwa chakula kikuu cha Jaguar, yaani Jaguar huogelea mtoni kumshika Caiman, hapo utaona kwamba Jaguar ni adapted katika mazingira ya kukamata hao Caiman, hii ni tofauti na Tiger na simba ambao sio adaptive katika mazingira hayo na ukamataji wa aina hiyo ya Jaguar, kama Tiger au simba wangalikuwa wapo huko Amazon na wao wakawa wanakamata Caiman kwa aina ya Jaguar hapo bila shaka tungeweza kujua kwamba na wao wanaweza zaidi kupasua Skull ya Caiman from the bite by far kuliko Jaguar.

Ni hivi; Jaguar bite pressure ya meno yake ni kubwa sana proportional to its weight or size kuliko Tiger na Simba, mfano, kama pressure ya bite ya Jaguar ni 2N/m² na uzito wake ni kilo 70, halafu Tiger au Simba pressure bite yake iwe 3N/m² na uzito wake uwe kilo 130, hapo utaona; Jaguar ratio=(2÷70) ni kubwa kuliko Tiger/Simba ratio ambayo ni (3÷130).

Ulinganisho wa Bite pressure ya Wanyama tofauti (species tofauti) huangaliwa kwa njia hiyo.

Lakini utaona bite pressure ya simba na Tiger ni 3 ambayo ni kubwa kuliko 2 ya Jaguar. (Huo nimeweka ni mfano tu ili upate kunielewa lakini bite pressures za hao wanyama sizijui ila nahakika kwamba bite pressures za Simba na Tiger ni kubwa kuliko za Jaguar hata kuliko chui pia).
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom