Pax Vobiscum
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 455
- 764
Mkuu umeongelea wanyama watatu tofauti huyo anayebeba mamba si chui Ni Jaguar na wale si mamba km Hawa wa Africa ,Kwa mimi naona tiger is better
Huyu tiger anauwezo wa kuingia kwenye mto na kumchukua mamba akiwa mle mle kwenye maji jambo ambalo sio rahisi ukizingatia na kwamba nguvu ya mamba ni maji lakini si kwa chui
Halafu hata skills za uwindaji chui yuko vizuri zaidi, kama silaha basi naweza kumfananisha na AK47 wakati simba namfananisha na gobole
Action za chui ni noma hadi ndege anawinda, yani anajiviringa juu huko huko aliko ndege kisha anamdaka kwa mikono kama mtu
Simba dume ndo kabisa hata kuwinda halijui lenyewe kula kulala tu kazi zote limemuachia shemu
Huyo anayeruka juu Hadi kukamata ndege Ni Duma( cheatter) km sijakosea spelling
Tiger wanapatikana India kiuwezo hawezi kimfikia Simba
Simba Ni habari nyingine
Daima toa bila kukumbuka na Pokea bila kusahau
anapatikana marekani ya kusini huyo unaemuita mamba ni alligator
... tiger kwa asili anapatikana Asia ... na kwa taarifa tu hakuna mnyama anaeweza kufanya huo upumbavu wa kuwinda mamba mtoni ( the strongest bite on earth
) Hakuna mnyama anaeweza kuwinda hawa jamaa nile crocodile au salt crocodile labda alligator they’re more like lizards than mazafaka crocs