Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 50,165
- 123,285
Yani hawa tiger wangepunguza hata idadi ya simba wangebaki wenyeweUmeongea point kamanda...simba hawezi winda peke yake bila kuwa wa4 mpaka wa5,6...na huwezi kuta anawinda alone, ndio maana huwa wanatembea whole family ..wakati chui, tiger, panther and jaguar mara nyingi wana winda wakiwa wawili ama mmoja tu.
Tiger wangelikuwa wanaishi mbuga zetu wangewinda aina zote za wanyama mpaka mamba..


nae basha kweli sasa mbona kama anamnusa simba
kinyeo, alikuwa anataka kumpanda au!!
🤣
