Naomba. Nijibu hizi hoja kidogo, mkuu.
Kwanza, yule unaye ona anaopolewa katka maji, si mamba, ni jamiii za mamba. Hawapo na nguvu sana, wala ubabe mwingi. Ukikutana na mimamba yenyewe, humtoi katika maji.
Pia yule unasema anaye mchomoa huyo mnyama jamiik ya mamba, si tiger. Jaguar ndio huwa ana ubabe huo.
Twende sasa, kuhusu simba.
Ukiangalia life style simba sio kweli kuwa simba dume hajui kuwinda au kula kulala, jamaaa anakazi nyingi sana, kuhakikisha jike wake na pride ipo salama. Simba dume, ana teka na kumiliki himaya na utawala, hapo anaweka mipaka na hukagua mipaka yake, kumhakikishia mkewe aman akawinde alete nyumbani. Hiii tunasema, Baba nipe ulinzi, na faraja nikupe Chakula na penzi.
Simba dume, hapo tunasema anakula mafao yake tu, ni kama mfanyakaz akisha fanya kazi miaka mingi na kustaafu, anakaa home ana kula mafao. Simba dume akifika wastan wa miaka miwili, Hufukuzwa kwao na kuanza kuwinda na kujitafutia yeye kama yeye Man alone, kwa hiyo hiko hakafukuzwa, hukaaa sana karibh na mama kujifunza kuwinda. Kipindi ambacho, ukimuangalia huweza kuhisi ni jike, maana anakuwa hana Zile nywele, labda uchunguze via vya uzazi. So, sio kweli kwamba dume hajui kuwinda.
Pia ktk hiii pride, ikitokea mawindo yamekuw magum, wanyama ana nguvu sana. Baba lao, huwenda kuset kitambo na kuongeza nguvu, kama kawaida.
Simba mmoja, Tiger mmoja hawezi mchomoa mamba kwenye maji, mbabe wa mamba kwenye maji ni kiboko peke yake. Ngoja nipunguze maneno nijibu hoja ya mtoa mada
Simba na Tiger, nani bingwa???
Katk kulinganisha wanyama, huangalia nguvu ya mnyama kiasili na kimaumbile yao. Simba nguvu yake na maumbile ni kubwa kuliko MBWA. Hii huja automatically simba anapiga MBWA. Lakin Tiger naye yupo vziur ana nguvu na nin mkubwa.
Nani mshindi, ?? Inategemea kwa hali ya mmoja mmoja yupojs walipo kutana?? Mbinu alizo adopt ktk mawindo na mapigano.
So, simba anaweza kalishwa na tiger, tiger anaweza kalishwa na simba. Kutegemea na hali zao kwa wakat huo