Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,843
- 7,250
Source?Sifa gani
Fatilia historia ya mapsmbano kati ya simba na Tiger 🐯
Simba kashinda kwa 5% huku Tiger akishinda kwa 95%
Source?Sifa gani
Fatilia historia ya mapsmbano kati ya simba na Tiger 🐯
Simba kashinda kwa 5% huku Tiger akishinda kwa 95%
Post za juu huko nimeweka unaweza fatiliaSource?
Ingia YouTube tuu andika lion vs tiger utaiona ni video ya kwanza kabisa
apoo nmekuelewa boss ..thnks kwa knowledge mpyaMkuu, Caiman ni miongoni mwa chakula kikuu cha Jaguar, yaani Jaguar huogelea mtoni kumshika Caiman, hapo utaona kwamba Jaguar ni adapted katika mazingira ya kukamata hao Caiman, hii ni tofauti na Tiger na simba ambao sio adaptive katika mazingira hayo na ukamataji wa aina hiyo ya Jaguar, kama Tiger au simba wangalikuwa wapo huko Amazon na wao wakawa wanakamata Caiman kwa aina ya Jaguar hapo bila shaka tungeweza kujua kwamba na wao wanaweza zaidi kupasua Skull ya Caiman from a bite by far kuliko Jaguar.
Ni hivi; Caiman bite pressure ya meno yake ni kubwa sana proportional to its weight or size kuliko Tiger na Simba, mfano, kama pressure ya bite ya Jaguar ni 2N/m² na uzito wake ni kilo 70, halafu Tiger au Simba pressure bite yake iwe 3N/m² na uzito wake uwe kilo 130, hapo utaona; Jaguar ratio=(2÷70) ni kubwa kuliko Tiger/Simba ratio ambayo ni (3÷130).
Ulinganisho wa Bite pressure ya Wanyama tofauti (species tofauti) huangaliwa kwa njia hiyo.
Lakini utaona bite pressure ya simba na Tiger ni 3 ambayo ni kubwa kuliko 2 ya Jaguar. (Huo nimeweka ni mfano tu ili upate kunielewa lakini bite pressures za hao wanyama sizijui ila nahakika kwamba bite pressures za Simba na Tiger ni kubwa kuliko za Jaguar hata kuliko chui pia).
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hao Tiger mnaosema wana uwezo wa kupigana na Simba, ni Tiger gani au sio awa?
Simba wa Yuda ANAUNGURUMAAAAAAAA.Basi History
Inampa heshima yake tokea hujazaliwa Chief
Kuanzia katika Vitabu vya Dini mpaka vitabu vingine mbalimbali
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jamaa alikataa hili. Kuna mwamba wa TANAPA alisema Leopard wa Africa anamburuza Tiger watu wakabisha.Acha kumfananisha simba na hivyo vipaka vingine.Ayo mapaka mengine hawana jambo lolote zaidi yaujanja ujanja tu wakuruka ruka.na pia achana na mambo yakupigana kwasababu kupigana kwa wanyama wakati mwingine kunategemeana na mood na sio wakati wote wanakua maadui ila angali maisha halisi. kwamaswala yote ya porini Mfalme ni Simba.Pia nikupe angalizo kua ukiona mnyama anapatikana mapori ya bara la AFRICA kamwe usithubutu kumlinganisha na wanyama wa mabara mengine.Wanyama wa Africa ni more aggresive ukicompare na species zinazopatikana mabara mengine.Nahii nikwaviumbe wote kuanzia wadudu wadogo hadi Tembo.
Mimi nipo mbugani, msala wa wanyama wa African usikie tuuuu, tatizo la watu wengi wabishaji wanaishia kwy Mbuga ya YouTube. Sasa huyo mtu unamuacha kama alivyo na uwezi kujua nguvu ya simba kwy cage akipigana simba akiwa msituni anapambana ndio utajua nguvu yake kama ni kwy yale majani yanalala yote na miti inaanguka. Dume la simba akiwa anamuangusha nyati yaani sio mchezo. Huyo Africa Leopards balaaa lake sio mchezo fisi wanamuogopa kama nn?Kuna jamaa alikataa hili. Kuna mwamba wa TANAPA alisema Leopard wa Africa anamburuza Tiger watu wakabisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa ndo umepata kazi? Mbona tanapa imekuwa tanapa kila post? We unahisi wote wanaosema tiger ni zaidi ya simba hamna anaefanya kazi tanapa au kazi za mbugani? Kwanini unaamini kila asie share uelewa sawa na wewe taarifa kazipatia YouTube? Na after all kwani video zinazokua uploaded YouTube source yake ni wapi, sio huko huko maporini na kwenye zoo wanyama waliko? Au kila anaejua taarifa za wanyama lazima awe alienda porini?Mimi nipo mbugani, msala wa wanyama wa African usikie tuuuu, tatizo la watu wengi wabishaji wanaishia kwy Mbuga ya YouTube. Sasa huyo mtu unamuacha kama alivyo na uwezi kujua nguvu ya simba kwy cage akipigana simba akiwa msituni anapambana ndio utajua nguvu yake kama ni kwy yale majani yanalala yote na miti inaanguka. Dume la simba akiwa anamuangusha nyati yaani sio mchezo. Huyo Africa Leopards balaaa lake sio mchezo fisi wanamuogopa kama nn?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jamaa ameweka video hapo juu kati ya Simba na Tiger, ina maneno ya kiarabu itatute. Ni aibu tupu kwa Tiger.Mimi nipo mbugani, msala wa wanyama wa African usikie tuuuu, tatizo la watu wengi wabishaji wanaishia kwy Mbuga ya YouTube. Sasa huyo mtu unamuacha kama alivyo na uwezi kujua nguvu ya simba kwy cage akipigana simba akiwa msituni anapambana ndio utajua nguvu yake kama ni kwy yale majani yanalala yote na miti inaanguka. Dume la simba akiwa anamuangusha nyati yaani sio mchezo. Huyo Africa Leopards balaaa lake sio mchezo fisi wanamuogopa kama nn?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kama umepanic mkuu😁We jamaa ndo umepata kazi? Mbona tanapa imekuwa tanapa kila post? We unahisi wote wanaosema tiger ni zaidi ya simba hamna anaefanya kazi tanapa au kazi za mbugani? Kwanini unaamini kila asie share uelewa sawa na wewe taarifa kazipatia YouTube? Na after all kwani video zinazokua uploaded YouTube source yake ni wapi, sio huko huko maporini na kwenye zoo wanyama waliko? Au kila anaejua taarifa za wanyama lazima awe alienda porini?
Si watalii, wafanyakazi na watengeneza film na makala za wanyama si ndo wanaweka hizi video mitandaoni na dunia nzima inaona! Punguza matangazo maana hata Kijazi sidhani kama anajitangaza hivi.
Kwa taarifa tu ni kwamba India wanaweza kuwa na taarifa zaidi juu ya hili maana ndo nchi pekee yenya hawa wanyama wote maporini wakiwa na Asiatic lion na Bengal tiger. Sio wewe unashupaza shingo kuwaongelea tiger wakati hamna pori la tanapa lenye tiger hata mmoja
Tiger wa mbele mpka apake sanitizer ndo awinde
Sent from my I phone


Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hao Tiger mnaosema wana uwezo wa kupigana na Simba, ni Tiger gani au sio awa?
Video imemaliza ubishiHahahahaha hii clip imeonyesha kwa jinsi Tiger ni mwanaume wa kinondoni tu kwa Simba
Kelele nyingii hawana hata ushahidi..
Ndio. sio vita vyote vya wanyama wa jamii zinazofanana zinakua vita za kufa na kupona.kimbe mazingira yanaweza changia mood ya mnyama.
kama tiger analeta shida kwa simba akiwa yupo huko kwao,vipu angekuwa anapatikana africa???
simba ana wababe wake kibao tu anawagwaya.
Sent using Jamii Forums mobile app