1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,969
- 13,848
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hao Tiger mnaosema wana uwezo wa kupigana na Simba, ni Tiger gani au sio awa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hao Tiger mnaosema wana uwezo wa kupigana na Simba, ni Tiger gani au sio awa?

Wewe sio mambo yote yanayotokea uko maporini yanaweza kurekodiwa.Video zinazowekwa mitandaoni ni sehemu kidogo sana. ila kwa kiasi kikubwa watu wanaofanya kazi uko maporini wanaona mambo mengi zaidi kuliko wewe unayesubiri matukio machache yanayorekodiwa nakuwekwa kwenye mtandao.We jamaa ndo umepata kazi? Mbona tanapa imekuwa tanapa kila post? We unahisi wote wanaosema tiger ni zaidi ya simba hamna anaefanya kazi tanapa au kazi za mbugani? Kwanini unaamini kila asie share uelewa sawa na wewe taarifa kazipatia YouTube? Na after all kwani video zinazokua uploaded YouTube source yake ni wapi, sio huko huko maporini na kwenye zoo wanyama waliko? Au kila anaejua taarifa za wanyama lazima awe alienda porini?
Si watalii, wafanyakazi na watengeneza film na makala za wanyama si ndo wanaweka hizi video mitandaoni na dunia nzima inaona! Punguza matangazo maana hata Kijazi sidhani kama anajitangaza hivi.
Kwa taarifa tu ni kwamba India wanaweza kuwa na taarifa zaidi juu ya hili maana ndo nchi pekee yenya hawa wanyama wote maporini wakiwa na Asiatic lion na Bengal tiger. Sio wewe unashupaza shingo kuwaongelea tiger wakati hamna pori la tanapa lenye tiger hata mmoja
Ndivyo wabongo tulivyo ndugu. ujuaji mwingi kumbe hewa tu.Mimi nipo mbugani, msala wa wanyama wa African usikie tuuuu, tatizo la watu wengi wabishaji wanaishia kwy Mbuga ya YouTube. Sasa huyo mtu unamuacha kama alivyo na uwezi kujua nguvu ya simba kwy cage akipigana simba akiwa msituni anapambana ndio utajua nguvu yake kama ni kwy yale majani yanalala yote na miti inaanguka. Dume la simba akiwa anamuangusha nyati yaani sio mchezo. Huyo Africa Leopards balaaa lake sio mchezo fisi wanamuogopa kama nn?
Sent using Jamii Forums mobile app
Aise tena acha kabisa kumfananisha Simba wa Afrika na hivyo vipaka vingine vya uko asia vinavyowinda sungura.We jamaa ndo umepata kazi? Mbona tanapa imekuwa tanapa kila post? We unahisi wote wanaosema tiger ni zaidi ya simba hamna anaefanya kazi tanapa au kazi za mbugani? Kwanini unaamini kila asie share uelewa sawa na wewe taarifa kazipatia YouTube? Na after all kwani video zinazokua uploaded YouTube source yake ni wapi, sio huko huko maporini na kwenye zoo wanyama waliko? Au kila anaejua taarifa za wanyama lazima awe alienda porini?
Si watalii, wafanyakazi na watengeneza film na makala za wanyama si ndo wanaweka hizi video mitandaoni na dunia nzima inaona! Punguza matangazo maana hata Kijazi sidhani kama anajitangaza hivi.
Kwa taarifa tu ni kwamba India wanaweza kuwa na taarifa zaidi juu ya hili maana ndo nchi pekee yenya hawa wanyama wote maporini wakiwa na Asiatic lion na Bengal tiger. Sio wewe unashupaza shingo kuwaongelea tiger wakati hamna pori la tanapa lenye tiger hata mmoja
Mziki wa nyati usikie tu.Simba mwenyewe kuna wakati akijichanganya vibaya inabidi arudi nyuma kujipanga upya..Sasa ukitaka ufurahi ukute tifu la simba dume bachela na nyati dume aliyejeruhiwa.Hivyo vipaka vingine vyauko ulaya na asia vingekua afrika vingekua vinawinda swala wadogo tu ila sio Nyati.Kuna kipindi niliwahi kwenda loliondo na dingi sasa,tukiwa njiani kama mita 30 au 50 basi tukaona mti una anguka aise,gari ikasimamishwa.....mkono ulikuwa unaendelea kati ya nyati na simba dume wa wawili
Haikuwa kipolepole ulipigwa mkono wa haja nyati kumbe ni balaa akikasirika kama machozi ya damu yana mtiririka hivi mwisho wa pambano simba wote walikufa pale pale mbavu zao zilisagwa sagwa kabisa ila nyati aalivunjika miguubya nyuma yote na juu ya nundu hapo alikuwa ana bonge la shimo!!ila bado maafisa wanyapori walitutaadharisha kuwa huyo bado ni hatari mpaka walipo muua!
N:b kwa mara ya kwanza na kula nyama ya porini ila nyati siyo mtamu kama pofu nilikula pofu nikasema hakika kuku ni jina hata kitimoto haingi ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora uwaambie vijana wa YouTube. Wao wakimuona African Lions wanamlinganisha na Simba wa kwy PlayStation. Baraaa la Simba wa apa African sio mchezo. wanyama wote wa Africa ni hatari tupu, anaua mnyama mkubwa na kumvuta umbali mrefu.Aise tena acha kabisa kumfananisha Simba wa Afrika na hivyo vipaka vingine vya uko asia vinavyowinda sungura.
Nani alikwambia simba dume hawindi?.Simba dume ataacha kuwinda akishapambana akapata himaya yake, hapo sasa anakua mfalme kazi yake kubwa nikulinda himaya yake yamajike na watoto isijekuvamiwa na madume wengine.Ila anapokua bachela anawinda kama kawaida na hao ndo wanakuaga wakorofi kuliko dume mwenye majike.Kwa mimi naona tiger is better
Huyu tiger anauwezo wa kuingia kwenye mto na kumchukua mamba akiwa mle mle kwenye maji jambo ambalo sio rahisi ukizingatia na kwamba nguvu ya mamba ni maji lakini si kwa chui
Halafu hata skills za uwindaji chui yuko vizuri zaidi, kama silaha basi naweza kumfananisha na AK47 wakati simba namfananisha na gobole
Action za chui ni noma hadi ndege anawinda, yani anajiviringa juu huko huko aliko ndege kisha anamdaka kwa mikono kama mtu
Simba dume ndo kabisa hata kuwinda halijui lenyewe kula kulala tu kazi zote limemuachia shemu
nimecheka mpaka naenda kubadili bo...,halafu nimemkumbuka bro wako,yule wa usa mario van pebles.