Simba vs Tiger

Simba vs Tiger

Kwa mimi naona tiger is better

Huyu tiger anauwezo wa kuingia kwenye mto na kumchukua mamba akiwa mle mle kwenye maji jambo ambalo sio rahisi ukizingatia na kwamba nguvu ya mamba ni maji lakini si kwa chui

Halafu hata skills za uwindaji chui yuko vizuri zaidi, kama silaha basi naweza kumfananisha na AK47 wakati simba namfananisha na gobole

Action za chui ni noma hadi ndege anawinda, yani anajiviringa juu huko huko aliko ndege kisha anamdaka kwa mikono kama mtu

Simba dume ndo kabisa hata kuwinda halijui lenyewe kula kulala tu kazi zote limemuachia shemu
Umeanza na tiger umemaliza na chui.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tiger kwanza linawinda peke yake,hii ni kanuni mbaya sana.

simba mazingira mengi ukiona anawinda peke yake basi ataishia kukama nyani,fisi wagonjwa,na watoto wa nyumbu ni dalili kwamba amechoka.

huyo tiger si tu kwamba ni jasiri,lakini pia anajiamini kupitiliza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba. Nijibu hizi hoja kidogo, mkuu.

Kwanza, yule unaye ona anaopolewa katka maji, si mamba, ni jamiii za mamba. Hawapo na nguvu sana, wala ubabe mwingi. Ukikutana na mimamba yenyewe, humtoi katika maji.

Pia yule unasema anaye mchomoa huyo mnyama jamiik ya mamba, si tiger. Jaguar ndio huwa ana ubabe huo.

Twende sasa, kuhusu simba.

Ukiangalia life style simba sio kweli kuwa simba dume hajui kuwinda au kula kulala, jamaaa anakazi nyingi sana, kuhakikisha jike wake na pride ipo salama. Simba dume, ana teka na kumiliki himaya na utawala, hapo anaweka mipaka na hukagua mipaka yake, kumhakikishia mkewe aman akawinde alete nyumbani. Hiii tunasema, Baba nipe ulinzi, na faraja nikupe Chakula na penzi.

Simba dume, hapo tunasema anakula mafao yake tu, ni kama mfanyakaz akisha fanya kazi miaka mingi na kustaafu, anakaa home ana kula mafao. Simba dume akifika wastan wa miaka miwili, Hufukuzwa kwao na kuanza kuwinda na kujitafutia yeye kama yeye Man alone, kwa hiyo hiko hakafukuzwa, hukaaa sana karibh na mama kujifunza kuwinda. Kipindi ambacho, ukimuangalia huweza kuhisi ni jike, maana anakuwa hana Zile nywele, labda uchunguze via vya uzazi. So, sio kweli kwamba dume hajui kuwinda.

Pia ktk hiii pride, ikitokea mawindo yamekuw magum, wanyama ana nguvu sana. Baba lao, huwenda kuset kitambo na kuongeza nguvu, kama kawaida.

Simba mmoja, Tiger mmoja hawezi mchomoa mamba kwenye maji, mbabe wa mamba kwenye maji ni kiboko peke yake. Ngoja nipunguze maneno nijibu hoja ya mtoa mada

Simba na Tiger, nani bingwa???

Katk kulinganisha wanyama, huangalia nguvu ya mnyama kiasili na kimaumbile yao. Simba nguvu yake na maumbile ni kubwa kuliko MBWA. Hii huja automatically simba anapiga MBWA. Lakin Tiger naye yupo vziur ana nguvu na nin mkubwa.

Nani mshindi, ?? Inategemea kwa hali ya mmoja mmoja yupojs walipo kutana?? Mbinu alizo adopt ktk mawindo na mapigano.

So, simba anaweza kalishwa na tiger, tiger anaweza kalishwa na simba. Kutegemea na hali zao kwa wakat huo
Kwanza nakusifu kwa uchambuzi

Pili naposema TIGER hua namaanisha yani sibahatishi, ingia chimbo tena uangalie TIGER anapomkabili mamba
 
tiger kwanza linawinda peke yake,hii ni kanuni mbaya sana.

simba mazingira mengi ukiona anawinda peke yake basi ataishia kukama nyani,fisi wagonjwa,na watoto wa nyumbu ni dalili kwamba amechoka.

huyo tiger si tu kwamba ni jasiri,lakini pia anajiamini kupitiliza.

Sent using Jamii Forums mobile app
umenikumbusha mtaalamu mmoja wa wanyama pori alishawahi kusema kua simba ili kumuua tiger wanatakiwa wawe kundi

Kati ya pambano lilohusisha Tiger 12 dhidi ya Simba 16 ambalo lilidumu takribani dakika 25 TIGER watatu walikufa katika pambano hilo

Ila kuna kubwa kuliko ambapo tiger mmoja aitwae GUNGA aliua SIMBA wapatao 30
 
Sidhani kama uko sahihi huyo unaemsema wewe anaitwa jaguar 🐆 anapatikana marekani ya kusini huyo unaemuita mamba ni alligator 🐊 ... tiger kwa asili anapatikana Asia ... na kwa taarifa tu hakuna mnyama anaeweza kufanya huo upumbavu wa kuwinda mamba mtoni ( the strongest bite on earth 🌍 ) Hakuna mnyama anaeweza kuwinda hawa jamaa nile crocodile au salt crocodile labda alligator they’re more like lizards than mazafaka crocs
Watu wanashindwa kutofautisha alegator, caiman na croc.

Wale jaguar anaua ni caiman na sio croc.

Vile ni vi kenge ila mamba haswa hule jamaa hawezi kujaribu hata kwa dawa.
 
Kwa mimi naona tiger is better

Huyu tiger anauwezo wa kuingia kwenye mto na kumchukua mamba akiwa mle mle kwenye maji jambo ambalo sio rahisi ukizingatia na kwamba nguvu ya mamba ni maji lakini si kwa chui

Halafu hata skills za uwindaji chui yuko vizuri zaidi, kama silaha basi naweza kumfananisha na AK47 wakati simba namfananisha na gobole

Action za chui ni noma hadi ndege anawinda, yani anajiviringa juu huko huko aliko ndege kisha anamdaka kwa mikono kama mtu

Simba dume ndo kabisa hata kuwinda halijui lenyewe kula kulala tu kazi zote limemuachia shemu
Kazi zote anamaliza shem kalenga, hatar sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwa tanapa haimaanishi unawajua siberian tiger, na wewe kuwa tanapa pia hakukufanyi uwe sahihi.

Nimekuuliza swali simba ama chui wa africa akiwa mwenyewe ana uwezo wa kuwinda tembo? Siberian tiger anaweza.

Na pia tiger malezi yao ni magumu sana wanaishi kwenye misitu husaidiwi kuwinda ndio maana wanaitwa Killers, kila tiger ni one man Army akiwa mwenyewe inabidi ajifunze kuwinda la sivyo anakufa. Hizo muscles hajazaliwa nazo bali mazingira ndio yanamforce awe hivyo.

1. Tiger ana uwezo wa kupigana akiwa amesimama na anatumia mikono yote miwili, simba uwezo huu hana anatumia mkono mmoja tu.

2. Simba ana umbo kubwa na uzito mdogo na tiger umbo dogo na uzito mkubwa. Muulize mtaalamu wa afya atakupa jibu moja tu muscle weight more than fat. Imagine wanyama wawili wanafanana maumbo mmoja ana kilo 360 mwengine 250 unafkiri mwenye 250 ana chance?

3. Simba yupo mazingira rahisi anawinda swala wapo kundi wanakula wanashiba wavivu wamelala lala tu, tiger wanahunt kwa shida akiwa na njaa msituni anaua chochote mbele yake iwe ni tembo, bear ama hata Gorilla. Hivyo Tiger ni natural fighter kutokana na mazingira yao magumu waliokulia.

4. Pia kuna ushahidi mbalimbali kuanzia roman empire, India, mpaka zoo mbalimbali tiger akipambanishwa na simba ujue simba anakufa, naweza kukuekea links ukitaka.
Kijana Unaandika kwa kulinganisha kwy YouTube. Ngoja nikupe hii nimekwambia simba ana msuli na mfupa mzito na kichwa kikubwa kulinganisha na Tiger. Tiger ana 320kg na simba ana 250kg. Simba ana msuuli mzito na fighting ya hali ya juuu. Wanyama wanaokula nyama wana fighting ya hali ya juuu tofauti na wala majani. Hawa Paka wote ukija kwy mashambulizi Simba anakuwa king of the Jungle kwa sababu ya uvumilivu wa kupambana na swala la kussema kwamba tiger anakula tembo izo ni chumvi labda wale tembo wa India ambao wanawatumiaga kupanda kama farasi. Toka mjini uende mbugani ukamshangae simba sio kumsifia huyo tiger ambae hata kwa macho ujamuona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tulishudia timbwili la kiboko na simba nakumbuka show tulikua tunafukuza ndege kipindi cha mpunga unachua asikuambie mtu tulikua juu ya kibanda asikuambie mtu kiboko na kifaa cha kazi!Simba sijiu alijitela vipi mpaka akamzingue kiboko ulipigwa mkono kama masaa 4 hivi mashamba yalivurugika ndege walihama mazima baada yakuona kuona ukimya tukaa tena kama msaa2 hivi ndio wazee wakashuka kwenda kucheki waliovyoona usalama tukaitwa nilichoka sana wale jamaa walinyofoana sana nyama mzee simba mpaka anarudisha namba kwa muumba mkono 1 tuliukuta kama mita 20 hivi nje ya ulingo kiboko hakua na jicho 1 ile vita ingekua zama hizi za smartphone ingekua na la kuonyesha mechi ilisha simba 0-kiboko 0 ila sijajua nani alieanza kuka roho
Harafu mtu anamfananisha Simba na Tiger, Tiger angeweza simamia hiyo ngoma kwa masaa 4? Achana na masaa 4, masaa lisaa limoja tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijana Unaandika kwa kulinganisha kwy YouTube. Ngoja nikupe hii nimekwambia simba ana msuli na mfupa mzito na kichwa kikubwa kulinganisha na Tiger. Tiger ana 320kg na simba ana 250kg. Simba ana msuuli mzito na fighting ya hali ya juuu. Wanyama wanaokula nyama wana fighting ya hali ya juuu tofauti na wala majani. Hawa Paka wote ukija kwy mashambulizi Simba anakuwa king of the Jungle kwa sababu ya uvumilivu wa kupambana na swala la kussema kwamba tiger anakula tembo izo ni chumvi labda wale tembo wa India ambao wanawatumiaga kupanda kama farasi. Toka mjini uende mbugani ukamshangae simba sio kumsifia huyo tiger ambae hata kwa macho ujamuona

Sent using Jamii Forums mobile app
Simba gani anaekaa kwenye jungle mkuu?

Mkuu kuna wanyama wawili wana ukubwa sawa
1. Ana kilo 360
2. Ana kilo 250

Inakuwaje wa kilo 250 anakuwa na muscle kuliko wa 360 hali ya kuwa umbo ni sawa hebu leta sababu hapa. Maana naona unadanganya mchana kweupe.

Na toka nimeandika sijaweka link ya youtube hata 1 usiforce ninavyoandika vinatoka youtube.
 
Big game?

Halafu watoto amuachie nani?

Kazi za uwindaji zinasimamiwa na jike halafu kwenye hiyo big game haifanywi na simba mmoja labda kama akikutana na kinda la nyati

Umeongea point kamanda...simba hawezi winda peke yake bila kuwa wa4 mpaka wa5,6...na huwezi kuta anawinda alone, ndio maana huwa wanatembea whole family ..wakati chui, tiger, panther and jaguar mara nyingi wana winda wakiwa wawili ama mmoja tu.

Tiger wangelikuwa wanaishi mbuga zetu wangewinda aina zote za wanyama mpaka mamba.
.
 
Mkuu siyo kwamba hapo inategemeana na aina ya mnyama anayewindwa?

Tulia hivyo hivyo dawa ikuingie..
 
Nilishaona battle ya simba vs tiger wakuu sio poa, ilikua hivi wote walikua shimoni sijui waliingia vipi so hakuna aliekua anaweza kutoka yani ulipigwa mkono sio poa ilifikia point tiger alikua hawezi kuamka alikua anapigana kalala chali simba ndo alikua bado yupo active alikua anapigana akiwa bado kasimama ila kajeruhiwa balaa dam zimamwagika. Mwisho wakawa wote wanatazamana. Nilichogundua simba anapumzi kuliko tiger so naweza kusema simba ni habari nyingine anapigana mpaka kufa.
Huenda video nyingi tiger zitaonesha Tiger anakimbia. Tiger ni mwepesi mno, yupo flexible, anajinyambua kwa kila namna. Simba ni heavy machine, na angepewa uflexible huenda mbugani wangeishi wao na jamii zingine chache.

Simba sio rahisi kukimbia, hata akikuta anatafuta nyati kisha nyati akaja akaokolewa na wenzie, utamuona Simba bado anaranda randa, huwa hakubali ngoma iishe kirahisi pasipo kuondoka na kitu.

Tiger ni tofauti kabisa, hawezi kuhimili shughuli nzito kwa muda mrefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom