Simba vs Tiger

Simba vs Tiger

Bora uwaambie vijana wa maghorofani. Wanamfananisha simba na tiger. Na wakati tiger hata mziki wa African Leopard haugusi huyo tiger. Wangewauliza watu wa game reserve na tanapa wawaeleze kuhusu hawa jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wakimuona Simba kwenye documentary za wanyama wanamchukulia poa sana,
 
Kwa mimi naona tiger is better

Huyu tiger anauwezo wa kuingia kwenye mto na kumchukua mamba akiwa mle mle kwenye maji jambo ambalo sio rahisi ukizingatia na kwamba nguvu ya mamba ni maji lakini si kwa chui

Halafu hata skills za uwindaji chui yuko vizuri zaidi, kama silaha basi naweza kumfananisha na AK47 wakati simba namfananisha na gobole

Action za chui ni noma hadi ndege anawinda, yani anajiviringa juu huko huko aliko ndege kisha anamdaka kwa mikono kama mtu

Simba dume ndo kabisa hata kuwinda halijui lenyewe kula kulala tu kazi zote limemuachia shemu

Ndugu umechanganya. Huyo anaekamata viumbe wanaofanana na mamba si tiger ni jaguar. Wale wanyama anaokamata si mamba,wanaitwa caiman. Ni wadogo sana ukilinganisha na mamba.
 
Hello,habari za majukumu wadau,bila shaka mtakuwa mko vyema na mnaendelea kuchukua hatua na tahadhari dhidi ya hili gonjwa dharimu la Covid-19 linalosababishwa na virus hatari wa corona,Mungu awabariki sana!.

Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kuna mjadala mahali fulani nimekutana nao kuhusu mnyama SIMBA na TIGER (Chui milia).

Kiukweli kama mnavyofahamu mijadala mizito mara nyingi huwa ina vuta nkuvute,kulingana na tafiti mbalimbali pamoja na Historia kadha wa kadha!,sasa kuna wengine waliosema ya kwamba SIMBA ni hatari zaidi ya Tiger na kuna wengine waliosema Tiger ni hatari zaidi ya Simba,na huo uhatari wao ni pale wanapokutana wao kwa wao.

Wapo waliosema SIMBA kwa uwezo wa nguvu,uwindaji,mapigano basi akikutana na Tiger atapokea kipondo kikali,lakini pia wapo vilevile waliosema kwamba Tiger kwa uwezo,minguvu,uwindaji na mapigano basi akikutana na Simba atampiga mpaka achakae kabisa,na si kuchakaa tu bali pia kuua kabisa.

Mtazamo wako wewe ni upi hapa,hebu lete facts za uhalisia,kiroho na kimwili pia unaweza kuhusisha!!

Tulia hivyo hivyo dawa ikuingie..

Si rahisi sana kufananisha kama vile ngumi za kina Mwakinyo.Wanyama wanatofautiana kutokana na mazingira, kwa hiyo ni bora kuangalia vipengele tofauti kuliko jumla.

1. Kwa saizi tiger ni mkubwa kuliko simba

2. Tiger huwinda kipekee, simba huwinda kifamilia. Mara chache huwinda kipekee.Dingi hawindi sana lakini ni fighter mzuri tu hasa inapofika kulinda usalama wa familia na hasa mademu wake

3. Tiger huwinda wanyama wadogo, simba huwinda saizi zote.Ile hali ya kushirikiana inawasaidia.Lakini, huenda ikawapa simba uwezo mkubwa wa kupambana.

Nimewahi kusikia,simba na tiger washawahi pambanishwa, simba akapigwa(sijathibitisha). Huenda sababu ya size, tiger ni mkubwa kuliko simba. Japo hii inaweza isiwe sababu ya kisayansi

Nisingependa kuwa na jibu rahisi, pengine tutazame makala kadhaa ambazo wamekutanishwa kisha tupate takwimu.
 
Hello,habari za majukumu wadau,bila shaka mtakuwa mko vyema na mnaendelea kuchukua hatua na tahadhari dhidi ya hili gonjwa dharimu la Covid-19 linalosababishwa na virus hatari wa corona,Mungu awabariki sana!.

Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kuna mjadala mahali fulani nimekutana nao kuhusu mnyama SIMBA na TIGER (Chui milia).

Kiukweli kama mnavyofahamu mijadala mizito mara nyingi huwa ina vuta nkuvute,kulingana na tafiti mbalimbali pamoja na Historia kadha wa kadha!,sasa kuna wengine waliosema ya kwamba SIMBA ni hatari zaidi ya Tiger na kuna wengine waliosema Tiger ni hatari zaidi ya Simba,na huo uhatari wao ni pale wanapokutana wao kwa wao.

Wapo waliosema SIMBA kwa uwezo wa nguvu,uwindaji,mapigano basi akikutana na Tiger atapokea kipondo kikali,lakini pia wapo vilevile waliosema kwamba Tiger kwa uwezo,minguvu,uwindaji na mapigano basi akikutana na Simba atampiga mpaka achakae kabisa,na si kuchakaa tu bali pia kuua kabisa.

Mtazamo wako wewe ni upi hapa,hebu lete facts za uhalisia,kiroho na kimwili pia unaweza kuhusisha!!

Tulia hivyo hivyo dawa ikuingie..

Wakati mjadala unaendelea. Tafadhali watu tujue kutofautisha hawa wanyama jamii ya paka wakubwa.

Kuna watu wakiona jamii ya paka wakiwa na madoadoa tu au mistari basi wanaita chui.

Kuna yule paka maarufu wa Amazon, Jaguar, wengi humuita chui. Haya ni makosa, na kile chakula chake pendwa si mamba ni caiman. Niliwahi kusikia BBC wakiwaita barakenge(kwa Kiswahili).

Paka wengine wakubwa ni

Simba, chui(leopard) ,duma(cheetah), panther(lile jeusii, wanasema ni jaguar ila ngozi imezingua,kama albino), puma na tiger.Pengine wapo zaidi,kwasasa nimeweza kutaja hawa maarufu na wakubwa.

Hapo kuna ambao hawapatikani kwetu ,Afrika, na kinyume chake ni sahihi. Mfano, sidhani kama kuna simba Amazon, na pia sidhani kama kuna jaguar Serengeti.
 
Simba ubora wake upo kwenye "umoja ni nguvu " ni nadra sana simba kuwinda peke hata swala akaweza kumkamata!tiger wale ni cold blooded animals akili yao iko twisted kwenye kuaa ,simba vs tiger wakifungiwa kwenye cage simba hawezi chukua dk 3 atakuwa mechanwachanwa!simba hata fisi 3 wanaweza kumuua ila siyo tiger

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti mamba nae wale wale

Yule ni mamba kwa akili yako?

Shame!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli shame yake mamba wa africa hiyo ni habari nyingine, hakuna tiger, jaguar wala lion wote msosi kwake, mamba wa africa wapo kwenye group la predators ambao hawana predators mbugani kwa maana hakuna mnyama yoyote mbugani wa kuwawinda sana sana wanakufa kwa ukame na magonjwa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
caiman ni mamba mdogo tu,na anaowawinda jaguar hawafiki hata kg 50 asingeweza hata kuwaburuza.

sasa ukiangalia video zake,jaguar anakamata shingo halafu ananyanyua na kuondoka. yaani akishiba vizuri huyo mdudu kitendo cha kumshika shingo huwa anageuka mzima mzima kama anakataa hivi hilo swala,fikiria ni kg 100 zinageuka kwa kasi ile,lazima jaguar agairi na kuamua kula mboga ya majani siku hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo ya majani tu, bali angechemsha maharage kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hello,habari za majukumu wadau,bila shaka mtakuwa mko vyema na mnaendelea kuchukua hatua na tahadhari dhidi ya hili gonjwa dharimu la Covid-19 linalosababishwa na virus hatari wa corona,Mungu awabariki sana!.

Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kuna mjadala mahali fulani nimekutana nao kuhusu mnyama SIMBA na TIGER (Chui milia).

Kiukweli kama mnavyofahamu mijadala mizito mara nyingi huwa ina vuta nkuvute,kulingana na tafiti mbalimbali pamoja na Historia kadha wa kadha!,sasa kuna wengine waliosema ya kwamba SIMBA ni hatari zaidi ya Tiger na kuna wengine waliosema Tiger ni hatari zaidi ya Simba,na huo uhatari wao ni pale wanapokutana wao kwa wao.

Wapo waliosema SIMBA kwa uwezo wa nguvu,uwindaji,mapigano basi akikutana na Tiger atapokea kipondo kikali,lakini pia wapo vilevile waliosema kwamba Tiger kwa uwezo,minguvu,uwindaji na mapigano basi akikutana na Simba atampiga mpaka achakae kabisa,na si kuchakaa tu bali pia kuua kabisa.

Mtazamo wako wewe ni upi hapa,hebu lete facts za uhalisia,kiroho na kimwili pia unaweza kuhusisha!!

Tulia hivyo hivyo dawa ikuingie..
tulishudia timbwili la kiboko na simba nakumbuka show tulikua tunafukuza ndege kipindi cha mpunga unachua asikuambie mtu tulikua juu ya kibanda asikuambie mtu kiboko na kifaa cha kazi!Simba sijiu alijitela vipi mpaka akamzingue kiboko ulipigwa mkono kama masaa 4 hivi mashamba yalivurugika ndege walihama mazima baada yakuona kuona ukimya tukaa tena kama msaa2 hivi ndio wazee wakashuka kwenda kucheki waliovyoona usalama tukaitwa nilichoka sana wale jamaa walinyofoana sana nyama mzee simba mpaka anarudisha namba kwa muumba mkono 1 tuliukuta kama mita 20 hivi nje ya ulingo kiboko hakua na jicho 1 ile vita ingekua zama hizi za smartphone ingekua na la kuonyesha mechi ilisha simba 0-kiboko 0 ila sijajua nani alieanza kuka roho
 
kweli siku hiyo alijichanganya.kuna wanyama simba wala hanaga muda nao maa a anajua kabisa wakati yeye akivuta bangi wenzie wanaitumia kama mboga.kiboko,faru,mamba,tembo.

kwanza wanamshinda,sifa ya kwanza ni wakubwa kumzidi(tembo,faru,kiboko)hapo simba anaingia hata mara tano na zaidi kwa ukubwa na uzito.

maumbo yao hayamrahisishii kazi ya kuua(wana shepu za hovyo)wote ni kama hawana shingo ya yeye kushika ili azibe pumzi.

wakorofi kumzidi,mamba anakula kila nyama unayoijua,kiboko hali nyama ila atakusambaza akuache vipande,faru naye sio wa kumaliza ugomvi kirahisi,tembo ndio hata muda hana,kila mnyama anamgwaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu msifanye utani na Crocodiles hao wanaokamatwa na Jaquar ni Caiman, Nile crocodile ni habari nyingine kabisa can you imagine the crocodile weighs up 800 kg and length up to 7 metre sasa huyo tiger atoe hio kitu kwa maji ataweza kweli? Kwanza from my experience Mamba ni hatari sana Wawapo majinj very powerful indeed. Nimeshuhudia Live shòw za mamba mto Ruvu Wakati anabeba ngombe halafu favourite meat ya mamba ni Mbwa yani kama mnaogelea na mbwa yupo Around basi mtimueni, Pia mamba na uwezo mkubwa sana wa kuona mbali huu weupe wa nyayo zetu miguu na mikono, Ñile crocodile still wana hold the record yakuwa the strongest bite kuzidi creatures wote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom