Simba vs Libolo -LIVE UPDATES

Simba vs Libolo -LIVE UPDATES

Status
Not open for further replies.
duh cha 3. . . libolo 3 simba 0


kweli libolo sikitu cha kuchezea. . . .
 
Libolo amemlamba nyama mshale wa pili dah!
Azam 5 - 1 Alnasri
 
Kelvin hakuwa mwarobaini wa beki Simba,tuna timu mbovu ambayo hata Scolari hawezi kuiokoa na lawama zote ni uongozi tuache ushabiki wa kijinga kama tunataka mabadiliko!

Rage anaivuruga Simba!
 
Ikiwa huku kwetu ni saa moja kamili Azam 5 Elnasri 0 na dk 83 huko Angola Libolo 3 Simba 0 !!!!!
 
simba ameshagongwa 3 bila, Azam anaongoza 5 bila, Mech zote zipo dk za mwishon >80 dk
 
kaka unaniaibisha sasa na mitusi hyo ndo mpira gani huo, sasa unaonekanika unakili ndogo kama julio,. Acha ujinga zungumza kama mtu anaejielewa

mjinga ni wewe na timu yako mnao fundisha wachezaji usen wewe timu kubwa kama hiyo unaweza kuwalaza kitanda kimoja twite,fuso na chuji huku yule kocha mwenye vikuku akilala na Sendeu halafu unakuja uni binulia mdomo hapa.
 
huku wakali wa tz tunaongoza kwa mbili bila..

south sudan na angola wapi na wapi? kumbuka south sudan (national team au club) haijawahi kushinda mechi yoyote ya kimataifa! libolo ina wachezaji 6 kwenye timu ya taifa ya angola iliyocheza afcon mwaka huu. dunia mbili tofauti
 
mh, . . . . hawa sio wawakilishi wa Tanzania jaman. . .
anyway. libolo kapata gori la 4

libolo 4 simba 0
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom