Ngapi ngapi acheni porojo hapa
kama kawa kama dawa[/QU
uwanja umejaa maji simba hawaja2lia mechi inaonyeshwa na channel ya angola tpa
Thanks, mkuu inapatikana online? tupe link
huku wakali wa tz tunaongoza kwa mbili bila..dk hizi za mwisho simba wamecheza mpira wa kweli mpaka wa angola wamewashangilia mpira mapumziko LIBOLO 1-SIMBA 0