Wakali wa TZ? Kwani Young Africa wanacheza leo?
dk hizi za mwisho simba wamecheza mpira wa kweli mpaka wa angola wamewashangilia mpira mapumziko LIBOLO 1-SIMBA 0
dk ya ngapi huku juba tayari azam tunaongoza 3 bilawote wamerudi uwanjani
simba amelamba tena liboro
timu za wanaume kwasasa tanzania ni Simba na Azam wengine ni mapimbi tu..
nasikia simba wote wamevaa vi pedo ili wamtege libolo vizuri hahahaa
Mpambavu wa akili unayetukana sIMBA nyie yanga kaogeleni huku ziwani! SIMBA INAWAKILISHA TAIFA MUNGu iBARAKI SIMBA