Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Alafu libolo halijalala limetandika 4 mfululizo bila kulala
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Nilikuwa naangalia rekodi ya Libolo kwa mechi 5 zilizopita, limeshinda 1 tu dhidi ya Simba, limetoa sare 2 na kupigwa mara 2 hivyo Simba ni wachovu tu. Wallah huu ni muda muafaka wa kuwatandika 6-0.