Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

Simba SC baada ya kukabidhiwa Kombe lao la ASFC kwa kuifunga Namungo FC 2-1
20200802_184155.jpg
20200802_184158.jpg
20200802_184201.jpg
 
Nyota wa Simba Luis Miquissone aibuka mchezaji bora wa mchezo wa fainali ya kombe la shirikisho iliyopigwa Sumbawanga mkoani Rukwa baada ya kufunga goli la kwanza na kutoa pasi ya goli la pili lililofungwa na John Bocco na hivyo Simba kutawazwa mabingwa, msimu wa 2019/2020. https://t.co/2rELuIa0Tc
 
Mwanachama na shabiki wa muda mrefu wa klabu ya Yanga ndugu Saniniu Laizer amepata tena jiwe la Tanzanite lenye uzito wa kg 6.

Hongera sana kwake
 
Nimefurahi sana tulivyochukua Ligi Kuu pamoja na Kombe la Shirikisho.

Pamoja na furaha hiyo, nimeona kuna kasoro za wazi katika kikosi chetu amabzo kama hazitarekebishwa basi tunaweza kulaumiana sana tukienda Champions League. Safu ya beki wa kati inayumba yumba sana na hata kiungo mkabaji tunalegalega sana. Tunahitaji maboresho ya uhakika na siyo porojo eti tuna timu nzuri.
Ukikutana na Mamelodi yenye watu kama kina Vilakazi, Laffor na Sirino utaumia sana kama hujaandaa timu yako. Angalia hata Raja Casablanca ya sasa ilivyosheheni mitambo na inavyoupiga mwingi. Haikufika pale kwa bahati.

MO asituchanganye. Usajili mzuri ni muhimu sana kipindi hiki. Aache porojo kwenye hili na menejimenti ikae sawa kufanya usajili wa maana na sio vinginevyo
 
naskitika et tunamchukua morrson
 
Back
Top Bottom