Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

Tumepoaje? Maiti kumng'ang'ania muhudumu Wa mochwari hadi kumuua hushangai?
Pia wakumbushe tumewahi kuwaokoa mara mbili wasishuke daraja
FB_IMG_15949555395841086.jpg
 
KUHUSU KADI NYEKUNDU YA PASCAL WAWA Kwa mujibu wa Kanuni za Ligi Kuu VPL kifungu cha 38 kifungu kidogo cha kwanza kinasema "Mchezaji atakayetolewa nje kwa kadi nyekundu baada ya kadi mbili za njano katika mchezo wa ligi hataruhusiwa kucheza mchezo mmoja unaofuata wa timu yake". https://t.co/8ZKq3PC52Z
 
Back
Top Bottom