Mayunga Hungwi
Member
- May 6, 2020
- 19
- 11
Ha ha ha ha ha kwa kuiga iga tu vimatukio hamjambo!Mwanasimba Jumamosi ya tar. 23/5/2020 saa 7:00 adhuhuri usikae mbali na kurasa rasmi za mitandao ya kijamii ya timu bora Ukanda huu wa Afrika ya Mashariki Simba sports Club.
Kuna jambo kubwa la kushangaza (Surprise) tumewaandalia. KAA TAYARI SI YA KUKOSA.
Saa 7 ndiyo hii kuna nini ?Wapeee Salaaaam....!! Usikae mbali na Simu YakoView attachment 1457398
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ha duuu any ways ngoja tuendelee kuonyesha njia
Na hii "Wape salaaaaam!" Mnaichukua? Duuu Basi "Twenzetu kwenye Mabadiliko"Wapeee Salaaaam....!! Usikae mbali na Simu YakoView attachment 1457398
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ha duuu any ways ngoja tuendelee kuonyesha njia
Time will Tell!
Akina Haji walikuwa wanafanywaje tena!? Asipomjibu hili kigogo tutajua kweli alikuwa anafanywaView attachment 1460627
Naona kigogo kaamua kuweka hadharani tabia za msemaji. Au na wewe ni sehemu ya msemaji!? Ha ha haUnapenda kumpa promo mumeo
Kama unamwamini Kigogo men you're nuts!Naona kigogo kaamua kuweka hadharani tabia za msemaji. Au na wewe ni sehemu ya msemaji!? Ha ha ha View attachment 1460847
Hivi mnajua kuwa mmepigwa changa la Macho , kwanini nasema hivyoMwaliko! "TWENZETU KWENYE MABADILIKO" Ndio kauli mbiu yetu kuelekea kwenye mabadiliko na utiaji saini wa makubaliano baina ya YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB " The Citizen Team" na La Liga. Kampeni itazinduliwa rasmi kesho ili kutuweka wananchi ktk mkao wa kula juu ya utiaji wa saini ya ushirikiano wa taasisi hizi mbili kubwa duniani huku wengine wakikodoa tu macho na kumeza dawa za usingizi ili wasione ila ndo hivyo Azam hawana adabu itabidi warushe tu. Mnyero United kaa kwenye TV yako kesho usikie Wananchi wana jambo lao. Mana kwa jazba mlizo nazo mnaweza kutupa hata barakoa zenu na mkanywa Sanitizer zenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app