Simba SC Tanzania yamtambulisha kocha mpya Robertinho



Simba inamtangaza muda huu aliyekuwa kocha wa Vipers SC, kama kocha wao mkuu mpya mpaka mwaka 2025 sambamba na Juma Mgunda ambaye atakuwa ni msaidizi wake.

Kocha huyo atajiunga na kikosi cha timu hiyo kilichopo Zanzibar katika mashindano ya Kombe la Mapinduzi kuanza majukumu rasmi.


Ndio Mumtambulishe Kwenye Gereji Ya Mafuso?
IMG_0486.jpg
 
wanadharau makocha wa ndani, Mgunda kakosea wapi? Badala ya kusajili wachezaji tunasajili kocha
Wakati mgunda Anaenda simba alishaambiwa kabisa kua ataiongoza timu kwa mda wkt zoez la kutafuta kocha mkuu likiendelea na hvo bas ujio huu sio na haiwez kua surprise kwa mgunda kwa sababu aliutambua tangu mwanzon,,

Sasa hyo dharau unayoizungumzia ww ni ipi hapo????
 
Rafiki wa karibu wa oele...asije kusingizia kwamba alikua kwenye msiba..yaani ushauri wa muhimu ni aje na nguo chache na asihangaike kuleta familia yake huku 🥰
 
Back
Top Bottom