Simba SC Tanzania yamtambulisha kocha mpya Robertinho

Kwani hukusikia kuwa Mgunda aliletwa kama kocha wa muda?!
Mm nimemkubali hata alipofungwa mechi zile mbili watu waliposema wamtimue mm sikuafiki kabisa...si wangemwacha tuu yeye amalizane na NPL? Ndio alikua wa muda kwani kuna shida gani wangemwajiri kuwa wa kudumu?
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Ni kweli nimesikitishwa na akili mbovu za viongozi wa Simba.Tutarajie kikosi kuanza kufanyiwa majaribio tena na sasa nadhani kwa bara Simba ameshajitoa kwenye ubingwa.Natabiri kuwa na mechi yake na uto atapigwa kama amesimama.Upuuzi sana huu

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Hiii hapanaaa ya kupigwa kama umesimama??
 
Sababu zipi zimepelekea apewe boss mpya? Unafikiri kufuzu makundi ya CAF ni jambo dogo? Kocha aliyekuja ni mzuri lakini tatizo letu ni kukurupuka hatutulii na kocha mmoja,Mgunda angeaminiwa na kupewa wachezaji wazuri
Kweli kabisa mafanikio aliyonayo mgunda Hadi sahivi angekua nayo mzungu angekua anaimbwa Sana trust me.

Mi Ni Yanga Ila napenda soka letu liwape na wazawa nafasi ya kufanya makubwa.

Simba ulifuzu kwenda makundi CAF kwa kushinda game zote nne za mtoano home and away na kwa soka tamu Sana anyway sisi tupo kileleni ....
 
Wacha aje kutengeneza chemistry ya timu, ukijumlisha na uwezo binafsi wa wachezaji wetu, naiona Simba mbali sana..

Naona ule ushindi wa goli 7 wa Peison umewadanganya wengi, wameshasahau kabla ya pale tulivyokuwa tuna unga unga kwenye matokeo ya timu.
 
Yes..
Tumpe muda Robertino...itaamsha morali na kujiamini.

Kumbuka simba ipo CL ...soka pia pia ni mchezo wa saikolojia.

Mgunda aendelee kujifunza international stage.

Domestically ame prove .. no doubt.

First ... Robertino tutampima ktk usajili wake
 
Kweli kabisa mafanikio aliyonayo mgunda Hadi sahivi angekua nayo mzungu angekua anaimbwa Sana trust me....
Mi Ni Yanga Ila napenda soka letu liwape na wazawa nafasi ya kufanya makubwa....
Nyie mbona mlimfukuza mwambusi na mkwasa mkamleta Nabi?
 
Huu ni ushamba sana wa waafrika na timu yangu ya Simba ya kuwaamini watu wa nje.
 
Kwanini tunamdharau Mgunda? Kaikuta timu katikati ya Ligi kaipeleka mpaka makundi ya CAF viongozi wetu wapuuzi sana
Hata mimi sijapenda badala nguvu waweke kwa wachezaji wafanye usajili wa kueleweka wao wanaziba sehemu ambazo hazina shida.
 
Timu imezidiwa, yeye kaweka tu mikono mifukoni. Mfano ile sare ya kmc mbili mbili tena taifa,
🤣🤣🤣😅😆hawa waswahili wakiweka mikono mfukoni ujue wanashika irizii..sio wakuaminika.

We huoni wazigua wote wana bangili mkononi hujiulizi za kazi gani..kwamsisi kuna balaa sana pale.
 
Yaaan Timu zetu hizi kubwa bila kuwa na makocha weupe wanaona bado kabisa..
Mgunda nawe amsha tafuta Timu chap, usibaki hapo kama msaidizi
kwanini ushauri huu hujampa cedric kaze pale UTOPOLO???
 
Back
Top Bottom