Simba SC 5-1 Pamba SC | NBC Premier League | KMC Complex | 08.05.2025

Simba SC 5-1 Pamba SC | NBC Premier League | KMC Complex | 08.05.2025

Mwenyewe ilikua niulize ..Maana nipo kwenye mtanziko mkubwa hapa huu ubaya ubwela unaweza kunipita kiaina tu..
Hii ni fawanews lakini hata Azam Max mambo ni hayo hayo

Hivi kuna anayefuatilia hii mechi kupitia online streaming?

Yani huku upande wangu sio Azam Max wala Fawanews koke huko ni chenga tupu na hii sio mara ya kwanza
Chenga aiseeee ngoja tusubir warekebishe
 
Haya waliopo kwenye tv walete mrejesho wajameni.
 
Kwani mlipeleka kesi CAS ili mpate nini ?
Kama sio ushindi?
Tupate ushindi Ndio kwakuwa Sheria inakutaka uwaandikie barua siku 21 after game.... Imagine Bodi ya Ligi mech imeaihirishwa machi 8 hawajaizungumzia mpaka mei na hata barua ya Yanga hawajaijibu nadhani ukileta ushabiki hutanielewa
 
At least saizi kwenye Azam Max imetulia
 
Budo Yamal amefanyiwa masins yani madhambi ndani ya BOX
 
Tupate ushindi Ndio kwakuwa Sheria inakutaka uwaandikie barua siku 21 after game.... Imagine Bodi ya Ligi mech imeaihirishwa machi 8 hawajaizungumzia mpaka mei na hata barua ya Yanga hawajaijibu nadhani ukileta ushabiki hutanielewa
Yanga aliruka hatua, Ndio maana halisi.
Yanga alitaka kuvaa jeans kabla hajavaa boxa
 
Back
Top Bottom