Kwenye mashindano ya vilabu ya CAF, hawaulizani URAIA wa mchezaji mkuu.Uraia alionao na tuliompa after the fact unaweza kupingwa kwenye mahakama za juu za mpira kama timu iliyofungwa na Simba au taifa stars ilimchezesha Kibu Denis kwenye mechi zake...
Hakuna mtego wowote, Kibu ni mtanzania na ataendelea kunufaika na "privileges" za utanzania wake kama mtanzania mwenzake yeyote yule awaye.Hii issue imeamuliwa kishabiki sana, itakuwa mtego kwa simba na stars
Huu nao ni upuuzi. Mbona kina Rahim Sterling na nusu ya wachezaji England si raia wazawa?Uraia alionao na tuliompa after the fact unaweza kupingwa kwenye mahakama za juu za mpira kama timu iliyofungwa na Simba au taifa stars ilimchezesha Kibu Denis kwenye mechi zake...
Kabila gani mkuu? Baba yake na mama yake wako wapi, babu na bibi zake, ndugu zake wengine wako wapi.Kibu ni raia halali wa Tanzania.
Ficha ujinga wako,upo uraia wa kuzaliwa na upo urai wa kuandikishwa,na aina zote ni halali.Kabila gani mkuu? Baba yake na mama yake wako wapi, babu na bibi zake, ndugu zake wengine wako wapi.
Kuna haja ya kukurudisha darasani mkuu ufundishwe tena aina za uraia.Kabila gani mkuu? Baba yake na mama yake wako wapi, babu na bibi zake, ndugu zake wengine wako wapi.
Mkuu "Ujinga Haufichiki"Ficha ujinga wako,upo uraia wa kuzaliwa na upo urai wa kuandikishwa,na aina zote ni halali.
Bro your not reasoning properly. Kama Kibu tayari ameshakuwa cleared kuwa ni raia wa Tanzania hata akitumika na Simba kwenye CL haiwezi kuleta misunderstanding mwasababu tayari kula legal basis zimeshakuwa established kuwa ni raia.Uraia alionao na tuliompa after the fact unaweza kupingwa kwenye mahakama za juu za mpira kama timu iliyofungwa na Simba au taifa stars ilimchezesha Kibu Denis kwenye mechi zake...
Tujibu hoja amepewa uraia wa Tanzania au wamedeclar ni raia wa Tanzania?Bro your not reasoning properly. Kama Kibu tayari ameshakuwa cleared kuwa ni raia wa Tanzania hata akitumika na Simba kwenye CL haiwezi kuleta misunderstanding mwasababu tayari kula legal basis zimeshakuwa established kuwa ni raia...
Kuna tofauti kati ya hayo mawili ?Tujibu hoja amepewa uraia wa Tanzania au wamedeclar ni raia wa Tanzania?
Either of the the two gives him the legal status of a Tanzanian.Tujibu hoja amepewa uraia wa Tanzania au wamedeclar ni raia wa Tanzania?