Simba kwa huyu mgeni rasmi wa Simba Day leo, mmetuangusha sana mashabiki

Bado muda upo Simba inaweza kubadilisha Mgeni Rasmi , Ndugai ni kimeo
Mgeni_rasmi_wa_SIMBA_DAY_2021_atakuwa_ni_Spika_wa_Bunge_la_Tanzania%2C_Mhe._Job_Ndugai...%C2%A...jpg
 
Kwani Ndugai ana shida gani kwenye tasnia ya michezo?

Simba day sio SIASA,
ni MICHEZO na USTAWI wa WADAU wa SIMBA.

Huo ubaguzi wenu ndio unaowala hapo Utopoloni.
Mubaki munajiita Mabinga wa Zamani.
 
Siasa huwezi kuitenganisha na kitu chochote

Maamuzi yoyote afanyayo job ndugai bungeni yanawaathili watanzania wote, wakiwemo wanasimba
 
Kwa kitendo cha kumualika Job, Simba wakubali hawakushauriwa vizuri. Hili litawagharimu kukosa mashabiki uwanjani lakini pia ikitokea wamefungwa wajiandae kuzodolewa!
Credibility ya Job imeshuka sana toka kwa Mwendazake mpaka sasa!
 
Kwani Ndugai ana shida gani kwenye tasnia ya michezo?

Simba day sio SIASA,
ni MICHEZO na USTAWI wa WADAU wa SIMBA.

Huo ubaguzi wenu ndio unaowala hapo Utopoloni.
Mubaki munajiita Mabinga wa Zamani.

Shida kubwa kwake ni kwa maamuzi yake yasiyozingatia katiba na hali halisi ya wanyonge - wananchi! Kama maamuzi yanapitishwa kisha anashangaa kwa nini yalipita bungeni unadhani kuna kiongozi hapo? Lakini pia mgeni rasmi ni yule ambaye ukimuweka kwenye mizani sehemu kubwa ya jamii inamkubali iwe kisiasa au kwa mambo mengine. Sasa mashabiki wakimuona huyo wanakumbuka “tozo” na wabunge wa “COVID19”. He is a disaster!
 
Yanga huwa mnajiumiza kwa mambo madogo madogo sana ya kipuuzi.

Naingia kwenye hoja moja kwa moja lakini awali ya yote naomba ku declare intest kwamba mimi ni mwanaSimba kindakindaki. Nina imani Simba Day ya leo tarehe 19/9/2021 imeandaliwa vizuri kimkakati na kimipango lakini kuna jambo moja ambalo klabu imetukusea sisi mashabiki wa ukweli wa Simba. Tangu nilipopata taarifa kuwa mgeni rasmi wa siku ya leo ni mzee wa Galilaya, mnazaleti Job Ndugai, nieamua nisiende kiwanjani. Naomba mashabiki wengine wa Simba mniunge mkono kususia tukio lhili la Simba siku hii ya leo. Hivi viongozi wa Simba huwa mnawaza nini hasa? Au Ndugai amewahonga hela ili awe mgeni rasmi leo kwa manufaa yake binafsi? Mnakwama wapi lakini?

Image ya Ndugai katika taifa hili imeporomoka sana kiasi kuwa hafai hata kuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya birthday. Iweje leo Simba mnamleta mtu huyu kuwa mgeni rasmi? Kusema kweli kitendo hiki kimeniuma sana na sio mimi tu, hata mashabiki wengi wa Simba watakuwa wamesikitishwa mno na kitendo hiki. Ombwe la Manara limeanza kuonekana mapema. Manara angekuwepo Simba hadi leo asingekubali kamwe ujinga huu kufanyika. Nasikitika kusema kwamba sitakwenda kiwanjani na wala sitafuatilia tukio hili kwenye TV. Nina kazi nyingi za kufanya siku hii ya leo. Kama nitakosa cha kufanya bora nilale usingizi.

Mlioumizwa na kitendo hiki cha Simba kumteua mgeni rasmi wa ovyo namna hii, tujuane mapema.

Nawasilisha.​
 
Timu yenu??
Timu siyo yenu ile. Mwacheni mwenye timu aamue.
 
Aisee wameniudhi sana kumchagua yule jamaa wa mirembe kuwa mgeni rasmi
 
Ndugai hawezi nitenganisha na Simba yangu.
Rivers na Simba nguvu moya Leo.

Ila namwona yanga akipata goli mbili kule. Tuone
 
Naingia kwenye hoja moja kwa moja lakini awali ya yote naomba ku declare intest kwamba mimi ni mwanaSimba kindakindaki. Nina imani Simba Day ya leo tarehe 19/9/2021 imeandaliwa vizuri kimkakati na kimipango lakini kuna jambo moja ambalo klabu imetukusea sisi mashabiki wa ukweli wa Simba. Tangu nilipopata taarifa kuwa mgeni rasmi wa siku ya leo ni mzee wa Galilaya, mnazaleti Job Ndugai, nieamua nisiende kiwanjani. Naomba mashabiki wengine wa Simba mniunge mkono kususia tukio lhili la Simba siku hii ya leo. Hivi viongozi wa Simba huwa mnawaza nini hasa? Au Ndugai amewahonga hela ili awe mgeni rasmi leo kwa manufaa yake binafsi? Mnakwama wapi lakini?

Image ya Ndugai katika taifa hili imeporomoka sana kiasi kuwa hafai hata kuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya birthday. Iweje leo Simba mnamleta mtu huyu kuwa mgeni rasmi? Kusema kweli kitendo hiki kimeniuma sana na sio mimi tu, hata mashabiki wengi wa Simba watakuwa wamesikitishwa mno na kitendo hiki. Ombwe la Manara limeanza kuonekana mapema. Manara angekuwepo Simba hadi leo asingekubali kamwe ujinga huu kufanyika. Nasikitika kusema kwamba sitakwenda kiwanjani na wala sitafuatilia tukio hili kwenye TV. Nina kazi nyingi za kufanya siku hii ya leo. Kama nitakosa cha kufanya bora nilale usingizi.

Mlioumizwa na kitendo hiki cha Simba kumteua mgeni rasmi wa ovyo namna hii, tujuane mapema.

Nawasilisha.​

Wenye uelewa finyu watakupinga ila nakupongeza sana, Ndugai hakubaliki na jamii, wamewaza utopolo kbsa, why not January Makamba. Wanaalika jitu la kichoko choko kbsa
 
Mpira na Siasa ni vitu viwili tofauti ,na Simba wamemleta Ndugai kwasababu ni shabiki wao,hapa hata ungemleta Mbowe awe mgeni rasmi bado ni siasa. Tusiingize siasa kwenye mpira .

Ila ingependeza zaidi next time Simba imlete mgeni rasmi awe mdau wa mpira au wachezaji wa zamani kama Drogba ,Eto'o ,Gaucho ,Okocha n.k.
 
Africa kila kitu Siasa

Shughuli za kidini, michezo na hata za burudani Mgeni wa Heshma lazima awe Mwanasiasa ila shughuli za Kisiasa Mgeni wa Heshma hawezi kuwa Kiongozi wa dini
 
Mtoa uzi hata kama Simba mwenzangu sikuungi mkono..kuna maisha baada ya kazi. Tuache siasa..hapo ameenda kama mwanamichezo na kwa taarifa yako kwa vile anavyoipenda Simba sioni shida.
 
Mkuu Simba ni klabu kubwa Afrika na duniani. Wewe kwanini unadhani Ndugai anafaa kuwa mgeni rasmi pamoja uchafu wake wote ule? Please explain briefly.
Mkuu wewe Yanga..usituharibie sherehe yetu .nenda kwenye maombolezo huko Nigeria.
 
Mtoa uzi hata kama Simba mwenzangu sikuungi mkono..kuna maisha baada ya kazi. Tuache siasa..hapo ameenda kama mwanamichezo na kwa taarifa yako kwa vile anavyoipenda Simba sioni shida.
Ccm huwa wanatesa sana

Sababu hujibadilibadili kama kinyonga

Wameingiza turufu yao ndugai kuipamba ccm yao.
 
Back
Top Bottom