SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 43,707
- 60,764
Uongozi ulishasema watapeleka timu uwanjani,na huyo msemaji alisema kuwa kauli yake ilikuwa ya utani tu. Wazee wanaoshikilia msimamo wa kutopeleka timu uwanjani hawatambuliki kwenye Katiba ya Yanga kama sehemu ya uongozi wa Yanga. Mechi ipo pale pale.Uongozi wa Yanga wameishakataa kata kata ( kupitia kwa msemaji wao) kupeleka timu kiwanjani. Wewe unaishi duniani gani mkuu?