Simba hatarini kupokonywa kombe; TFF kufungiwa na FIFA kwa sababu ya Yanga

Katika historia yangu ya kufuatilia mpira wa Tanzania sijawahi kuona Rais wa TFF ng'ombe na mbumbumbu kama Karia. Nashangaa kwanini amechukua fomu kugombea tena wakati uongozi wake umeharibu sana mpira wa nchi hii. Ikiwa suala dogo tu la kurudisha viingilio vya mashabiki linamshinda, uongozi gani anataka tena? Mpuuzi kabisa.
Kelele zenu hazisaidii,tarehe 3 July njoni mkeketwe, na Kigoma pia mnaenda chezea kipondo na kwenye ngao ya hisani tunawabokoa, yaani mwaka huu hadi mtie akili.
 
The Utopolo Jazz Band huu ushindi wa leo wataushangilia karne nzima, utadhani wamechukua kombe. Kipofu kaona mwezi😂😂😂😂😂😂
 
Simba haikwepo uwanjani kwa mda wa awali ,Je Yanga walionana na makamishna na marefa wa huo mchezo uwanjani?je sheria inasemaje timu kukimbia uwanjani bila kuwepo kwa makamishna na marefa wa huo mchezo?
Nafikiri aliyemkimbia mwenzake hiyo tarehe 8 keshajulikana, mujadala ufungwe tafadhari tukutane Lake Tanganyika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom