Silaha za Masafa Marefu Zinazomilikiwa na JWTZ

SIff resistance ? mpaka sasa Russia ameishapoteza askari wake 25,000 tangu vita ianze ,ni resistance ipi unoyohitaji toka majeshi ya Ukraine?





Kaka kuwa specific kwamba Russia wamepitwa na nani? nitajie nchi tano tu zinazoongoza kwa utengenezaji wa siraha za kisasa za kivita.Kwanza Russia hajakutana stiff resistance ya kupelekea yeye kutumia modern tech yake kwenye siraha.

Kaka kuwa specific kwamba Russia wamepitwa na nani? nitajie nchi tano tu zinazoongoza kwa utengenezaji wa siraha za kisasa za kivita.Kwanza Russia hajakutana stiff resistance ya kupelekea yeye kutumia modern tech yake kwenye siraha.
 
ijaona Tanzania ikitupa vifaru vya zamani na kuleta vipya, na sijui kama Tanzania itapata tena mzinga ya kutumia kwenye vifaru hivyo kama siyo vya shoo tu. Vifaru kama hivyo leo hii vimekuwa scrap zilizosambaa kwenye ardhi ya ukraine.
Uzi wako una mantiki,ila katika mstari huu najiuliza moyoni,kwa kuwa tanzania tuna kiwanda cha kuunda magari ya kijeshi(nyumbu)
Wakiamua kuyeyusha chuma ya vifaru na mizinga ya zamani kupata chuma wakaunda magari unadhani watatupa taarifa sisi raia?
 
Vita ya sa hv ni propaganda , technology na Airforce , kama huna uwezo kwenye maeneo hayo omba maridhiano mapema.... Askari wenu wanaopasua tofali uwanja wa mkapa wanawadanganya
Hata weye! bado uko gizani totorooo!! vita ya sasa ni vya ''star war'' hatuui watu hovyo wasio na hatia km zamani za Idd Amini. bali tuna wakamata wale wooote waliomo ktk Presdential inner circle!....Then tunawahifadhi mahala salama! ajili ya maonyesho! mpaka wafe wenyewe!
 
Hata weye! bado uko gizani totorooo!! vita ya sasa ni vya ''star war'' hatuui watu hovyo wasio na hatia km zamani za Idd Amini. bali tuna wakamata wale wooote waliomo ktk Presdential inner circle!....Then tunawahifadhi mahala salama! ajili ya maonyesho! mpaka wafe wenyewe!
Mi nazungumzia full-scale invasion or decralation of war , huenda sjakuelewa au unachozungumzia ni tofaut na ninachozungumzia , ujasusi ni mbinu tangu enzi na enzi Ila sio rahs kama unavyofkria hasa Kwa nchi zenye rank moja ya kijeshi
 
Una maana Urusi hawana silaha walizotengeneza toka enzi hizo, tokea sisi tunaagiza toka kwao?

Na haya makombora yanayokwenda spidi ya G5, na kuwa na uwezo wa kuepa kinga dhidi yake, nayo ni teknologia ya zamani?
Huyu jamaa anafikiri kuwa russia alisimama kutengenza mizigo tangu 1945.... Kwahiyo mizigo wanayonunua India Iran wanauziwa ya 1967?? Na juzi turkey wamesema wanaenda kununua mambo mengine zaidi hapo kremlin. Russia kutumia silaha za zamanj kwenye hii vita ni njia moja wapo ya kudispose hizo silaha maana ni mzigo kubaki nazo wakati now wana vitu vipya.

Sent from my LDN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Wamagharibi wenyewe wanasema Urusi anatumia silaha za zamani tu mpya hajatoa hata kidogo zaidi ya yale makombora yasiyozuilika.

Hata US/NATO hakuna anaempa Ukraine silaha mpya zote ni za zamani tu.

Yaani kwa operation ya Ukraine Urusi ni kama anasafisha stoo tu..
wote wawili wanasafisha stoo. Russia anafanya replacement na US/Nato wanafanya biashara na Ukraine maana zingekuwa mizigo kama kusingekuwa ma vita ndoa maama hawataki amani wao wanachochea tu kuongeza silaha ili zitoke kwenye maghala yao. Kuna yule boss mmoja wa kuuza masilaha huko Us anasema juzi kuwa $$ kibao faida wanategemea kwenye hii vita. It means ikiisha Ukraine atakuwa na Kazi ya kulipa watu pesa huyo west. Maana sio za bure zile

Sent from my LDN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Unasema tunafanana na nchi kama Uswizi unajua inatumia gharama kiasi gani kwenye ulinzi? Last year iliagiza F-35 stealth fighters zaidi ya 30 kwa gharama zaidi ya $5 billion na hapo inaongezea ndege aina nyingine ilizonazo. Na unajua Uswizi imewekeza kiasi gani kwenye diplomasia na ujasusi. Haitokei tu ikawa salama kuna jitihada nyingi za makusudi na za gharama inafanya, na sisi hatufanyi hizo
Hizi nchi za daraja la kwanza zinajua kuwa iwe mvua iwe jua soon kitapigika kama cha 1945 so lazima kila mtu awe ready kinyuklia au kivingine. But huku africa bado hatuwazi nchi kuvamia nyingine hayo yaliisha na Idd amini. Tuna shida nyingi kuanza kuvamia nchi nyingine. Na sioni jirani mwenye wazo la kujaribu. Kidogo mwenye mapafu ni Kenya but sioni wakifanya huo ujinga kwa miaka 100 ijayo.

Sent from my LDN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Uzi wako una mantiki,ila katika mstari huu najiuliza moyoni,kwa kuwa tanzania tuna kiwanda cha kuunda magari ya kijeshi(nyumbu)
Wakiamua kuyeyusha chuma ya vifaru na mizinga ya zamani kupata chuma wakaunda magari unadhani watatupa taarifa sisi raia?
Swali zuri sana. Labda kweli huwa wanayeyusha hivyo vya zamani; halafu silaha zile zinazoletwa kwenye maonyesho ni za maonyesho tu.
 
Hizi nchi za daraja la kwanza zinajua kuwa iwe mvua iwe jua soon kitapigika kama cha 1945 so lazima kila mtu awe ready kinyuklia au kivingine. But huku africa bado hatuwazi nchi kuvamia nyingine hayo yaliisha na Idd amini. Tuna shida nyingi kuanza kuvamia nchi nyingine. Na sioni jirani mwenye wazo la kujaribu. Kidogo mwenye mapafu ni Kenya but sioni wakifanya huo ujinga kwa miaka 100 ijayo.

Sent from my LDN-L21 using JamiiForums mobile app
Wizara ya ulinzi ipo miaka yote na majeshi yanatakiwa yawe na mafunzo, silaha na uwezo kila muda. Vita haitanagazwi kwamba nyinyi Tanzania ikifika 2035 tunawavamia. Vita inakuja kwa surprise na gharama yake kama hukuwa umejipanga ni kubwa mno kuliko kama ulikuwa unapoteza fedha kujipanga na uncertainty.

Kwanza ukiwa na jeshi imara huvamiwi kijinga, refer Russia na Marekani. Na ukiwa na rasilimali nyingi, umepakana na nchi nyingi, uko ukanda korofi kihistoria, una eneo kubwa la maji kama Tanzania ilivyo kwa yote unakuwa na probability kubwa ya kuvamiwa siku moja. Kama DRC ingekuwa na jeshi imara isingesumbuliwa na watoto kama Rwanda na Uganda.

Nyumba yenye uzio na umeme juu, mlinzi na mbwa mkali VS nyumba yenye mlango tu hapo unajua ni wapi wezi wanavamia kila wakijisikia. Kazi kubwa kabisa ya jeshi imara ni 'deterrence'
 
Hata Ujerumani inawazidi. Hawajapata stiff resistance huku majenerali wanauwawa kama makoplo? Kazi yao kubwa ni kurusha makombora ya kuuwa raia na kubomoa makazi ya watu lakini wanapokutana vita ya ana kwa ana hawana ubavu. Vifaru vinabomolewa kama vibuyu
Unless u are pro West, but ushabiki unazidi kuliko uhalisia....kwamba u know better than the Russian themselves!!!
 
Kushindwa kupeleka jeshi Mozambique, mpaka Rwanda mwenye vifaa vya kisasa kuingilia kati, ilionyesha ni jinsi gani tunajielewa na kijeshi chetu cha 19kweusi.....
 
Unless u are pro West, but ushabiki unazidi kuliko uhalisia....kwamba u know better than the Russian themselves!!!
Sijui wewe ndugu yangu unasoma habari zako kutoka wapi iwapo hata warusi wenyewe hawajui kinachoendelea kutokana na sheria ya "Special Military Operations" inayozuia habari kamili zisiripotiwe ila propaganda zinazotolewana serikali tu. Huna habari na vifaru vya Urusi vinavyoeketetezwa Ukraine kama vibuyu na askari wa Urusi wanaouwawa mara kwa mara hata serikali yao haitaki kuchukua maiti tena? Mpaka sasa nguvu ya Urusi ni Makombora ya mbali ya kubomoa majumba na infrastructure tu. Jana batallion zima imeteketezwa wakijaribu kuvuka mto; vifaru vyote na askari wote wakateketezwa, unaweza kumpata mrusi anayejua hayo iwapo wanalishwa propaganda mpaka hata mwenzo aliwasuta kuwa wanatangaza uwongo. Je naye alikuwa pro-West? Its true; I know better than the Russians.
1652470756736.png


1652469840838.png


Ninajua kuna warusi wa magomeni wanaoamini kuwa dunia ni West against Urusi, lakini elewa kuwa huko West unakoona hakufai ndiko ambako vyombo vya habari ni vya binafsi na waandishi wake wanaripoti moja kwa moja kutoka kwenye uwanja wa vita, hawapokei propaganda za serikali. Kwa jumla watu wa West wako well informed kulinganisha na Urusi.

Yaani huyu jamaa anaingia kwenye hatari ili kuropti ukweli wewe unamwona ni mtu wa propaganda za Pro-West wakati vita ni ya Urusi kuivamia Ukraine, nchi ambayo ilikuwa kama haina jeshi tu kwani askari wengi wanaopigana ni wale wanamgambo au Sungusungu ambao waliokotezwa ili kutetea nchi yao.

1652471089420.png


1652470537022.png
 
zelisky ndo katoa hizo data au nato au usa au media based na hizo pande. Je tunauhakika nazo kwa % ngapi. Maana vita propaganda ni nyingi sana

Sent from my LDN-L21 using JamiiForums mobile app
AggerFirminho,mfano nikitaka kujua habari zako wewe ambazo ni positive,nina uhakika kuzipata kwa watu wako wanaokupenda,lakini nikitaka kujua habari zako ambazo ni negative nitazipata kwa watu wasiokupenda na maadui zako.
Nikweli vita huwa zimejaa habari za propaganda lakini kuna habari za kweli pia,mfano ukiambiwa Jiji la Kiev limekuwa magofu yaliyobomolewa huna haja ya kubisha,usijeukasema zile video kwenye channel za Tv za nje zimetengenezwa,au ukiambiwa manowari ya Russia ilizamishwa katika black sea huna haja ya kubisha,ukiambiwa Russia pamoja na kushikilia miji yenye bandari muhimu kama Mariupol majeshi yao yamekutana na hasara kubwa ambayo hawakuitegemea,wamepata resistance ambayo ilikuwa nje ya Matarajio yao,vita ambayo wao wameiita operation imeishakata miezi miwili,na tayari wameishapoteza askari 25,000. unajua kinachotokea ni kwamba Ukraine hawapigani peke yao nchi za magharibi zipo nyuma yao, satellite za wamarekani zinaanika movement za majeshi ya Russia halafu majeshi ya Ukraine yanapewa information zote kuhusu positioning ya warussia,hiyo imekuwa ni kipengele kigumu sana kwa Russia kiasi cha kushindwa kuiteka Kiev kwa mda waliotarajia,hapo hakuna propaganda ni facts tupu.
 
Makombora hayo ya high tech (cruise missiles) siyo mengi; hata urusi yenyewe na hata Marekani for that case hawana mengi ya ya kuwatosha hadi kuuza nje.

Hata kama wangependa kuyauza nje huwa ni vigumu kwa vile guns zake ni maalum sana hazipatikani kokote kwani nyingi wamezijengea ama kwenye meli zao za kivita au kwenye ndege maalumu za kivita.

Siamini kama Tanzania tayari tunazo hizo guns za cruise missles. Ukitafuta silaha kutoka urusi utauziwa zile za zamani. Miaka michache iliyopita walitangaza vifaru vipya vya aina ya T-4 Armata kuwa ni vya hali ya juu sana, lakini walipovijaribu vitani huko Syria na huko Donbas Ukraine kabla ya vitaa hii inayeondelea, vikaonekana kuwa weak sana wakaacha kabisa kuvitangza tena ingawa huwa vinaoenaka kwenye magwaride yao. Zaidi ya hapo, vifaru vyote kutoka Urusi ni design zilzoachwa na USSR.
mkuu T14 Armata njoo huku unasengenywa.
 
Back
Top Bottom