Kumbuka marehemu wenu hakuwa wazi pia,Huu mradi uwekwe wazi sio kwamba Hayati alikuwa mbaya completely hapana kuna vitu visipowekwa wazi vitaleta UTATA huko mbeleni.
Hatukatai maendeleo lakini yaje yale tutakayokubaliana nayo na kwasasa ni vyema Mh. Rais akurudisha vichwa ndani ya bunge kutoka upinzani ili vikapeane changamoto na wasomi wetu wa CCM ndani ya bunge tusonge mbele.
Tutamhukumu kwa hayo aliyayakosea ila tusimpuuze kwa maoni yake.Kumbuka marehemu wenu hakuwa wazi pia,
Amlichukua mikopo akasema tunaanzisha miradi kwa pesa za ndani
HIZO POSITION ZENU MLIZOKULA HELA ZA WACHINA NDIO ZINAWASUKUMA KUSEMA KUWA MWENDAZAKE ALISHAURIWA VIBAYA !! MNGEKUWA NA UBAVU KWANINI HAMKUPIGA KELELE WAKATI MWENYEWE YUKO HAI? MNA MAANA ALIKUWA HANA AKILI YA KUJUA KUWA ANASHAURIWA VIBAYA!Kwani wananchi huwa hawatoi maoni kamati za bunge zikiwa zina review miswada? Issue hapa ni mkataba kuwa wazi kwa wananchi and since hauwezi tu kutolewa mtandaoni hakuna namna zaidi ya walau kufika bungeni ili tujue content na fall back position zetu
Tafuta michango yangu humu kuhusu mradi wa Bagamoyo...... Niliandika humu kuhusu multiplier effect ya mradi kwamba ina outscore hasara za mradi.HIZO POSITION ZENU MLIZOKULA HELA ZA WACHINA NDIO ZINAWASUKUMA KUSEMA KUWA MWENDAZAKE ALISHAURIWA VIBAYA !! MNGEKUWA NA UBAVU KWANINI HAMKUPIGA KELELE WAKATI MWENYEWE YUKO HAI? MNA MAANA ALIKUWA HANA AKILI YA KUJUA KUWA ANASHAURIWA VIBAYA!
Wapi wamesema hiyo hela tunayoKwanini tusiboreshe bandari ya Tanga, dar na Mtwara,
Kwanini tujenge mpya kwa mapesa yote hayo.
Tutumie the same amount kuboresha zilizopo.
Tundu Lissu, Lema na Chadema kwa ujumla mkitaka kuuwa legacy ya hayati rais Magufuli kwa watanzania itabidi ufanye yafuatayo.Huu mkataba wa bandari ya Bagamoyo usipowekwa wazi kwa wananchi hakuna upande wa kuuamini. Kujadili hili jambo ni kulenga shabaha gizani tu.
Huu mkataba wa bandari ya Bagamoyo usipowekwa wazi kwa wananchi hakuna upande wa kuuamini. Kujadili hili jambo ni kulenga shabaha gizani tu.
Tunajenga miradi tilioni 6 hivi kweli tushindwe mradi wa bilioni 10Huu mradi tunajua ni kipumbafu!
Umenena vyema Mkuu. Na bahati nzuri JPM ashaondoka na mtizamo wake. Hao waliobaki nao watekeleze yao.Huu mkataba wa bandari ya Bagamoyo usipowekwa wazi kwa wananchi hakuna upande wa kuuamini. Kujadili hili jambo ni kulenga shabaha gizani tu.