mngony
JF-Expert Member
- Jul 27, 2012
- 5,212
- 6,409
Sisi tulikuwa tunakusapoti umetuangusha sana, kitendo cha leo serikali yako kuingilia masuala ya Soka na kupelekea kuvunjika kwa pambano la soka kati ya timu za Yanga na Simba kinasikitisha sana.
Michezo, ni moja ya vitu vinavyowaliwaza watu kusahau magumu tunayokabiliana nayo katika maisha ya kila siku. Ni liwazo kwa vijana wengi waliokosa ajira, na makundi ya jamii ya watu kama vile Wazee n.k
Kitendo cha Serikali kukurupuka kimeleta sintofahamu na kuzua taharuki. Wafikirieni watu waliofika asubuhi, wengine na familia zao, huku watu wengi wakiwa raia wenye kipato cha chini lakini kwa mapenzi ya soka na kupata liwazo wamekwazika, wamepoteza hela zao na wamepoteza muda wao
Lakini kikubwa unajenga chuki na jamii kubwa ya watu ambao wako katika kundi la wapenda soka.
Jambo hili linasikitiaha sana, Michezo ndio inawafanya hawa watu wasahau shida zao mbalimbali kwa muda mchache. Maisha ni magumu, ajira hakuna basi waachieni watu wafurahie na michezi na wajiliwaze
Labda wengije hamjui tu, GSM boss ni mpenzi wa Simba SC lakini yupo Yanga sio kwa sababu ya mapenzi au kibishara. Ni kutuliza wana Yanga kwa kuondoka kwa Manji, ili kusijengeke chuki baina ya fan base ya club ya Yanga dhidi ya Serikali.
Unrest ikianzia kwenye mipira inasambaa na kwengine, wakianza watu kuandamana kwa sababu ya mipira na kufanya fujo itahamia sehemu nyingine. Hili litazamwe vizuri