Uchambuzi: Yanga wamefungwa kimakusudi Ili kuwazubaisha mamelodi na simba

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,783
24,215
Kwa Sisi malegendary wa uchambuzi hapa jf Baada ya mchezo wa Jana tumejua tu kuwa Ile ilikuwa na planned Yanga kupoteza Ili kuficha mbinu Kwa mamelodi
Mamelodi walituma watu wao Ili kusoma mbinu za Yanga ..so Yanga hawakua mafala ....wakaamua kuficha mbinu zao zote na kumua kucheza soka butua butua nadhani mliona mpira wa Jana

Pia Yanga wamepoteza mechi Ili kumruhusu mpinzani wa Makolo ( Azam) awasogelee Ili waendelee kusumbuana wenyewe Kwa wenyewe ofcourse mbinu hii ni Kali ....nimeipenda
1710212894584.jpg
 
View attachment 2938085
sasa nimegundua wewe ndo mwanayanga mwenzetu ambaye ule mwiko upo nyuma yako.
 
Kwa Sisi malegendary wa uchambuzi hapa jf Baada ya mchezo wa Jana tumejua tu kuwa Ile ilikuwa na planned Yanga kupoteza Ili kuficha mbinu Kwa mamelodi
Mamelodi walituma watu wao Ili kusoma mbinu za Yanga ..so Yanga hawakua mafala ....wakaamua kuficha mbinu zao zote na kumua kucheza soka butua butua nadhani mliona mpira wa Jana

Pia Yanga wamepoteza mechi Ili kumruhusu mpinzani wa Makolo ( Azam) awasogelee Ili waendelee kusumbuana wenyewe Kwa wenyewe ofcourse mbinu hii ni Kali ....nimeipenda
View attachment 2938085
Pumbafu kabisa wewe. Hujui mpira kacheze bao la kete tu
 
Ten huyo ni ule mwiko wa pilau wa jungu la kilo 20.... 😂 😂 😂
ameandika kitu cha kioumbavu sana. muda wote najiuliza hawa simba wanatuambia tuchomoe mwiko nyuma.....haya matusi wanayatoa wapi. kumbe kuna mijitu tupo nayo inatembea ina mwiko nyuma. na wewe unakazia kuwa ni ile miiko mikubwa ya kusongea ugali watu watano????????????????????????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom