Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,794
- 58,425
Nimekubali kila kitu ila sio rahisi hivo kama alivyokua anasema.mtoa madaMimi naijua hiyo kitambo sana mkuu,
Alichokieleza mtoa mada ni sahihi kabisaa.
Nimekubali kila kitu ila sio rahisi hivo kama alivyokua anasema.mtoa madaMimi naijua hiyo kitambo sana mkuu,
Alichokieleza mtoa mada ni sahihi kabisaa.
Yes,urahisi ni kweli.Nimekubali kila kitu ila sio rahisi hivo kama alivyokua anasema.mtoa mada
Upigaji hakuna ndio..Yes,urahisi ni kweli.
Ila hamna upigaji
Mimi nimesomea mambo ya financial... Ila kwenye wasifa niliongezea na mambo ya excel na words yaani nipate kazi za kuandika na kupanga data nakumbuka nilipata kazi moja nayo kwangu ilikuwa ngumu sana+ lugha gongana....niliachana nayo mkuu nikakimbilia shambani.Kwahiyo sasa hivi unaitumia?
DuuuhMimi nimesomea mambo ya financial... Ila kwenye wasifa niliongezea na mambo ya excel na words yaani nipate kazi za kuandika na kupanga data nakumbuka nilipata kazi moja nayo kwangu ilikuwa ngumu sana+ lugha gongana....niliachana nayo mkuu nikakimbilia shambani.
Inatakiwa lugha iwe inapanda, uwe na muda wa kucheki kama kuna kazi yyte, uwe na vifaa (computer)+ internet.
Watu waliosomea computer science wana wigo mpana sanaa.
Pia ukiingia uko utakutana na watu wakongwe unaweza ukakaa ata mwaka ukakosa kazi.....
Sawa tajiriUko sahihi sana, Watanzania Jau sana hasa huyu adriz naona ana kila sababu ya kufa masikini