fiverr

Fiverr (Hebrew: פיברר‎) is an Israeli online marketplace for freelance services. The company provides a platform for freelancers to offer services to customers worldwide.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwafrika mmoja

    JamiiForums Tanzania Huu ni Ushuhuda wangu wa Kweli kuhusu pesa

    Katika Dunia hii ambayo wote tumezaliwa tumekuja hatuna hata soksi, kila kitu tumekikuta basi tambua kuwa hakuna kitu HAKIWEZEKANI. Mitandao hii hii ambayo tunatumia kila siku. Kuna watu ndiyo inawaendeshea maisha. Kuna watu wamejenga, wamenunua magari, kuna ambao hawataki kuajiriwa. Iko Hivi...
  2. Mwafrika mmoja

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kufungua Akaunti ya Fiverr na Kuanza Kuuza Ujuzi Wako

    FIVERR ni soko la mtandaoni linalokuunganisha na watu duniani kote wanaohitaji huduma hizo na wako tayari kulipia ukiwa tu na kipaji au ujuzi wowote, labda kuandika, kutafsiri, kutengeneza logo, kuhariri video, kusimamia mitandao ya kijamii, kurekodi sauti au hata kuingiza data. Leo nakupa...
  3. Mwafrika mmoja

    JamiiForums Tanzania Sikupi pesa ila nakupa mchongo, amua wewe

    Siku chache zilizopita niliwapa stori ya rafiki yangu wa kijani ambaye amenisaidia kuona upande mwingine wa dunia ya freelancing. Wengi mliuliza: "Huyo rafiki ni nani?" Leo nimeamua kumleta rasmi. Jina lake ni FIVERR. Usichanganyikiwe na kizungu, ngoja nikuelezee kwa lugha rahisi. Fikiria una...
  4. Mwafrika mmoja

    JamiiForums Tanzania Namsimulia Rafiki yangu wa Kijani (Part TWO)

    PART TWO Basi bwana, katikati ya mwaka wa 2023 nilipata pigo ambalo lilibadilisha kabisa ndoto zangu za kusonga mbele na nilifikia hatua ya kuwaza nirudi zangu Kijijini nikaanze upya na maisha. Mwezi Juni, mimi na sehemu yangu niliyokuwa nafanya kazi tulifikia mwisho. Niliumia kwasababu...
  5. Mwafrika mmoja

    JamiiForums Tanzania Namsimulia Rafiki yangu wa Kijani

    Stori yangu inaanzia mbali, mwaka 2020 wakati ambao COVID-19 ilishika kasi, watu wanapunguzwa makazini, wengine wanapewa likizo bila malipo na wengine wanaendelea na kazi lakini mishahara inasua sua. Maisha yangu yalikaba sana, nilikuwa nategemewa na pesa ninayopata haitoshi "NINATOKAJE?" ndiyo...
  6. youngkato

    JamiiForums Tanzania Unaweza kupata kazi na ajira za Freelancing Bila Kutegemea Upwork au Fiverr.

    Unaweza kupata wateja wa Freelancing Bila Kutegemea Upwork au Fiverr. Unaweza kupata wateja wa Freelancing Bila Kutegemea Upwork au Fiverr. Jinsi Nilivyopata Wateja 100 wa kwanza Nimekuwa freelancer kwa miaka 5, Nimefanya kazi na wateja zaidi ya 100 Global. Wengi wao sikuwapata Fiverr wala...
  7. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Geuza simu yako kuwa ofisi yako. Tumia bando kupata pesa mtandaoni

    Kupata pesa za mtandaoni kuna njia nyingi, lakini ni muhimu kuchagua njia salama na halali ili kuepuka udanganyifu na hasara. Hapa kuna baadhi ya njia sahihi za kupata pesa za mtandaoni: 1. Kufanya Kazi huru (Freelancing): - Unaweza kutumia majukwaa kama Upwork, Fiverr, na Freelancer kutoa...
  8. Mfipa Origino

    JamiiForums Tanzania Namna ya kujaza akaunti ya malipo ya wateja Fiverr

    Heri ya Christmas na Mwaka Mpya. Wataalamu, naombeni ushauri namna ya kujaza njia ya malipo kwa ajili ya wateja Fiverr kwa Tanzania. Maana kuna gig nilipost juzi na nikaanza kupata maoni ya wateja wakitaka kuweka oda, sasa mmoja alisema njia ya malipo sijaweka, na mwingine alisema alihitajika...
  9. Mwafrika mmoja

    JamiiForums Tanzania Mchongo wa kupiga pesa $350 Fiverr ndani ya mwezi

    Habarini wadau, ni wajiu wetu sisi vijana kupeana fursa za namna ya kutafuta pesa online kulingana na namna ulimwengu unavyokua kwa kasi. Tusitumie bando kufurahi tu bali tuingize pesa. Siku hizi fursa za kupiga pesa mtandaoni zipo nyingi, ikiwemo hii ya freelancing ambayo unatumia ujuzi wako...
  10. Tanzanite Digital Agency

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kupata Kazi Fiverr (Approved Method)

    Wakati dunia inazidi kubadilika technologically, Nchi za Ki-Africa hatuna sababu ya kubaki nyuma maana resources zote za mtandaoni ni za dunia na wala si nchi fulani. Nadhani kama umepata kuona Ai mpya ya chat GPT utagundua within 5 years kama utalala sasahivi, basi utakuwa nyuma sana. Lakini...
  11. Trab na Trat

    JamiiForums Tanzania Nanunua Positive Reviews Upwork na Fiverr

    Habari wakuu, kama una account ya Upwork au Fiverr ya zamani iliyowahi kununua bidhaa au huduma niko interested kukulipa unipe review kwenye account zangu. Kwa wale wa Upwork ntakulipa, halafu wewe utaweka nusu ya pesa Upwork then utapost tangazo la kazi kule, mimi Nita apply na kuifanya...
  12. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Fiverr & Upwork: Je, naweza kutengeneza account rapa za kununua na kujilipa huduma zangu na kujipigia promo kwenye reviews ili nipate michongo zaidi?

    Nataka nitengenez account kama 20 hivi za wanunuaji wa bidhaa wa fiverr, ntakuwa nalipia kupitia visa hizi za mpesa/ Airtel. Nataka niwe nanunua bidhaa zangu mwenyewe halafu najipongeza kwamba natoa huduma nzuri ili nijenge jina. Ntakuwa nacheza na Ip address tofauti kwa kila browser tofauti...
  13. Tanzanite Digital Agency

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kupokea/ku-withdraw Pesa Kutoka Upwork Au Fiverr (Beginners Freelancing Guide)

    Hii ni special kwa all internet money hustlers! (Read more....) Kama umekuwa interested au umefanya research kuhusiana na freelancing then utakuwa umekutana na platforms za freelancing kama vile Upwork, Fiverr, Freelancer na zaidi. Lakini, swali linalokujia akilini at the beginning ni namna...
  14. Tanzanite Digital Agency

    JamiiForums Tanzania Easy Skills Kuanzia Kama Freelancer (Fursa Kwa Wote)

    What's Up, Guys! :) Najua kuna graduates humu wanaulizia ajira, but vipi ushawaza kujiajiri kama huipati hyo ajira? Najua kisingizio kitakuwa mtaji na factors nyingi ambazo siwezi kuwalaumu. All because ndio elimu yetu ilivyotuandaa, ku blame system na kufukuzia ajira. So, nimeona nifanye...
  15. Tanzanite Digital Agency

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kupata (win) Kazi on Upwork

    Lets keep it straight and simple, Upwork ni platform kwaajili ya professionals so, you have to be an expert in your skills na kama sio expert basi ujue how to source that skill properly. Points you should consider au ku-note kabla hujaapply kwa hizo kazi. 1) Apply to your skills related jobs...
  16. Tanzanite Digital Agency

    JamiiForums Tanzania Laki 2 kwa Wiki Freelancing Skill (No Experience Needed with Prove)

    Kama hujasoma my previous thread about how to start a freelancing business popote pale ulipo bila experience wala mtaji wowote, basi pitia sasa maana nimeelezea everything concerning this business. Kwa kifupi, Freelancing ni aina ya biashara ambayo mtu yeyote yule anaweza kuuza service yake kwa...
Back
Top Bottom