Sikumkimbia Dr. Slaa New Africa Hotel

Sikumkimbia Dr. Slaa New Africa Hotel

Kuna thread iliwekwa humu kuwa nilikuwa naongea na Nyakarungu na mara baada ya Dr Slaa kufika nilikimbia.

Taarifa hizi kuwa nilikimbia sio za kweli na sikuwa na sababu ya kufanya hivyo. Nina ratiba zangu na uhuru wa kuongea na mtu yeyote. Ni bahati nzuri hata slaa mwenyewe sikumwona na sijui kama na yeye aliniona. Na nilikuwa njiani na kulikuwa na watu wengi tu na alipita bila attention ya watu.

Mimi naongea mambo kadha wa kadha na vijana wengi tu bila kujali vyama wakitaka kujua namna ya kuingia bila fedha kwenye siasa na kufanikiwa kama ilivyotokea kwangu, wakiomba ushauri kwa mambo ya shule na ujasiliamali.

Si jambo jema na sio afya kwa Taifa kwa vijana kuwaza fitna kila wakati.

So,hilo lina uzito gani kwetu??

allegations zako kwa vijana unazozingumzia ni zipi,hizi au hizo ulizonazo wewe unazotamba nazo kila kukicha?

mtoa matusi mkubwa si wewe unafahamika?

allegations zako hazina mashiko kwetu..

your allegations are unverified,unverifiable and completely false allegations..!

2015 bye bye..
 
The Fixer, siku ukizipenda siasa zangu shetani naye atamsifu Mungu

Siasa zako zinakasoro kubwa ingwa ni nzur...
~ Acha kufanya personal attach kwenye mambo ya kitaifa

~ Acha matusi kila wakati hususani kwenye halaiki kubwa kwan kuna wazee pale

~ Tambua kuubili udini, ukanda ni tatizo kubwa sana na sio dawa ya upizani hiyo

~ Ishi vizur na majirani zako na wanaozunguka mali zako pia
~ Ikulu ni mahali patakatifu paheshimu
~Acha kudanganya vijana na kupandikiza ................. kwa vijana wa CDM

~ TAMBUA IPO SIKU UTAKUFA.
 
Last edited by a moderator:
Kuna thread iliwekwa humu kuwa nilikuwa naongea na Nyakarungu na mara baada ya Dr Slaa kufika nilikimbia.

Taarifa hizi kuwa nilikimbia sio za kweli na sikuwa na sababu ya kufanya hivyo
. Nina ratiba zangu na uhuru wa kuongea na mtu yeyote. Ni bahati nzuri hata slaa mwenyewe sikumwona na sijui kama na yeye aliniona. Na nilikuwa njiani na kulikuwa na watu wengi tu na alipita bila attention ya watu.

Mimi naongea mambo kadha wa kadha na vijana wengi tu bila kujali vyama wakitaka kujua namna ya kuingia bila fedha kwenye siasa na kufanikiwa kama ilivyotokea kwangu, wakiomba ushauri kwa mambo ya shule na ujasiliamali.

Si jambo jema na sio afya kwa Taifa kwa vijana kuwaza fitna kila wakati.

Mwigulu naomba urudie kuangalia hayo uliyoandika na zaidi naomba uangalie kwenye red, ulichokiandika kinatia mashaka, unasema hukumkimbia Dr kwa sababu hukumuona na unafikiri na yeye hakukuona!!! Hapa ndipo tatizo linaanzia, kwa nini ufikiri hakukuona??? maana yake unakiri Dr alifika katika maeneo uliyokuwepo na unakiri ulikuwa na huyo kijana wa CDM ukimpa darasa la ujasiriamali na ulikuwa ukimfundisha siasa!!!! Sasa kama hukumuona, kwa nini ufikiri hakukuona???!!! Namba mbili yake ni hapa mwishoni unasema alipita bila attention ya watu, hapa ndipo kazi imekolea!! Yaani ndio kama ile Baba anamwambia mtoto, mgeni akija mwambie sipo alafu yeye anakwenda kulala, Mgeni anapokuja mtoto anamwambia Baba amesema hayupo!!!!

Mwisho unamalizia kwa kuwataka vijana waache fitna. Kauli hii inaweza kuwa nzuri ikitolea na mtu sahihi, lakini mstari huo ukiutafakali vizuri utagundua mwandishi amejaa woga, mashaka, hajiamini, ni mtu mwenye wasiwasi na ndani kabisa kuna fitina nzito, ninaamini hii ni kutokana na kuonwa siku hiyo na Dr Slaa live akitoa somo la Ujasiriamali kwa Nyakarungu. Maandishi ya Mwigulu yamejaa kujitetea kusiko sababu, anajisafisha sana bila sababu hebu angalia kwa mfano mistari kama hii "Nina ratiba zangu na uhuru wa kuongea na mtu yeyote", "Na nilikuwa njiani na kulikuwa na watu wengi tu"
Ndo kama ile mwizi anakamatwa darini anasema alikuwa anapita. Lakini wengi wa watu ambao wamezoea kuiba wake za watu (kushikwa ugoni) huwa na tabia kama hizi za kujiteteatea na kutufuta huruma, sina hakika kama huyu ndugu aliwahi kushikwa ugoni!!
 
Labda kama wanakuwa wanahitaji ushauri wa assassination na adultary!!
chadomo ni wataalamu wa hayo mambo ya assasination ,ngoja jembe na kiboko ya chadomo comrade mwigulu aweke hadharani video tape ya waratibu wa mauaji yanayofanywa na chadema halafu wanaisingizia serikali ya chama cha mapinduzi
 
Naam, kutokana na maelezo yako sasa na siku zote tunajua kwamba Mwigulu Nchemba ndiye mwanzilishi wa siasa za maji taka nchini, ushahidi upo kutoka kwa vijana unaowatumia na kuwapa pesa

Wewe ndiye unayedhoofisha afya ya Taifa, na kama chama chako kinaridhia utumishi wako, kuna haja ya kushughulikia hali hii ikome Nchini. Ni aibu kwa CCM

Ni aibu kwa kiongozi wa chama kinachodai kutetea maslahi ya wanyonge kukwapua ml 140 ruzuku ya watanzania masikini,na kujilipa mshahara milioni saba
 
Sema ukweli Nchemba utampa ushauri gani mtu wa cdm? mmefumaniwa.

Babu atawafundisha nini vijana wa chadomo wakati mpaka leo hajaoa ana mchumba ndio maana wabunge wengi wa chadema hawajaoa
 
Taarifa hizi kuwa nilikimbia sio za kweli na sikuwa na sababu ya kufanya hivyo. Na nilikuwa njiani na kulikuwa na watu wengi tu na alipita bila attention ya watu.

Kama HUKUMUONA ilikuaje ujue kuwa ALIPITA BILA ATTENTION yyt toka kwa watu waliokuwepo pale?
 
Naomba nikurekebishe kaka Lameck Mkumbo si kweli kwamba uliingia bila fedha katika siasa. Uliingia baada ya kutengeneza fedha za kutosha ulipokua BOT na ukafanikiwa kuwahadaa wanavijiji kwa kufadhili watoto katika shule za kata ambao wengi wao wameibuka na ziro kwa kua shule hizo zilianzishwa kwa mtindo wa zima moto. So usiwadanganye watu kwamba uliingia bila fedha jambo hilo kwa ccm ni ndoto.
 
Wewe una uhakika gani Kama Mwigulu Hakukimbia????
Hebu Jiulize, Source za hii Habari ni nani???
Source imesema kuwa Mwigulu na Nyakarungu walikuwa pale na Mwigulu hajabisha hili.
So source yetu ni ya Ukweli.
Source ikaenda Mbali zaid na kusema kuwa Mwigulu alikula Kona??
Wewe unamsemea kuwa Hakukimbia, Una msemea??
ni nani yako???
au we ndo yule wife wa yule Mwana CCM wa Igunga???
Mbona Kihere here hivyo
kichaa si lazima aokote makopo ,yaani yule babu aalivyojichokea vile plus katerero ya mshumbusi ndo anaweza mfanya mwigulu amuogope?try to think out of the box akili zakuambiwa changanya na zako
 
huyu first class economist gani k-i-m-a-v-i tu heti linavaa mabedera ya tz
mkuu haujamsikia shonza alivyo waweka peupe viongozi wenu wa chadema kuhusu elimu zao kwakuanza na mwenyekiti wenu aliyepata zero form six plus yule babu yenu anaejinasibu kwamba ni doctor wakati hata bachelor hana anachojua ni kutelekeza familia na kuiba wake za watu juzi secretary wake bi saumu naye kamuumbua kumbe alimuomba naye,hili nalo linahitaji uende darasani kama nchemba ndipo ulijue?
 
Pro-Chadema bana wana vituko sana angekaa kimya mgesema kamuogopa Dr Slaa.

umenena mkuu hawa chadomo yao majungu tu ndo wanayoweza kuwakosanisha wananchi na serikali yao tumewashtukia
 
Kuna thread iliwekwa humu kuwa nilikuwa naongea na Nyakarungu na mara baada ya Dr Slaa kufika nilikimbia.

Taarifa hizi kuwa nilikimbia sio za kweli na sikuwa na sababu ya kufanya hivyo. Nina ratiba zangu na uhuru wa kuongea na mtu yeyote. Ni bahati nzuri hata slaa mwenyewe sikumwona na sijui kama na yeye aliniona. Na nilikuwa njiani na kulikuwa na watu wengi tu na alipita bila attention ya watu.

Mimi naongea mambo kadha wa kadha na vijana wengi tu bila kujali vyama wakitaka kujua namna ya kuingia bila fedha kwenye siasa na kufanikiwa kama ilivyotokea kwangu, wakiomba ushauri kwa mambo ya shule na ujasiliamali.

Si jambo jema na sio afya kwa Taifa kwa vijana kuwaza fitna kila wakati.

Hakuna mtu mwoga duniani kama mwizi! Anaweza kukimbizwa na mtoto hadi akavunjika miguu! Hahahaa hapo mwigulu umekamatwa! Yani mtu akutake ushauri mbunge wa CCM kwa namna ya kupata ubunge bila kutumia fedha! Acha utani Mwigulu!
 
ungekuwa smart vya kutosha ungejibu tuhuma.huna lolote,unawaza skafu ya bendera ya taifa wakati huna utaifa wowote.nilikudharau tangu mkutano wa kibaha ukielezea utekekelezaji wa ilami ya chama chako badala yake,ukaanza ku attack personaly!unakumbuka.siku nyingine mkipata majukwaa ulete nondo za ukweli

mwambieni babu ajibu kwanza tuhuma za kuomba penzi kwa saumu,shabashhhhhh aibu gani hii mzee mzima huyu
 
Kuna thread iliwekwa humu kuwa nilikuwa naongea na Nyakarungu na mara baada ya Dr Slaa kufika nilikimbia.

Taarifa hizi kuwa nilikimbia sio za kweli na sikuwa na sababu ya kufanya hivyo. Nina ratiba zangu na uhuru wa kuongea na mtu yeyote. Ni bahati nzuri hata slaa mwenyewe sikumwona na sijui kama na yeye aliniona. Na nilikuwa njiani na kulikuwa na watu wengi tu na alipita bila attention ya watu.

Mimi naongea mambo kadha wa kadha na vijana wengi tu bila kujali vyama wakitaka kujua namna ya kuingia bila fedha kwenye siasa na kufanikiwa kama ilivyotokea kwangu, wakiomba ushauri kwa mambo ya shule na ujasiliamali.

Si jambo jema na sio afya kwa Taifa kwa vijana kuwaza fitna kila wakati.

Hapo kwenye red ni ushahidi tosha kuwa unamuogopa na pengine ni kweli ulimkimbia. Kwa sababu, kwa nini unaona (unaita) ni bahati nzuri wewe kutomuona Dr Slaa, kwani wewe kumuona ina ubaya gani au ingewezaje kuwa bahati mbaya kwako wewe kumuona?

Na ulijuaje kama kapita bila attention ya watu wakati ilikuwa bahati nzuri kwako maana hukumuona? Hiyo nayo inaonyesha uwezo wako wa kujenga hoja. Sasa hivi wananchi wamezinduka, wanataka hoja sio skafu shingoni!
 
Nchemba unaweza kuwa na maarifa na uzoefu wa kubadilishana au kufunza wengine juu ya siasa za kupandikiza na kueneza chuki lakini si mbinu za kuingia katika siasa bila kutumia pesa.

Unaweza kufundisha ujasiriamlo wa kisiasa na si ujasiriamali wa kutafuta mafanikio kihalali.

Anza kwa kutuweka wazi ni biashara gani umewahi kuifanikisha kijasiriamali kabla ya siasa chafu?

babu kanisa lilimshinda,ndoa ikamshinda,chama kimemshinda,urais ulimshindwa, hata hospitali ya CCBRT aliyopewa kuwa mwenyekiti wake ilimshinda akamuomba mh Rais Jakaya Kikwete amsaidie fedha zakuendesha hospitali .Nisaidie mkuu huyu babu anachoweza ni nini hasa?
 
Back
Top Bottom