Mkusa
JF-Expert Member
- Dec 14, 2010
- 548
- 209
Wewe una uhakika gani Kama Mwigulu Hakukimbia????Ni ujinga ulio kubuhu kufikiri katika terms za utengano kati ya wa Tanzania.
Sasa Mwigulu akimwona Dr Slaa amkimbie?
Au mwana CHADEMA akimwona mwana CCM amkimbie?
WanaJF wengine kama huyu Petro E. Mselewa mna mawazo ya kitoto, na umbea unawamaliza ustaarabu hata ule mndogo mlionao.
Katika familia yangu kuna wapenzi wa siasa wa vyama vyote, lakini tunashirikiana kama ndugu katika mambo yote.
Tukumbuke siasa si uadui.
Hebu Jiulize, Source za hii Habari ni nani???
Source imesema kuwa Mwigulu na Nyakarungu walikuwa pale na Mwigulu hajabisha hili.
So source yetu ni ya Ukweli.
Source ikaenda Mbali zaid na kusema kuwa Mwigulu alikula Kona??
Wewe unamsemea kuwa Hakukimbia, Una msemea??
ni nani yako???
au we ndo yule wife wa yule Mwana CCM wa Igunga???
Mbona Kihere here hivyo