Sikumkimbia Dr. Slaa New Africa Hotel

Sikumkimbia Dr. Slaa New Africa Hotel

Kuna thread iliwekwa humu kuwa nilikuwa naongea na Nyakarungu na mara baada ya Dr Slaa kufika nilikimbia.

Taarifa hizi kuwa nilikimbia sio za kweli na sikuwa na sababu ya kufanya hivyo. Nina ratiba zangu na uhuru wa kuongea na mtu yeyote. Ni bahati nzuri hata slaa mwenyewe sikumwona na sijui kama na yeye aliniona. Na nilikuwa njiani na kulikuwa na watu wengi tu na alipita bila attention ya watu.

Mimi naongea mambo kadha wa kadha na vijana wengi tu bila kujali vyama wakitaka kujua namna ya kuingia bila fedha kwenye siasa na kufanikiwa kama ilivyotokea kwangu, wakiomba ushauri kwa mambo ya shule na ujasiliamali.

Si jambo jema na sio afya kwa Taifa kwa vijana kuwaza fitna kila wakati.

Mwigulu! Kumbuka formula ya uongo. "UKIWA MUONGO USIWE MSAHAULIFU".
 
Mimi naongea mambo kadha wa kadha na vijana wengi tu bila kujali vyama................

Si jambo jema na sio afya kwa Taifa kwa vijana kuwaza fitna kila wakati.

Naam, kutokana na maelezo yako sasa na siku zote tunajua kwamba Mwigulu Nchemba ndiye mwanzilishi wa siasa za maji taka nchini, ushahidi upo kutoka kwa vijana unaowatumia na kuwapa pesa

Wewe ndiye unayedhoofisha afya ya Taifa, na kama chama chako kinaridhia utumishi wako, kuna haja ya kushughulikia hali hii ikome Nchini. Ni aibu kwa CCM
 
Hoja ni kuwa wewe Mwigulu Nchemba ulikuwa unaongea na Nyakarungu-kada wa CHADEMA. Je,ni kweli? Unaamini kuwa Dr. Slaa alipita mlipokuwepo? Mlikuwa mnaongea kuhusu nini? Zungumza ueleweke...acha kutafuna maneno
Ni ujinga ulio kubuhu kufikiri katika terms za utengano kati ya wa Tanzania.
Sasa Mwigulu akimwona Dr Slaa amkimbie?
Au mwana CHADEMA akimwona mwana CCM amkimbie?
WanaJF wengine kama huyu Petro E. Mselewa mna mawazo ya kitoto, na umbea unawamaliza ustaarabu hata ule mndogo mlionao.
Katika familia yangu kuna wapenzi wa siasa wa vyama vyote, lakini tunashirikiana kama ndugu katika mambo yote.
Tukumbuke siasa si uadui.
 
Last edited by a moderator:
Kumbe first class economist wa ccm huwaza hv? kwenye maelezo tu keshajichanganya. Ndio maana wanakopa ili kulipa mishahara! I doubt their IQ, mwigulu ulipataje hiyo degree? chuo kipi? Hata form four aliefeli hawezi kushindwa kufikisha ujumbe ktk para moja kama wewe hapo juu ulivyoshindwa. Hebu tuache siasa, kwa heshima ya chuo kilichokutunuka degree, ULITAKA KUSEMAJE? hebu nyoosha maelezo (though I doubt kama utaweza,ukichukulia hili changanya na utumbo uliokua unaongea bungeni wkt wa kuchambua hotuba za kambi ya upinzani, am inclined to aggree kua degree yako ni ya kudesa).
N:B Samahani kama nimekukwaza, I have no sympath with lowly way of thnking kama ya ccm
 
Kuna thread iliwekwa humu kuwa nilikuwa naongea na Nyakarungu na mara baada ya Dr Slaa kufika nilikimbia.

Taarifa hizi kuwa nilikimbia sio za kweli na sikuwa na sababu ya kufanya hivyo. Nina ratiba zangu na uhuru wa kuongea na mtu yeyote. Ni bahati nzuri hata slaa mwenyewe sikumwona na sijui kama na yeye aliniona. Na nilikuwa njiani na kulikuwa na watu wengi tu na alipita bila attention ya watu.

Mimi naongea mambo kadha wa kadha na vijana wengi tu bila kujali vyama wakitaka kujua namna ya kuingia bila fedha kwenye siasa na kufanikiwa kama ilivyotokea kwangu, wakiomba ushauri kwa mambo ya shule na ujasiliamali.

Si jambo jema na sio afya kwa Taifa kwa vijana kuwaza fitna kila wakati.

Raha sana kuona jinsi ulivyo mweupe. Thank God leo umedhihirisha jinsi ulivyo KILAZA.

Jambo moja wazi kabisa kutokana na maelezo yako kwamba ni kweli mlikuwa na Nyakarungu pale New Africa Hotel.

Mlikuwa mnajadili nini, hilo ni lenu wawili wewe na Nyakarungu japo kwa ushahidi wa kimazingira tunajua mlikuwa mnajadili jinsi ya kuihujumu BAVICHA na CDM baada ya yule hawara wako SHONZA na Zezeta Mwenzake Mwampamba kushindwa kikamilisha mikakati haramu uliyowatuma kuitekeleza ndani ya BAVIVHA NA CDM.

Kwa taarifa yako, CDM ina mkono wa Mungu daima kwa kuwa mbinu zote chafu dhidi yake huwa zinaabort mara moja tena kwa ushahidi usio na kificho kama hicho kikao chenu mlichokuwa nacho pale New Africa na kufumaniwa na Dr. Slaa na Deogratias Munishi (Katibu Mkuu BAVICHA)

Pole sana kaka na maelezo yako leo yamedhihirisha jambo moja kuwa kikao chenu na Nyakarungu pale New Africa ni ukweli mtupu.
 
Ni ujinga ulio kubuhu kufikiri katika terms za utengano kati ya wa Tanzania.
Sasa Mwigulu akimwona Dr Slaa amkimbie?
Au mwana CHADEMA akimwona mwana CCM amkimbie?
WanaJF wengine kama huyuPetro E. Mselewa mna mawazo ya kitoto, na umbea unawamaliza ustaarabu hata ule mndogo mlionao.
Katika familia yangu kuna wapenzi wa siasa wa vyama vyote, lakini tunashirikaba kana ndugu katika mambo yote.
Tukumbuke siasa si uadui.
Pale unapokuwa unajadili uharamia dhidi ya CDM kama alivyokuwa nafanya Mwigulu na Nyakarungu ni lazima unapomuona mtu kama Dr Slaa na Munishi usepe fasta kama walivyofanya wawili wale
 
Acha kukurupuka wewe!

Ukisoma vizuri na kwa utulivu utagundua kwamba, Mwigulu hakumuona huyo Dr. Slaa na hata kama ni kweli huyo Dr. Slaa alikuwepo hiyo sehemu basi hakupata attention yeyote kwasababu kama Dr. Slaa angepata attention ya watu, Mwigulu angemuona huyo Dr. Slaa.

Mnashindwa kuelewa vitu vidogo namna hii ndiyo maana hata huyo Dr. Slaa anawapelekesha kama misukule. Kila kitu anachokisema Dr. Slaa mnakishabikia bila hata ya kuhoji.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

inahitaji akil mfu km yako kubishana mpk na kinachoonekana na kusomeka kwa macho.
hayo umetoa ni maneno yako sio bos wako "nchumba"
 
Kuna thread iliwekwa humu kuwa nilikuwa naongea na Nyakarungu na mara baada ya Dr Slaa kufika nilikimbia.

Taarifa hizi kuwa nilikimbia sio za kweli na sikuwa na sababu ya kufanya hivyo. Nina ratiba zangu na uhuru wa kuongea na mtu yeyote. Ni bahati nzuri hata slaa mwenyewe sikumwona na sijui kama na yeye aliniona. Na nilikuwa njiani na kulikuwa na watu wengi tu na alipita bila attention ya watu.

Mimi naongea mambo kadha wa kadha na vijana wengi tu bila kujali vyama wakitaka kujua namna ya kuingia bila fedha kwenye siasa na kufanikiwa kama ilivyotokea kwangu, wakiomba ushauri kwa mambo ya shule na ujasiliamali.

Si jambo jema na sio afya kwa Taifa kwa vijana kuwaza fitna kila wakati.

Ha ha ha ume yataka mwenyewe haya linywe sasa na wana jf wana akili watakuchambua ulichoandika mpaka utajidhalau. Siasa njema
 
Duh, duniani kuna mambo sana. Ameanzisha thread kujitetea ila imekuwa mwiba mkali
 
sikutegemea kama ungekuja kujibu hoja ile maana wala haikukulenga wewe ila yule mdau wa chadema
 
Sema ukweli Nchemba utampa ushauri gani mtu wa cdm? mmefumaniwa.
 
Mdogo wangu Mwigulu unahitaji kusoma upya CL na Logic
 
Kuna thread iliwekwa humu kuwa nilikuwa naongea na Nyakarungu na mara baada ya Dr Slaa kufika nilikimbia.

Taarifa hizi kuwa nilikimbia sio za kweli na sikuwa na sababu ya kufanya hivyo. Nina ratiba zangu na uhuru wa kuongea na mtu yeyote. Ni bahati nzuri hata slaa mwenyewe sikumwona na sijui kama na yeye aliniona. Na nilikuwa njiani na kulikuwa na watu wengi tu na alipita bila attention ya watu.

Mimi naongea mambo kadha wa kadha na vijana wengi tu bila kujali vyama wakitaka kujua namna ya kuingia bila fedha kwenye siasa na kufanikiwa kama ilivyotokea kwangu, wakiomba ushauri kwa mambo ya shule na ujasiliamali.

Si jambo jema na sio afya kwa Taifa kwa vijana kuwaza fitna kila wakati.

pole zako tena pole sana...fitina zako za udini zimezaa matunda bado wachaga maana unasemaga m4c ni movement 4 chaga
 
naomba ile cd ya viongozi wa chadema wakipanga mauaji umkabidhi kwa FBI ili hatua sitahiki ziweze kuchukuliwa
 
Kuna thread iliwekwa humu kuwa nilikuwa naongea na Nyakarungu na mara baada ya Dr Slaa kufika nilikimbia.

Taarifa hizi kuwa nilikimbia sio za kweli na sikuwa na sababu ya kufanya hivyo. Nina ratiba zangu na uhuru wa kuongea na mtu yeyote. Ni bahati nzuri hata slaa mwenyewe sikumwona na sijui kama na yeye aliniona. Na nilikuwa njiani na kulikuwa na watu wengi tu na alipita bila attention ya watu.

Mimi naongea mambo kadha wa kadha na vijana wengi tu bila kujali vyama wakitaka kujua namna ya kuingia bila fedha kwenye siasa na kufanikiwa kama ilivyotokea kwangu, wakiomba ushauri kwa mambo ya shule na ujasiliamali.

Si jambo jema na sio afya kwa Taifa kwa vijana kuwaza fitna kila wakati.

Maajabu umeandika bila tusi hata moja.
 
Mtu ana kila tuhuma ambazo hazijajibiwa hapa.

Pamoja na kwamba jina lake si kweli lake, ni jina la mafafa.

Lakini hazijibu.

Anakuja kujibu some fluff.

Precisely because it is fluff!
 
Ni bahati nzuri hata slaa mwenyewe sikumwona na sijui kama na yeye aliniona. Na nilikuwa njiani na kulikuwa na watu wengi tu na alipita bila attention ya watu.
.

Hapo kwenye RED and BOLD.
Hukumuona, na alipita Bila attention ya watu, Je Ulijuaje kama alipita Bila attention ya watu kama hukumuona????
Ukiwa CCM Technically unajijumuisha kama hujumuishiw kwenye ile list ya 65% ya Kawambwa na Mulugo
Bure Kabisa, Et una Masters!!!!!
Ptuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Ni ujinga ulio kubuhu kufikiri katika terms za utengano kati ya wa Tanzania.
Sasa Mwigulu akimwona Dr Slaa amkimbie?
Au mwana CHADEMA akimwona mwana CCM amkimbie?
WanaJF wengine kama huyu Petro E. Mselewa mna mawazo ya kitoto, na umbea unawamaliza ustaarabu hata ule mndogo mlionao.
Katika familia yangu kuna wapenzi wa siasa wa vyama vyote, lakini tunashirikiana kama ndugu katika mambo yote.
Tukumbuke siasa si uadui.
Mambo haya wewe hayakuhusu na mswali haya wewe hayakuhusu pia. Mwachie mwenyewe.Halafu,maswali hayo si ya kitoto wala ya kimbea...ni ya kutaka kuelewa.
 
Kuna thread iliwekwa humu kuwa nilikuwa naongea na Nyakarungu na mara baada ya Dr Slaa kufika nilikimbia.

Taarifa hizi kuwa nilikimbia sio za kweli na sikuwa na sababu ya kufanya hivyo. Nina ratiba zangu na uhuru wa kuongea na mtu yeyote. Ni bahati nzuri hata slaa mwenyewe sikumwona na sijui kama na yeye aliniona. Na nilikuwa njiani na kulikuwa na watu wengi tu na alipita bila attention ya watu.

Mimi naongea mambo kadha wa kadha na vijana wengi tu bila kujali vyama wakitaka kujua namna ya kuingia bila fedha kwenye siasa na kufanikiwa kama ilivyotokea kwangu, wakiomba ushauri kwa mambo ya shule na ujasiliamali.

Si jambo jema na sio afya kwa Taifa kwa vijana kuwaza fitna kila wakati.
Usijidanganye hapo kwenye nyekundu wewe ni mtaalamu wa "masangomba" huna lolote! utawaharibu tu vijana hao!!
 
Back
Top Bottom