Kamanda wa Kweli
JF-Expert Member
- Jul 13, 2014
- 1,448
- 835
Hahaha...mkuu mimi no msomaji Tu...sina uwezo wa kufanya hayo Kwa sasa!!! Iam a jobless graduate.Hujashtuka bado mkuu?
Hahaha...mkuu mimi no msomaji Tu...sina uwezo wa kufanya hayo Kwa sasa!!! Iam a jobless graduate.Hujashtuka bado mkuu?
Hahah mi ni form 4 leaver tu mkuu wangu.Hahaha...mkuu mimi no msomaji Tu...sina uwezo wa kufanya hayo Kwa sasa!!! Iam a jobless graduate.
Hahaha...vyovyote vile mkuu wangu!!! Pamoja Sana.Hahah mi ni form 4 leaver tu mkuu wangu.
Hahah pamoja mkuu.Hahaha...vyovyote vile mkuu wangu!!! Pamoja Sana.
Jobless graduate nimesikitika sana kusikia ivo lkn usiseme ww ni jobless Ina maana hakuna chochote unachofanya? Kama kipo sema tukupe mawazo NduguHahaha...mkuu mimi no msomaji Tu...sina uwezo wa kufanya hayo Kwa sasa!!! Iam a jobless graduate.
Mawazo ya mazoea hatari sanaSio exposure tuu, pia watu ni wavivu kufikiri na kuchukua hatua
Katika mizunguko yangu ya kazi nilitoka Morogoro nikaenda Mbeya kufanya shughuli zangu za kilimo hasa umwagiliaji, basi nikiwa Mbeya pale kwa kuwa mimi ni mdadisi nitampigia jamaa yangu mmoja ambae ni mwenyeji wa Mbeya pia ni Mkulima, duh jamaa mcheshi sana na ni mshikaji sana japokuwa ni msomi mkubwa na mfanyabiashara
Organic matter layer ya Ardhi ile ni zaidi 40cm,
Nilichoshangaa zaidi ni pale nilipoenda ndani ya Shamba zaidi na kuona kuwa kuna chanzo kizuri cha maji , nilitamani niende kwetu Rombo niwachukue wale wazee niwalete pale kwa sababu kule sijawahi kuona kitu kama kile .
Bhasi nikaendelea na utafiti wangu nikagundua vitu vingi zaidi katika Ardhi ile na baada ya kukaa na kuangalia milima ikishangaa ujio wetu na muda ulikuwa umeenda , tukafanya baadhi ya kazi pale na kuanza kurudi
Ninachotaka kusema ni kwamba
Don't limit your mind to think
Seed and not diamond will make Africa great
Wekeza vzr kwenye kilimo
Uzi utakao fuata nitawaeleza katika hyo Ardhi ni nini kimepandwa na kinawezaje kumlipa Mkulima tena bila stress , najua utafikiri ni miti ya mbao lakini sio kweli ....stay tuned
Jumapili njema wana jamvi
Cool, nitaiangaliaInafanya mkuu you can google Green agriculture company
ha ha haJamaa story zako kama za jamaa mmoja humu JF anaitwa ONTARIO a.k.a MZEE WA FOREX.
jamaa umenichekesha sanaJamaa story zako kama za jamaa mmoja humu JF anaitwa ONTARIO a.k.a MZEE WA FOREX.
Vijana wa sasa wanaona kulima ni dhambi sana wanaenda mbali kwa kudhani kulima ni kujitafutia umasikini kwa nguvu. Kwangu mm hapana
Mwezi wa nane ntatembelea mufindi vijini maeneo ya kama mapanda kuangalia fursa.
DAH NILIKUWA HATA SIJUI HAYA MAMBOmay nilikuatana na wamama haa dar wananunua njegere kwa ingi hizo areas!nilichoka mm !zaman hizo pande mtu akilima njegere ni kaeneo kadogo lakin sasa hv kumeendelea mnooo !yaan wanajaza malori wanazituma dar!fursa kibao..sema tumelala sana kufind masoko.... njegere ukiweza kupeleka 'comoro' utatusua tu!
DAH NILIKUWA HATA SIJUI HAYA MAMBO
Kilimo ni kizuri sana, vjana waamke tu wataziona fursa.may nilikuatana na wamama haa dar wananunua njegere kwa ingi hizo areas!nilichoka mm !zaman hizo pande mtu akilima njegere ni kaeneo kadogo lakin sasa hv kumeendelea mnooo !yaan wanajaza malori wanazituma dar!fursa kibao..sema tumelala sana kufind masoko.... njegere ukiweza kupeleka 'comoro' utatusua tu!
Vijana wa sasa wanaona kulima ni dhambi sana wanaenda mbali kwa kudhani kulima ni kujitafutia umasikini kwa nguvu. Kwangu mm hapana
Mwezi wa nane ntatembelea mufindi vijini maeneo ya kama mapanda kuangalia fursa.