Sikuamini nilivyofika Njombe, kumbe Tanzania hii kuna sehemu kama hizi?

Wangari Maathai

JF-Expert Member
Aug 13, 2018
27,672
2,000
Kilimo ni starting point tu ya kuelekea mafanikio eg kutafutia mtaji,but huwez kumantain utajir kwa kutegemea mazao ya shambani, hyo haipo, labda uadvance kwenda kwenye processing goods, na hapo ndo kuna mauza uza, msidanganye vijana wakati nyie mnatembelea ma vx ya ofisini maghorofani, wambieni waje pori huku waone ndo watambue ya kuwa kwa nn babu zao walikufa maskini


Point sana
 

Lagrange

JF-Expert Member
Mar 7, 2017
1,939
2,000
Ulifanikiwa kwenda mufindi mkuu?

Duh unafukunyua sana Mkuu,, hapo niliandika kipindi natumia jina fulani hivi

By the Mufindi sikuja kwenda ,nilikwenda kilolo namshukuru Mungu lengo la Mufindi limetimia kwa asimilimia fulani kilolo.


Kazi ndo maisha kazi sio dhambi.
 

Lagrange

JF-Expert Member
Mar 7, 2017
1,939
2,000
may nilikuatana na wamama haa dar wananunua njegere kwa ingi hizo areas!nilichoka mm !zaman hizo pande mtu akilima njegere ni kaeneo kadogo lakin sasa hv kumeendelea mnooo !yaan wanajaza malori wanazituma dar!fursa kibao..sema tumelala sana kufind masoko.... njegere ukiweza kupeleka 'comoro' utatusua tu!
Njegere sasa zipo sana za kutosha maeneo ya madisi hadi ukwega (kilolo) ,kama una soko la uhakika unaweza kwenda na kukusanya mzigo.

Hata mahindi mabichi yapo sana , shambani unanunulia kwa @180 na fuso singo inaweza beba kuanzia 20000 kwahiyo 20000×180=3.6m, usafiri 1.4m jumla ni 5m ,unapeleka DSM ndo soko kubwa liliko unauza kwa @280~300 unapata 5.6m~6.0m ,
Ukijumlisha na ushuru na makando kando mengine huwezi kosa laki nne yako kwa trip moja ya mahindi ,kama ni mpambanaji unaweza peleka hata trip tano Dar kwa msimu huu wa kiangazi ambapo sehemu nyingi hakuna mahindi mabichi .


Hiyo bei ya mahindi shambani nimekuwekea ya juu kabisa ,unaweza ukanunua kwa @80~140 saa nyingine tegemeana na shida ya mkulima pia .Na unaweza kwenda Dar kuuza kwa @200~300 uka make profit tegemeana na kulivo amka tu

NB.
Hii biashara ifanye kimsimu ili upate faida kipindi cha kiangazi amabapo sehemu nyingi hazina mahindi .na kikubwa za kuambiwa changanya na zako na usifanye biashara kwa taarifa za mtandaoni kama hizi bila kujiridhisha mwenyewe kwa kufanya Research.
 

Wangari Maathai

JF-Expert Member
Aug 13, 2018
27,672
2,000
Duh unafukunyua sana Mkuu,, hapo niliandika kipindi natumia jina fulani hivi

By the Mufindi sikuja kwenda ,nilikwenda kilolo namshukuru Mungu lengo la Mufindi limetimia kwa asimilimia fulani kilolo.


Kazi ndo maisha kazi sio dhambi.


i knew...its u!missn u friend
 

NJOLO

JF-Expert Member
Mar 6, 2017
537
1,000
Wale wenye karama na elimu ya kilimo msichelee kutumia bahati yenu.
Wahenga walisema "kijue kipaji chako na kitumie kwa nguvu zote"
" Utilize your talents to the maximum"
Usiende tu kwenye shughuli usio na kipagi nayo na usioipenda kwa sababu tu unataka pesa. Utakwana na kuona ni mateso.
 

EddoLexus

Member
Jul 21, 2019
16
45
Vijana wengi tunajiingiza kwenye mambo ambayo sio ndoto zetu nido maana tunashindwa kuona fursa zilizopo.Utakuta mtu hana hata mpango wa kuwa balozi wa mtaa lakini politics yuko vizuri kuliko hata mambo yatakayo mpeleka anakotaka
Dunia inavitu vingi mno vya kufatilia but you have to chose what will take you to your destiny
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom