Sikuabliani na Magufuli kuhusu somo la Historia. Kama ni Uzalendo, watoto watajifunza kwenye somo la URAIA

" " DUDE" Bhana, we ukiendelea na hii tabia "HUTAOLEWA"au UTAACHKIA "

CHUNGA SANA NDOA YAKO,ANGALIA USIJE KUWA "SINGLE MOTHER"🤣🤣🤣😃😃
Old slut...
Kwahiyo wewe ulipo olewa nani amesema sio vizuri ?!!
 
Lengo kubwa la somo la historia ni kumfanya mwanadamu ajifunze yaliyopita ulimwenguni kote (siyo Tanzania tu) na hivyo kumwepusha kurudia makosa ya huko nyuma. Na wala siyo kufundisha uzalendo.

BTW, nani kamdanganya JPM kuwa uzalendo unafundishwa darasani? Uzalendo maana yake ni upendo wa raia yeyote kwa nchi yake?

Sasa nani amewahi kufundishwa kupenda kitu, mtu(mke/mume/dada/kaka/baba/mama) au nchi? Upendo kwa nchi ni zao la Uhuru, Haki na usawa kwa raia.

Sasa kama hata haki ya kuchagua na kuchaguliwa inaporwa nani ataipenda nchi hii? Kama watu wanalalamika kuhusu ajira, mishahara duni masoko ya mazao hakuna, biashara zinakufa, Uhuru wa kujieleza unabinywa nani ataipenda Tanzania?

Kwahiyo hapa ninaona JPM ana nia ya kutaka jina lake liandikwe kwenye vitabu vya historia, awe anasomwa kama msukuma wa kwanza kuwa rais.

Ndiyo hicho tu anachokitafuta JPM hakuna kingine. Kutafuta sifa tu ndiyo kuna msumbua. Ningemwelewa kama angeshauri uzalendo utiliwe mkazo kwenye somo la uraia.
Uko sawa mtoa mada uzalendo unatakiwa utokane na somo la Elimu ya Siasa au Uraia na siyo Historia,cha muhimu Haki na Wajibu wa kila raia vizingatiwe na siyo kukaririsha watu kumwona mtu fulani anafaa zaidi kuliko binadamu wengine.
 
Back
Top Bottom