SANCTUS ANACLETUS
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,336
- 4,693
Hivyo ni vyako ndio maana umevitaja
Tuache kuwasingizia wageni kwamba walituletea mambo ya hovyo badala yake tukaacha ya kwetu. Kama tuliyaacha ni kwa sababu hayakuwa mazuri. Waafrika ni wakarimu na tunapenda umoja. Je,kwa kuja dini tumeondokewa na ukarimu? Hatuwezi kuacha kutupilia mbali mila za kuvizia viungo vya asili vya wanawake kwa imani kwamba vinaweza pamoja na nyungo kutusafirisha hadi Kigoma. Imani kama hiyo ni ushenzi na bora tulivyoachana nazo.