Sir Khan
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 5,777
- 11,651
jamaa wanashambulia dini zote bila kujua adui yao mkubwa ni yule mama EGWKama ndivyo kumbe wakatoliki wanaohusishwa na kuharibiwa kwa sabato basi hawahusiki.
jamaa wanashambulia dini zote bila kujua adui yao mkubwa ni yule mama EGWKama ndivyo kumbe wakatoliki wanaohusishwa na kuharibiwa kwa sabato basi hawahusiki.
katika maswali yangu haujajibu hata moja ila umeongeza ngonjera tuMkuu hata Qur an imetaja sabato ni jumamosi mkuu na ikaongeza kuwa wanaovunja watageuzwa kuwa manyani
jamaa wanashambulia dini zote bila kujua adui yao mkubwa ni yule mama EGW
Kwa wengine ni ijumaa then Jumamosi ni siku ya kwanza na Jumapili ni siku ya pili................... Inategemea unaitazama kwa muktadha upiKWANZA SIKU INAANZA JIONI
.... Ikawa jioni ikawa asubuhi siku moja... Mwanzo 1:5..Ikawa jioni ikawa asubuhi... Mwanzo 1: 8, 13, 19, 23, 31.
SIKU YA SABA MUNGU HAKUFANYA KAZI
.. Mungu akaibariki siku ya saba akaitakasa kwa sababu katika siku hiyo Mungu alistarehe, akaacha kufanya kazi yake yote aliyoiumba na kuifanya Mwanzo 2:3
SIKU YA SABA NI LINI?
-Yesu alikufa saa tisa siku ya maandalio ya Sabato.... Marko 15:33 & 42 na alifufuka siku ya KWANZA ya juma baada ya Sabato... Marko 16: 1-6
-Siku ya maandalio ya Sabato ni ijumaa
USHAHIDI: Katoliki na waprotestanti wote wanaadhimisha "IJUMAA KUU" kwa dhana ya kwamba Yesu aliuwawa IJUMAA
-Sabato ni Jumamosi
USHAHIDI: Wayahudi hawajawahi kuacha kutunza Sabato "SIKU YAO YA SABATO NI JUMAMOSI"
Unazijua siku kwa kiarabu mkuu zilivyo kwa mujibu wa siku kwa kiarabu siku ya Alhamisi ni siku ya tano lakini kwa asiyejua akihesabu kwa kufuata neno mosi atahesabu ni siku ya sita lakini siyo kwelikwahiyo waarabu walianza kutumia neno mosi ili kupotosha siku ya sabato?
ina maana majina ya siku yote yamepotoshwa na waarabu ili kuficha siku ya kweli ya sabato?
Kati ya neno mosi na huu usabato kipi kimetangulia?
Hapo Alhamisi kuwa siku ya sita ni uongo Alhamisi ni siku ya tano kwa mujibu wa waarabu wenyeweWiki au Juma ina siku saba. Siku ya kwanza ni
Jumamosi(siku ya kwanza ktk Juma)
Jumapili(siku ya pili ktk Juma)
Jumatatu( siku ya tatu ktk Juma)
Jumanne(siku ya nne ktk Juma)
Jumatano(siku ya tano ktk Juma)
Alhamisi(siku ya sita ktk Juma)
Ijumaa( siku ya saba ktk Juma/ manake Juma limetimia watu waenda kuswali Shekheee.)
Ni jambo lisilo na shaka kuwa sabato ni siku ya jumamosi ila chenye shaka ktk ulimwengu wa leo wa kiimani ni kwamba waitii amri hii ya Mungu ama wasiitii,,,
Dunia ya leo hamna wa kupinga kuwa sabato ni jumamosi ila watu wanachomiss ni kutambua kuwa sabato ni amri na utaratibu wa Mungu uliowekwa toka bustani eden na baadae kukumbushiwa pale mlimani Sinai kutoka 20:8 na baadae utaratibu huu ukaendelea kudumishwa na Yesu hata na mitume na kanisa la awali baada ya Yesu kupaa pia ni biblia hiyo hiyo inatuarifu kupitia kwa nabii Isaya 66:23 kuwa hadi kule mbinguni ibada itakuwa siku ya sabato
Watu hawafanyi ibada kwa kutii maagizo ya Mungu ila wanatii taratibu za wanadamu ambazo si salama kwao kufanya ibada isiyo na utii maana kabla ya ujio wa Yesu kutakuwa na makundi mawili moja linalofanya kwa utii kwa Mungu na jingine kwa kuongeza uchakachuzi na hapo kutakuwa na kundi lenye chapa ya mnyama yaani lisilo na utii kwa Mungu na jingine lenye muhuri wa Mungu kama tu ilivyokuwa kwa kaini na Abel, wote walitoa sadaka ila utii na unyenyekevu ukaleta tofauti

sawa nimekuelewa Mkuu,wewe unaelewa nini kuhusu neno mosi na kwa muktadha wa lugha ya kiswahiki jumamosi ni siku ya ngapi(nijibu kwa kufuata lugha ya kiswahili na sio mtazamo wa dini)Unazijua siku kwa kiarabu mkuu zilivyo kwa mujibu wa siku kwa kiarabu siku ya Alhamisi ni siku ya tano lakini kwa asiyejua akihesabu kwa kufuata neno mosi atahesabu ni siku ya sita lakini siyo kweli
Thursday ﺍﻟــﺨــﻤــﻴــﺲ /Al-Khamees/:
It refers to the fifth day of the week and is derived from number “ Five ﺧــﻤــﺴــﺔ “. Arabs used to name it as “ Mo’nis ﻣــُــﺆﻧــِــﺲ “.
au waanze kutumia Quran kufundishia waachane na Biblia ambayo wanadai imeeditiwa na kanisa la roma.Huwa hawana locus katika imani yao. Wanadandia Sandia mambo tu. Mara Quran inaikubali Jumamosi kama Sabato. Sasa kama wanaisadiki Quran wao wana haja gani ya kuwepo?
Waambie ukweli hao wasiojua hata majina ya siku za wiki.Wiki au Juma ina siku saba. Siku ya kwanza ni
Jumamosi(siku ya kwanza ktk Juma)
Jumapili(siku ya pili ktk Juma)
Jumatatu( siku ya tatu ktk Juma)
Jumanne(siku ya nne ktk Juma)
Jumatano(siku ya tano ktk Juma)
Alhamisi(siku ya sita ktk Juma)
Ijumaa( siku ya saba ktk Juma/ manake Juma limetimia watu waenda kuswali Shekheee.)
Inahesabiwa kwa kufuata maandikoKwani kuna mtu kakuzuia kuwa myahudi, usitulazimishe wote tuwe wayahudi. Sabato ni siku ya saba inategemea umemua kuhesabu kuanzia wapi
au waanze kutumia Quran kufundishia waachane na Biblia ambayo wanadai imeeditiwa na kanisa la roma.
Inahesabiwa kwa kufuata maandiko
Shida kuu ya wasabato wao wana hubiri na kuitukuza siku badala ya neno la Mungu ( injili ).
Zunguka duniani kuna watu hata hiyo sabato hawaijui wao wanamjua budha tu. Hao nao tuwaweke kundi gani.
Ama kweli mzungu na mwarabu walituweza waafrika.
Fundisho hilo la "tarehe ya kurudi Yesu" halipo kabisa katika "imani za msingi 28" za waadventista Wasabato.... (acha uongo... usimshuhudie jirani yako uongo... Kutoka 20). Kama una ushahidi weka hapa. Na usilete habari za "Miller".. maana wakati wa" great disappointment" hapakuwa na "waadventista Wasabato" wala Miller hakuwa msabatoKwa hiyo, hauifahamu historia ya Kanisa lako kwamba mumekuwa mkijaribu Mara kadhaa katika historia ya dunia kuwaaminisha watu kwamba mnaijua tarehe ya kurudi kwake Yesu? Kwa nini unaifahamu sana Jumamosi kuliko jinsi ambavyo mumewahi kupotosha watu?