Siku ya saba (Sabato) ni Jumamosi

Siku ya saba (Sabato) ni Jumamosi

Sisi ndio Africa bana tunaamini vya kwao kuliko vyetu ndio maana walitutawala

Vya kwako ni vipi? Kuchuna ngozi za Albino? Kuchukua viungo vya watoto wadogo na kuvigeuza meza za kuuzia samaki au strong rooms za kuhifadhia pesa?
 
Yeah ni kweli kabisa. Sabato inaweza kuwa siku yoyote ile. Kwenye Biblia majina ya siku hayakutajwa bali waliandika ikawa asubuhi ikawa jioni siku ya kwanza. Sasa kujua ipi ilikuwa ni siku ya kwanza, ndio taabu!
SOMA BIBLIA USIBAGUE MAFUNDISHO CHUKUA TAFAKARI CHUJA UTAKUWA NA JIBU SAHIH
 
SOMA BIBLIA USIBAGUE MAFUNDISHO CHUKUA TAFAKARI CHUJA UTAKUWA NA JIBU SAHIH
Hebu tuambiane ukweli tafadhali, Je ulishawahi ona jina la siku limetajwa ndani ya Biblia mfano Jumamosi, alhamisi au Jumapili? Usidanganywe, fumbua macho toka ndani ya box la usabato.
 
DINI ZA WAZUNGU NDIO JAMBO LINAKUTESA. MIMI MLUTHERI LAKINI SIWEZI KUUKUBALI ULUTHERI ZAIDI YA NENO LENYEWE LA MUNGU.
Unaondoka nini sasa hapa.. wewe ni MLUTHERI... HUUKUBALI ULUTHERI... MAFUNDISHO YA KILUTHERI...
 
Kwa kutumia Kalenda Hii ilyobuniwa na Julius Caesar Ha Ha Ha ha!
 
ACHA KUKOMAA NA DINI ZA WAKOLONI MKUU!

.. Ikawa jioni ikawa asubuhi siku moja... Mwanzo 1:5..Ikawa jioni ikawa asubuhi... Mwanzo 1: 8, 13, 19, 23, 31.
SIKU INA MASAA MANGAPI??? JE, SIKU HIZI ZA LEO, MFANO IJUMAA, JUMAMOSI, JUMAPILI ZILIKUWAPO TOKA ZAMA ZILE?? KALENDA ZILIKUWEPO???
MAANA BIBLIA INATAJA SIKU KWA NAMBA NA SIO KWA MAJINA KAMA NYIE WASABATO. ILIKUWAJE NYIE MKAIPA JUMAMOSI NAMBA YA SIKU YA MWISHO (7)??? JUMAPILI SIKU YA KWANZA YA JUMA NK??
HAKUNA MSTARI WA BIBLIA UNATAJA SIKU KWA MAJINA ZAIDI NI NAMBA TU ILA NYIE MMEAMUA KUZIPA MAJINA AMBAYO NI YA KILEO, POSSIBLY MNAJIPA NAFUU.
akikujibu nitag
 
acha uzombi wewee.... unaonekana hujitambui kabisaaa...
achana na hayo mambo yako ya kalenda za wazungu.. hebu wewe mwenyewe hapo ulipo anzakuitaja wiki hii kwa kiswahili nikusikie alafu unijibu hili swali..
ukianza kuhesabu namba unaanza na mojaaa au mbili?
kisha uniambie MOSI inamaanisha nini?
"KALENDA za wazungu "?.. Unayo ya kiafrika? Je unajua kuwa mgunduzi wa KALENDA ni Misri?

Unajua ni vyema ukakaa kimya ukajifunza au ukakusanya ushahidi kabla haujazungumza maana maneno yako yanatumika kupima uwezo wako wa kufikiri
 
Acheni kokomaa na KALENDA. Turudi hapa kwenye hizi facts...
Soma kwanza nilichoandika ndiyo nawewe ujibu.

Hapo unatakiwa kujibu hoja moja moja kama nilivyoandika (ushahidi)

Kwa mfano :

1.Kataa kwamba Yesu hakufa siku ya Ijumaa

2. Kataa pia kwamba siku aliyokufa Yesu hakuwa siku ya maandalio ya Sabato

3. Kataa pia kuwa katoliki na waprotestanti hawaadhimishi "Ijumaa kuu" kama siku aliyokufa Yesu

4. Kataa pia kuwa Jumamosi siyo siku inayofuatia baada ya Ijumaa

5. Kataa pia kuwa Sabato haikuwa siku ya Sabato ya wiki

6. Kataa pia kuwa Sabato ya wayahudi siyo Jumamosi

KWA USHAHIDI
 
Hilo hata wao wanajua ni vile tu wanashupaza shingo maana hata jumapili wanayoabudu wanasema ndiyo siku Yesu aliyofufuka na maandiko yanasema siku aliyofufuka ilikuwa siku ya kwanza sasa ukihesabu toka hiyo jumapili siku ya kwanza jumamosi itakuwa ya saba

Lakini watakataa watasema hiyo ilikuwa ya wayahudi lakini ni uongo maana pale Edeni ilipoanzishwa hapakuwa na wayahudi wowote Lakini kwa maneno ya Yesu mwenyewe anasema

MK. :2:27
Akawaambia, Sabato ilifanyika kwa ajili ya mwanadamu, si mwanadamu kwa ajili ya sabato.

Sabato ni kwa ajili ya mwanadamu na sote tu wanadamu kwa hiyo ni ya kila mmoja mtanzania, mkenya, muarabu, mhindi, na wote duniani hapa na siyo wayahudi pekee

Kwa hiyo ukiikataa uikatae kwa sababu zako binafsi lakini biblia maandiko ya haki yanasema sabato ni kwa ajili ya wanadamu

Amen [emoji1545]
 
KWANZA SIKU INAANZA JIONI
.... Ikawa jioni ikawa asubuhi siku moja... Mwanzo 1:5..Ikawa jioni ikawa asubuhi... Mwanzo 1: 8, 13, 19, 23, 31.

SIKU YA SABA MUNGU HAKUFANYA KAZI

.. Mungu akaibariki siku ya saba akaitakasa kwa sababu katika siku hiyo Mungu alistarehe, akaacha kufanya kazi yake yote aliyoiumba na kuifanya Mwanzo 2:3

SIKU YA SABA NI LINI?
-Yesu alikufa saa tisa siku ya maandalio ya Sabato.... Marko 15:33 & 42 na alifufuka siku ya KWANZA ya juma baada ya Sabato... Marko 16: 1-6

-Siku ya maandalio ya Sabato ni ijumaa
USHAHIDI: Katoliki na waprotestanti wote wanaadhimisha "IJUMAA KUU" kwa dhana ya kwamba Yesu aliuwawa IJUMAA

-Sabato ni Jumamosi
USHAHIDI: Wayahudi hawajawahi kuacha kutunza Sabato "SIKU YAO YA SABATO NI JUMAMOSI"
Mbona unaandika kama unabishana na mtu? Sabato ni jumamosi, so what?

"Angalieni mtu asiwafanye mateka kwa elimu yake ya bure na madanganyo matupu, kwa jinsi ya mapokeo ya wanadamu, kwa jinsi ya mafundisho ya awali ya ulimwengu, wala si kwa jinsi ya Kristo"
WAKOLOSAI 2:9​

Basi, mtu asiwahukumu ninyi katika vyakula au vinywaji, au kwa sababu ya sikukuu au mwandamo wa mwezi, au sabato; mambo hayo ni kivuli cha mambo yajayo; bali mwili ni wa Kristo
WAKOLOSAI 2:16​
 
Hilo hata wao wanajua ni vile tu wanashupaza shingo maana hata jumapili wanayoabudu wanasema ndiyo siku Yesu aliyofufuka na maandiko yanasema siku aliyofufuka ilikuwa siku ya kwanza sasa ukihesabu toka hiyo jumapili siku ya kwanza jumamosi itakuwa ya saba

Lakini watakataa watasema hiyo ilikuwa ya wayahudi lakini ni uongo maana pale Edeni ilipoanzishwa hapakuwa na wayahudi wowote Lakini kwa maneno ya Yesu mwenyewe anasema

MK. :2:27
Akawaambia, Sabato ilifanyika kwa ajili ya mwanadamu, si mwanadamu kwa ajili ya sabato.

Sabato ni kwa ajili ya mwanadamu na sote tu wanadamu kwa hiyo ni ya kila mmoja mtanzania, mkenya, muarabu, mhindi, na wote duniani hapa na siyo wayahudi pekee

Kwa hiyo ukiikataa uikatae kwa sababu zako binafsi lakini biblia maandiko ya haki yanasema sabato ni kwa ajili ya wanadamu
cc: @hdb
 
KWANZA SIKU INAANZA JIONI
.... Ikawa jioni ikawa asubuhi siku moja... Mwanzo 1:5..Ikawa jioni ikawa asubuhi... Mwanzo 1: 8, 13, 19, 23, 31.

SIKU YA SABA MUNGU HAKUFANYA KAZI

.. Mungu akaibariki siku ya saba akaitakasa kwa sababu katika siku hiyo Mungu alistarehe, akaacha kufanya kazi yake yote aliyoiumba na kuifanya Mwanzo 2:3

SIKU YA SABA NI LINI?

-Yesu alikufa saa tisa siku ya maandalio ya Sabato.... Marko 15:33 & 42 na alifufuka siku ya KWANZA ya juma baada ya Sabato... Marko 16: 1-6

-Siku ya maandalio ya Sabato ni ijumaa
USHAHIDI: Katoliki na waprotestanti wote wanaadhimisha "IJUMAA KUU" kwa dhana ya kwamba Yesu aliuwawa IJUMAA

-Sabato ni Jumamosi
USHAHIDI: Wayahudi hawajawahi kuacha kutunza Sabato "SIKU YAO YA SABATO NI JUMAMOSI"
ukianza kuhesabu unaanza na MOSI au Mbili?
ukijibu hili ntajua ubongo wako haujaathirika
 
Wala nguruwe hawawezi kukuelewa maana hata biblia wanayosoma imeeditiwa
 
Hii ni KALENDA uliyotunga wewe? au ya sayari ipi? Unaishije bila hata kujua kusoma KALENDA? Soma hii hapa chiniView attachment 927436

Sina tatzo na kalenda na ndo hyo natumia pia. Ila ukihesabu siku kwa kiswahili Jmosi katika wiki manake ni siku ya ngapi? Nini maana ya Mosi? Kwa nini unalazimisha moja kuwa saba?
 
Hapo Alhamisi kuwa siku ya sita ni uongo Alhamisi ni siku ya tano kwa mujibu wa waarabu wenyewe

Thursday ﺍﻟــﺨــﻤــﻴــﺲ /Al-Khamees/:
It refers to the fifth day of the week and is derived from number “ Five ﺧــﻤــﺴــﺔ “. Arabs used to name it as “ Mo’nis ﻣــُــﺆﻧــِــﺲ “.

Saturday ﺍﻟــﺴــﺒــﺖ /Al-Sabt/:
The name is derived from the root verb “ to rest or hibernate ﺳــﺒــﺖ “. The name and its derivative verb were mentioned six times in the Holy Qur’an. Saturday is also a weekend holiday in some Arab countries like Egypt and Saudi Arabia. Al-Sabt is almost identical with the Hebrew words Shabbat and Sabbath. Arabs used to name it as “ Shabar ﺷــﺒــﺎﺭ “.

Ongeza kidogo maarifa Mkuu

Siko deep kiivo shekhe mimi nmetafsriri kwa kiswahili tu jamaangu
 
Back
Top Bottom