Siku ya saba (Sabato) ni Jumamosi

Siku ya saba (Sabato) ni Jumamosi

Hakuna mpagani Wa kutupwa kama Ellen White kusoma Biblia na kuelewa kwamba YESU sio Mungu na kwamba yeye sehemu ya Utatu Mtakatifu. Huyu alivuka upagani hats akawa MPINGA KRISTO Wa pili baada ya Mudi.
Hakuna sehemu aliwahi kusema Yesu sio Mungu, wewe ni muongo mkubwa kama.baba yenu Shetani

WAPAGANI HAWA HAPA WANAABUDU LIKINYAGO
FB_IMG_1540840391863.jpeg
 
Hakuna mpagani Wa kutupwa kama Ellen White kusoma Biblia na kuelewa kwamba YESU sio Mungu na kwamba yeye sehemu ya Utatu Mtakatifu. Huyu alivuka upagani hats akawa MPINGA KRISTO Wa pili baada ya Mudi.
WAPAGANI NI WALE WAFATAO MAFUNDISHO YA UPAPA WAKIAMINI PAPA NI MUNGU
FB_IMG_1541730234505.jpeg
 
We naona unamuamini kahaba Ellen kuliko hata Muumba mwenyewe! Endelea kupambana na dini zilokuja na meli mie mwenzio sipo popote
Jitoe ufahamu ,

Sasa sijui Aliyeandika haya ni ellen white

By the way sijam quote popote ellen white ni kuweweseka kwenu tu maana mnaabudu msichokijua
FB_IMG_1540840193424.jpeg
 
Also Saturday is translation of Latin Saturni dies ‘day of Saturn.
Lakin inabaki ndio sabato ya Bwana,

Na jumapili inabak ni SABATO FAKE AU SABATO YA PAPA

MARKO MTAKATIFU 7:8-9
ISAYA alinena vema juu yenu ninyi wanafiki...
"8 Ninyi mwaiacha amri ya Mungu, na kuyashika mapokeo ya wanadamu.
9 Akawaambia, Vema! Mwaikataa amri ya Mungu mpate kuyashika mapokeo yenu
FB_IMG_1541729004504.jpeg
 
Elimu Elimu Elimu. Kwa hiyo,utabiri Wa Nabii Isaya haujatimia bado? Kwa akili zenu mnafikiria ufunuo Wa Agano la kale haujatimia hadi leo isipokuwa mambo hayo tuyatarajie siku zijazo? Ama watu wangu wanaangamia kwa maarifa ya kumlika na kibatari.
Wewe umeshaiona mbingu mpya?
 
Jitoe ufahamu ,

Sasa sijui Aliyeandika haya ni ellen white

By the way sijam quote popote ellen white ni kuweweseka kwenu tu maana mnaabudu msichokijuaView attachment 927980
Na wewe unae iabudu siku ya JUMAMOSI kuliko Maana halisi ya SABATO.
Nimekutana na wasabato wengi sana lkn sijaonaga point kwao zaidi ya kusimamia suala la kusali JUMAMOSI. Hicho tu ndicho mnacho kijua. Halafu msabato adui yake mkubwa ni mkristo mwenzie, ukimgusia habari za waislam kuswali ijumaa, hoja zinaisha na kudai kuwa waislam ni rafiki wa wasabato.
Haya niliyo andika nina hakika nayo.
 
We naona unamuamini kahaba Ellen kuliko hata Muumba mwenyewe! Endelea kupambana na dini zilokuja na meli mie mwenzio sipo popote
Acha kujificha kwenye kichaka cha karanga haupo popote umejuaje habari za Muumba?

Utakuwa mkatoliki tu wewe unaogopa kuweka wazi
 
Na wewe unae iabudu siku ya JUMAMOSI kuliko Maana halisi ya SABATO.
Nimekutana na wasabato wengi sana lkn sijaonaga point kwao zaidi ya kusimamia suala la kusali JUMAMOSI. Hicho tu ndicho mnacho kijua. Halafu msabato adui yake mkubwa ni mkristo mwenzie, ukimgusia habari za waislam kuswali ijumaa, hoja zinaisha na kudai kuwa waislam ni rafiki wa wasabato.
Haya niliyo andika nina hakika nayo.
Mbona unaandika pumba wewe

Unaandika vitu ambavyo ni mipasho,

Wasabato wanasema kweli iliyo nyooka

Unaposema wanaabudu siku bas mtu wa kwanza anza na YESU NA MITUME NA MANABII WOTE MAANA HAO NDIO WATUNZA SABATO WAKUBWA

KUHUSU UISLAMU WANAHUBIRIWA NA WANABATIZWA, NA USICHOKIJUA UISLAMU NI DHEHEBU LA UKATOLIKI
FB_IMG_1540120884074.jpeg
 
Acha kujificha kwenye kichaka cha karanga haupo popote umejuaje habari za Muumba?

Utakuwa mkatoliki tu wewe unaogopa kuweka wazi
Ndo tatzo lenu wasabato! Mnaona ukatoliki ndo adui yenu kuliko hata waabudu Ng'ombe! Najua sababu ni ile ya Ellen white kutafunwa na wale mapdre wa kikatoliki! Ha ha haaa nasubiri msabato mwenzio AARON aje na povu kama lote!
 
Mbona unaandika pumba wewe

Unaandika vitu ambavyo ni mipasho,

Wasabato wanasema kweli iliyo nyooka

Unaposema wanaabudu siku bas mtu wa kwanza anza na YESU NA MITUME NA MANABII WOTE MAANA HAO NDIO WATUNZA SABATO WAKUBWA

KUHUSU UISLAMU WANAHUBIRIWA NA WANABATIZWA, NA USICHOKIJUA UISLAMU NI DHEHEBU LA UKATOLIKIView attachment 927998
Nina Bible hapa nilipo naomba unitajie mstari unasema SABATO NI SIKU YA JUMAMOSI, ninyi watu ni wapotoshaji wakubwa. Na mlio wengi ni WANAFIKI mlioshindikana. Soma Bible vizuri uijue kweli nayo kweli itakuweka huru, acheni kufungwa fikra na mtu mmoja.

Nasubiri huo mstari mkuu.
 
Ndo tatzo lenu wasabato! Mnaona ukatoliki ndo adui yenu kuliko hata waabudu Ng'ombe! Najua sababu ni ile ya Ellen white kutafunwa na wale mapdre wa kikatoliki! Ha ha haaa nasubiri msabato mwenzio AARON aje na povu kama lote!
Mimi nimeshahudhuria mihadhara yao mingi lakini sijaona zito la kunishawishi niamini swala linaloitwa USABATO.
 
KWANZA SIKU INAANZA JIONI
.... Ikawa jioni ikawa asubuhi siku moja... Mwanzo 1:5..Ikawa jioni ikawa asubuhi... Mwanzo 1: 8, 13, 19, 23, 31.

SIKU YA SABA MUNGU HAKUFANYA KAZI

.. Mungu akaibariki siku ya saba akaitakasa kwa sababu katika siku hiyo Mungu alistarehe, akaacha kufanya kazi yake yote aliyoiumba na kuifanya Mwanzo 2:3

SIKU YA SABA NI LINI?

-Yesu alikufa saa tisa siku ya maandalio ya Sabato.... Marko 15:33 & 42 na alifufuka siku ya KWANZA ya juma baada ya Sabato... Marko 16: 1-6

-Siku ya maandalio ya Sabato ni ijumaa
USHAHIDI: Katoliki na waprotestanti wote wanaadhimisha "IJUMAA KUU" kwa dhana ya kwamba Yesu aliuwawa IJUMAA

-Sabato ni Jumamosi
USHAHIDI: Wayahudi hawajawahi kuacha kutunza Sabato "SIKU YAO YA SABATO NI JUMAMOSI"
Mmh Mungu alistarehe! Wengine husema Mungu alipumzika.

Mungu hachoki, Mungu hafanyi kazi kwa mikono, hali wala hanywi, hana mwanzo wala mwisho, hafanani na chochote, halali wala hasinzii. N k.
 
Yakobo 1:27
27 Dini iliyo safi, isiyo na uchafu mbele za Mungu Baba, ndio hii: kuwasaidia yatima na wajane katika dhiki zao, na kujilinda mwenyewe usichafuliwe na ulimwengu.

Endelea kupambana na siku ya JUMAMOSI.
 
Nina Bible hapa nilipo naomba unitajie mstari unasema SABATO NI SIKU YA JUMAMOSI, ninyi watu ni wapotoshaji wakubwa. Na mlio wengi ni WANAFIKI mlioshindikana. Soma Bible vizuri uijue kweli nayo kweli itakuweka huru, acheni kufungwa fikra na mtu mmoja.

Nasubiri huo mstari mkuu.
UNAIKUBALI PASAKA ,IJUMAA KUU, ALHAMIS KUU, NA DOMINICA

ILA UNAJIFANYA HUJUI SABATO NI LINI

UNAFUNDISHWA NA PADRI YESU ALIFUFUKA JUMAPILI SIKU YA KWANZA YA JUMA ,ILA UNAJIFANYA HUJUI SIKU YA 7 NI LINI

WANAFIKI WAKUBWA NYIE

Katekisimo ya kanisa Katoliki la Roma inasomeka hivi:
"Swali: Ipi ndiyo siku ya Sabato?
"Jibu: Jumamosi ndiyo siku ya Sabato.
"Swali: Kwa nini sisi tunaitunza Jumapili badala ya Jumamosi?
"Jibu: Tunaitunza Jumapili badala ya Jumamosi kwa sababu kanisa Katoliki …. Liliihamisha ibada toka Jumamosi kwenda Jumapili".
- Peter Geirmannn, The Convert's Catechism of Catholic Doctrine (toleo la 1957). Uk. 50.

Kwa majivuno kanisa Katoliki linatangaza kwamba viongozi wa kanisa ambao ni wanadamu tu ndio waliofanya badiliko hilo.

"Siku ile takatifu, yaani, Sabato, ilibadilishwa kutoka Jumamosi kwenda Jumapili... si kutokana na maagizo yo yote yaliyoonekana katika Maandiko bali kutokana na hisia ya kanisa kwamba linao uwezo wake lenyewe… watu wale wanaofikiri kwamba Maandiko ndiyo yangekuwa mamlaka peke yake, kwa mantiki hiyo, ingewapasa kuwa Waadventista Wasabato , nao wangeitakasa Jumamosi." - Cardinal Maida, Askofu Mkuu wa Detroit, Saint Catherine Catholic Church Sentine, Algonac, Michigan, Mei 21, 1995.

FB_IMG_1541729957301.jpeg
 
Tena makubwa sana. Yeye ndiye MPINGA KRISTO Wa kwanza kwa kusema Yesu sio Mungu na kwamba yeye sio sehemu ya utatu mtakatifu.
ni wapi aliposema hayo? jifunzeni kuweka reference, siyo mnalisha maneno ambayo hayapo.
 
Nina Bible hapa nilipo naomba unitajie mstari unasema SABATO NI SIKU YA JUMAMOSI, ninyi watu ni wapotoshaji wakubwa. Na mlio wengi ni WANAFIKI mlioshindikana. Soma Bible vizuri uijue kweli nayo kweli itakuweka huru, acheni kufungwa fikra na mtu mmoja.

Nasubiri huo mstari mkuu.
Luka :23:50
Kulikuwa na mtu mmoja jina lake Yosefu, mwenyeji wa kijiji kimoja cha Wayahudi kiitwacho Arimathaya. Alikuwa mtu mwema anayeheshimika.

Luka :23:52
Basi, yeye alikwenda kwa Pilato, akaomba apewe mwili wa Yesu.

Luka :23:53
Kisha akaushusha mwili huo kutoka msalabani, akauzungushia sanda ya kitani, akauweka katika kaburi lililokuwa limechongwa kwenye mwamba, ambalo halikuwa limetumika.

Luka :23:54
Siku hiyo ilikuwa Ijumaa, na maandalio ya siku ya Sabato yalikuwa yanaanza.

Hii biblia imeweka wazi kabisa kwa kuweka siku kuwa ni ijumaa Yesu aliposulubiwa pale msalabani na hivyo ilibidi waharakishe kumzika maana ijumaa ilikuwa ndiyo siku ya maandalio kabla ya sabato kuingia na kama ijumaa ndiyo siku ya maandalio ya sabato, sabato itakuwa siku gani? Hili utajijibu mwenyewe na nafsi yako

Luka :24:1
Jumapili, alfajiri na mapema, wale wanawake walikwenda kaburini wakichukua yale manukato waliyotayarisha.
 
Back
Top Bottom