Siku ya saba (Sabato) ni Jumamosi

Siku ya saba (Sabato) ni Jumamosi

Hapa msingi ni "fundisho la tarehe ya kurudi Yesu" unalodai Wasabato wanalo.. Nimekuomba utoe ushahidi... Badala yake unaleta hadhi... toa ushahidi hapa... "Sema kitabu au kijizuu ambacho kina mafundisho hayo"

Nimefurahi kwamba unajua kuwa kanisa la waadventista Wasabato lilisajiliwa miaka zaidi ya 30 baada ya mafundisho ya unabii wa Daniel yaliyofanywa na Miller. Kwa hiyo Miller hakuwa msabato kipindi hicho.

Unataka nikupe ushahidi Wa andiko kwamba Ellen White aliwahi kupiga ramli ya kurudi kwa Yesu mwaka 1885? Au unataka nionyeshe ni fundisho gani kati ya 28 munayoiamini? Swali hili linaonyesha kwamba huijui historia yako na huelewi maana ya historia. Kwa hiyo, kama kuna mambo ya hovyo waanzilishi wenu waliwahi kuyafanya na baadaye mumeamua kuachana nayo hilo nalo unataka uthibitisho kama jambo hilo ni miongoni mwa mambo 28 munayoyaamini? Mambo mfanye nyie na kisha muyakimbie halafu unataka mimi nikupatie ushahidi. Kwani Ellen White alikuwa anafanyia usabato kisiwani ambako hakukuwa na watu wakiona au kusikia akilaghai watu kwamba YESU angalirudi Mwaka 1885?
 
Sio kweli, jumamosi sio siku ya saba hivyo haiwezi kuwa sabato ya Bwana Mungu wako.
Jumamosi ni siku ya saba kwa kalenda ya Gregorian ambayo ni ya kipagani. Hivyo kwa kalenda hiyo umepata sabato ya bandia.
Sabato ya kweli utaipata kwa kutumia kalenda ya kiyahudi ambayo imepigwa marufuku kuwa official calendar.
Hivyo kwa kutumia kalenda ya bandia unapata sabato ua bandia.
Ukitumia kalenda aliyoitoa Mungu baada ya uumbaji unapata true sabbath.

Swali: wapi kwenye biblia wamesema jumamosi ni siku ya saba, ukiondoa kutumia biblia ya kisasa.

Note: evidence ya siku kuu ya Easther au pasaka haitoshi kuproove usahihi wa sabato maana hata pasaka wanayoiadhimisha protestants ni ya bandia.
Pasaka ya kweli huadhimishwa tarehe 14 ya mwezi wa abibu (mwezi wa abibu ni mwezi wa kwanza wa kiyahudi) kila mwaka ambayo huwa ni siku ya sita ya juma.
Pasaka ya waprotestant haina tarehe maalumu ila hufanyika kwa kuifananisha na ya wayahudi kuwa siku fake ya sita au ijumaa ya Gregorian kalenda.

Tafuta maarifa mwenyewe ukiwategemea wa SDA wakulishe wanakupoteza.

wayahudi wenyewe wanahabudu siku ya jumamosi(sabato) hebu tuambie siku ya saba ni siku gani?
unatoa povu jingi halfu unatuacha njia panda
 
Mwisho wa siku matendo yako mema pamoja na kupokea wokovu kwa kumkiri Kristo ndio vitakupeleka mbinguni na si sabato itakayokupeleka
Yesu mwenyewe alisema mkinipenda mtazishika amri zangu ukivunja amri hata moja ukashika tisa unahesabika ni mdhambi mbingu huioni

Na amri mojawapo ni ikumbuke siku ya sabato uitakase

Hata hayo matendo mema yatapimwa kutokana na amri kwa hiyo Hakuna namna sabato itakimbiwa na yeyote
 
Kwa hiyo, wewe unaiamini Quran kwa sababu tu humo ndani kumetajwa sabato? Kwa hiyo Quran ni document genuine na kama ndivyo unaimini inaposema YESU sio Mungu,sio mwana Wa Mungu na hakufa msalabani?
Sijasema naamini nasema Quran inaitambulisha Jumamosi kama siku ya saba ya juma.
 
Sio kweli, jumamosi sio siku ya saba hivyo haiwezi kuwa sabato ya Bwana Mungu wako.
Jumamosi ni siku ya saba kwa kalenda ya Gregorian ambayo ni ya kipagani. Hivyo kwa kalenda hiyo umepata sabato ya bandia.
Sabato ya kweli utaipata kwa kutumia kalenda ya kiyahudi ambayo imepigwa marufuku kuwa official calendar.
Hivyo kwa kutumia kalenda ya bandia unapata sabato ua bandia.
Ukitumia kalenda aliyoitoa Mungu baada ya uumbaji unapata true sabbath.

Swali: wapi kwenye biblia wamesema jumamosi ni siku ya saba, ukiondoa kutumia biblia ya kisasa.

Note: evidence ya siku kuu ya Easther au pasaka haitoshi kuproove usahihi wa sabato maana hata pasaka wanayoiadhimisha protestants ni ya bandia.
Pasaka ya kweli huadhimishwa tarehe 14 ya mwezi wa abibu (mwezi wa abibu ni mwezi wa kwanza wa kiyahudi) kila mwaka ambayo huwa ni siku ya sita ya juma.
Pasaka ya waprotestant haina tarehe maalumu ila hufanyika kwa kuifananisha na ya wayahudi kuwa siku fake ya sita au ijumaa ya Gregorian kalenda.

Tafuta maarifa mwenyewe ukiwategemea wa SDA wakulishe wanakupoteza.
Soma kwanza nilichoandika ndiyo nawewe ujibu.

Hapo unatakiwa kujibu hoja moja moja kama nilivyoandika (ushahidi)

Kwa mfano :

1.Kataa kwamba Yesu hakufa siku ya Ijumaa

2. Kataa pia kwamba siku aliyokufa Yesu hakuwa siku ya maandalio ya Sabato

3. Kataa pia kuwa katoliki na waprotestanti hawaadhimishi "Ijumaa kuu" kama siku aliyokufa Yesu

4. Kataa pia kuwa Jumamosi siyo siku inayofuatia baada ya Ijumaa

5. Kataa pia kuwa Sabato haikuwa siku ya Sabato ya wiki

6. Kataa pia kuwa Sabato ya wayahudi siyo Jumamosi

KWA USHAHIDI
 
wayahudi wenyewe wanahabudu siku ya jumamosi(sabato) hebu tuambie siku ya saba ni siku gani?
unatoa povu jingi halfu unatuacha njia panda
Na umuambie Yesu mwenyewe alisema wokovu unatoka kwa wayahudi

YN. :4:22
Ninyi mnaabudu msichokijua; sisi tunaabudu tukijuacho; kwa kuwa wokovu watoka kwa Wayahudi.
 
Hii ni picha ya KALENDA ya simu. Je ni siku ipi imeanza kwenye orodha? ni jumapili au Jumamosi? View attachment 927170
acha uzombi wewee.... unaonekana hujitambui kabisaaa...
achana na hayo mambo yako ya kalenda za wazungu.. hebu wewe mwenyewe hapo ulipo anzakuitaja wiki hii kwa kiswahili nikusikie alafu unijibu hili swali..
ukianza kuhesabu namba unaanza na mojaaa au mbili?
kisha uniambie MOSI inamaanisha nini?
 
Acheni watu waabudu wanavyojisikia kutokana na wanachoamini. Hizi dini zimeletwa kumpumbaza mtu mweusi tu.

Inasikitisha sana kuona tunapumbazwa na vitu vya aina hii.

Hakupumbazwa na dini tulizoletewa! Kwani dini ndio zilituletea mila za kama za wakerewe za kutakasana eti ili kuondoa mikosi ya kifo? Ni dini ndio zilituletea imani kwamba mkeo akichukua kipande cha nyama na kukisokomeza katika uchi wake kwa muda na kisha kukitoa na wewe kukila basi hutamwacha kamwe?
 
Unataka nikupe ushahidi Wa andiko kwamba Ellen White aliwahi kupiga ramli ya kurudi kwa Yesu mwaka 1885? Au unataka nionyeshe ni fundisho gani kati ya 28 munayoiamini? Swali hili linaonyesha kwamba huijui historia yako na huelewi maana ya historia. Kwa hiyo, kama kuna mambo ya hovyo waanzilishi wenu waliwahi kuyafanya na baadaye mumeamua kuachana nayo hilo nalo unataka uthibitisho kama jambo hilo ni miongoni mwa mambo 28 munayoyaamini? Mambo mfanye nyie na kisha muyakimbie halafu unataka mimi nikupatie ushahidi. Kwani Ellen White alikuwa anafanyia usabato kisiwani ambako hakukuwa na watu wakiona au kusikia akilaghai watu kwamba YESU angalirudi Mwaka 1885?
Mbona unakimbia?.. Unajua kuwa UONGO ni tabia ya SHETANI na yeye ndiye baba wa uongo?... Dhibitisha hapa kwamba.. WASABATO WANAFUNDISHA TAREHE YA KURUDI YESU.

Kisha tuendelee hiyo hoja unayotaka kuanzisha... Maana hata hiyo nayo nina uhakika utakimbia tu..
 
Kwani kuna mtu kakuzuia kuwa myahudi, usitulazimishe wote tuwe wayahudi. Sabato ni siku ya saba inategemea umemua kuhesabu kuanzia wapi
Yeah ni kweli kabisa. Sabato inaweza kuwa siku yoyote ile. Kwenye Biblia majina ya siku hayakutajwa bali waliandika ikawa asubuhi ikawa jioni siku ya kwanza. Sasa kujua ipi ilikuwa ni siku ya kwanza, ndio taabu!
 
Mbona unakimbia?.. Unajua kuwa UONGO ni tabia ya SHETANI na yeye ndiye baba wa uongo?... Dhibitisha hapa kwamba.. WASABATO WANAFUNDISHA TAREHE YA KURUDI YESU.

Kisha tuendelee hiyo hoja unayotaka kuanzisha... Maana hata hiyo nayo nina uhakika utakimbia tu..

Sasa subiria Mkuu. Kumbe unafikiria mimi ni mtu Wa kuunga unga mambo. Ujue hamko kisiwani. Mambo yenu ya upinga Kristo yako wazi kama matako ya Bata.
 
Kwa mtazamo huo, hata UWEPO WA MUNGU kwako ni "fiction". Kwa hiyo mimi nawewe ni kama maji na mafuta. Mimi biblia ndiyo kitabu ninachokiamini 100% na ushahidi wa mambo yote natumia biblia, hata Yesu alitumia ushahidi wa biblia....

1. Tatizo sio langu Bali waliokufunga kwamba historia sio sehemu ya Biblia au neno la Mungu. Munaikubali historia pale yanapokuja mambo ya wakatoliki ila yanapoja yenu mnadai maandiko ya Biblia.

2. Mlipoanza kupotoshwa ni pale mlipofundishwa kwamba mambo ya Mungu ni Yale kutoka katika Biblia na Lesson tu. Kwa nini hutaki kuingia kwenye Online Library usome upate ukweli jinsi Biblia ilivyoandikwa na jinsi Vitabu vyake mbalimbali ilivyotokea kuwekwa katika Kitabu kimoja tu.
 
ACHA KUKOMAA NA DINI ZA WAKOLONI MKUU!

.. Ikawa jioni ikawa asubuhi siku moja... Mwanzo 1:5..Ikawa jioni ikawa asubuhi... Mwanzo 1: 8, 13, 19, 23, 31.
SIKU INA MASAA MANGAPI??? JE, SIKU HIZI ZA LEO, MFANO IJUMAA, JUMAMOSI, JUMAPILI ZILIKUWAPO TOKA ZAMA ZILE?? KALENDA ZILIKUWEPO???
MAANA BIBLIA INATAJA SIKU KWA NAMBA NA SIO KWA MAJINA KAMA NYIE WASABATO. ILIKUWAJE NYIE MKAIPA JUMAMOSI NAMBA YA SIKU YA MWISHO (7)??? JUMAPILI SIKU YA KWANZA YA JUMA NK??
HAKUNA MSTARI WA BIBLIA UNATAJA SIKU KWA MAJINA ZAIDI NI NAMBA TU ILA NYIE MMEAMUA KUZIPA MAJINA AMBAYO NI YA KILEO, POSSIBLY MNAJIPA NAFUU.
LIPO JUU YA UWEZO WAKO NDGU.POLE
 
Miafrika akili zetu zilijazwa kamasi sana. Kutwa kucha kubishania mambo ya dini ambazo hata hazina chimbuko la Uafrika. Acheni ujinga na Utumwa wa Kubishania mara Ukristo na Uislamu hizo ni imani tu tuheshimiane bila kukwazana maaana mwishoe huwa tunamwaga damu. Huuu nao nia aina fulani ya Ujinga na Ukichaaa. Marx alisema RELIGION IS THE OPIUM OF THE PEOPLE. Ama kweli....
Sisi ndio Africa bana tunaamini vya kwao kuliko vyetu ndio maana walitutawala
 
Sijasema naamini nasema Quran inaitambulisha Jumamosi kama siku ya saba ya juma.
Kama unakubali huo utambulisho si ndio unakubali kwamba ni mojawapo ya vyanzo authentic juu ya Sabato au? Shetani aliwahi kumwambia Yesu mambo yaliyoandikwa katika maandiko ya kale. Je,Yesu aliwahi ku-acknoledge Shetani kama authentic source au reference?
 
Back
Top Bottom