Mwanadareslam
Senior Member
- Aug 19, 2014
- 139
- 117
Mbona mnatuchanganya akili sasa kama Ijumaa,Jumamosi na Jumapili sio sabato tushike lipi?maana tukisema jumamosi mnasema ooh jumapili ndio sabato,haya tukikubali kama sabato ni jumapili mnasema tena ooh sabato ni ijumaa haya tukisema tena ni ijumaa mnasema cjui al khamees kwa kiarabu maana yake ni siku ya sita....Msiwe mnaleta maswali ambayo majibu yake hamna...acheni watu na imani zao....