Naona unailisha maneno biblia kwa tafsiri yako potofu lakini uongo wa pili unasema huko mbinguni haitakuwepo IsayaAcheni kudaganyana. Sabato maana yake ni pumziko haikumaanisha siku hapa. Maana yake waweza Sena imesalia raha ya pumziko kwa watu wa Mungu. Usimaanishe kuwa mbinguni kutakuwa na siku maalumu ya kuabudu kwa jina la sabato.
Kwann uende kula hotelini chakula kilichopikwa na mtu ambaye hakutunza Sabato ya kihuni ya kiyahudi...,?
Acheni kudaganyana. Sabato maana yake ni pumziko haikumaanisha siku hapa. Maana yake waweza Sena imesalia raha ya pumziko kwa watu wa Mungu. Usimaanishe kuwa mbinguni kutakuwa na siku maalumu ya kuabudu kwa jina la sabato.
Fanya maamuzi yoyote na utakuwa uchaguzi wako kwa kuwa sasa unajua kuwa "Sabato ya Biblia ni Jumamosi"......
(INFORMED DECISION MAKING)
Na mimi pia nitakuwa nimefanya wajibu wangu wa" kupaza sauti " kukuhubiria habari njema...
Mama huyu katuachia matatizo makubwa...Wasabato bana! Sijui yule mama aliwaroga kwa uchawi gani! Ellen white big up huko uliko maana duniani umetuachia matatzo makubwa sana
Amri ya nne (kutoka 20:8-11) imataja neno "siku" mara nyingiAcheni kudaganyana. Sabato maana yake ni pumziko haikumaanisha siku hapa. Maana yake waweza Sena imesalia raha ya pumziko kwa watu wa Mungu. Usimaanishe kuwa mbinguni kutakuwa na siku maalumu ya kuabudu kwa jina la sabato.
Naona unailisha maneno biblia kwa tafsiri yako potofu lakini uongo wa pili unasema huko mbinguni haitakuwepo Isaya
ISA. :66:22
Kama vile mbingu mpya na nchi mpya, nitakazofanya, zitakavyokaa mbele zangu, asema BWANA, ndivyo uzao wenu na jina lenu litakavyokaa.
ISA. :66:23
Na itakuwa, mwezi mpya hata mwezi mpya, na sabato hata sabato, wanadamu wote watakuja kuabudu mbele zangu, asema BWANA.
Mungu anasema itakuwepo sabato na tutamuabudu katika siku hiyo
Wewe ndiyo unajidanganya mwenyewe Amri ya nne (kutoka 20:8-11) imataja neno "siku" mara nyingi View attachment 927898
[emoji848]Katika wiki hatuna siku inaitwa "siku ya sabato" labda kwa kama ninyi mnaishi sayari ya Mars. Tunazo siku Jumatatu, Jumanne, Jumatano, Alhamisi,Ijumaa,Jumamosi na Jumapili. Hiyo yako iko wapi hapo?
Mama huyu katuachia matatizo makubwa...
Endelea kufata na kuukumbatia upagani wa ROMAKatika wiki hatuna siku inaitwa "siku ya sabato" labda kwa kama ninyi mnaishi sayari ya Mars. Tunazo siku Jumatatu, Jumanne, Jumatano, Alhamisi,Ijumaa,Jumamosi na Jumapili. Hiyo yako iko wapi hapo?
Endelea kusubir dominica ni JehanumElimu Elimu Elimu. Kwa hiyo,utabiri Wa Nabii Isaya haujatimia bado? Kwa akili zenu mnafikiria ufunuo Wa Agano la kale haujatimia hadi leo isipokuwa mambo hayo tuyatarajie siku zijazo? Ama watu wangu wanaangamia kwa maarifa ya kumlika na kibatari.
Endelea kukumbatia mapokeo ya UPAPAYaani kwa kulishana matangopori hawajambo. Sabato kwa kiebrania Shabbat ina maana ya pumziko. Wao wamedandia na kutoka na tafsiri ya siku.
Aliyeleta sabato ni MunguWasabato bana! Sijui yule mama aliwaroga kwa uchawi gani! Ellen white big up huko uliko maana duniani umetuachia matatzo makubwa sana
Endelea kufata na kuukumbatia upagani wa ROMA
USIACHE NA KUABUDU YALE MASANAMUView attachment 927967