Siku ya kwanza kuchepuka nililia machozi

Siku ya kwanza kuchepuka nililia machozi

Hapa sasa ndiyo nashindwa kuwaelewa wanawake!!
Alikulaghai vipi wakati wewe ni mtu mzima mwenye akili timamu?

Ulipenda mwenyewe uchepuke kwa tamaa zako ,pia kulia na kuondoka haikusaidia kitu sababu ushatombw*******()
kama ungefikiria hayo usingethubutu kuvua chupi na kunyegeka kwa jamaa.

unaigiza tu wewe.
Ni sawa lakini sikurudia tena na huyo jamaa
 
Sasa hivi hata nikiguswa na jani nashtuka kabisa ,nikifikiria Maneno anayoniambia G sifikirii kabisa kuchepuka,ananipenda ananipa mapenzi yote,ananitunza,anataka niwe na furaha muda wote,hata sijaribu kabisa tumefanya zamani inatoshaaa
 
Habari wanajamvi

Hiki kisa kimewahi kunikuta kwenye maisha yangu,siku ya kwanza nachepuka nililia machozi.

Ilikuwa hivi,kipindi hicho nilikuwa kwenye mahusiano na kaka mmoja niliyekuwa nimempenda sana,lakin kuna kaka mwingine alinilaghai kwa maneno na vipesa nikajikuta nimemkubalia
Siku naenda na huyu mpenzi mpya faragha tukiwa sita kwa sita,baada ya round ya kwanza kumalizika,SMS ilingia kwenye sim yangu,kuangalia alikuwa mpenzi wangu "baby wangu uko wapi"

Ghafla nilishikwa na kitu Fulani kilichoniingia mwilini,nikahisi kutomtendea haki mpenzi wangu,nikaanza kububujikwa na machozi,jamaa akawa ananiuliza kulikoni,nikamwambia naumwa,ila hakuona wakati nasoma ile SMS alikuwa bafuni
Nililia nikaamka nikavaa nguo,nikachukua mkoba wangu na kuondoka,hela alizokuwa amenipa nikamrushia.Tangia siku hiyo sikurudiana na huyo mkaka,SMS zake sikumjibu,wala kupokea sim yake

Je wewe imewahi kukuta hali hiyo?
Kuchepuka ni kama kula nyama ya mtu,ukishaonja mara moja huwezi kuacha!!
 
Halaf unakua unaona kama anakuona au anakuchungulia dirishani,huwa inauma sana,
Niliwah kuachana na mtu nikapata mpenzi mpya heeheh lakin nikawa nawaringanisha naona yaan nimeshuka daraja,kutomba anajua ila nilikuwa nikifanya nae akili yote inamuwaza mpenzi mwingine huwezi amini nilikuwa namtaja jina yule bwana angu wa zamani ,nashukuru sasa ashanitoka na nikifanya wala simfikirii tena
[emoji3] [emoji3] hilo nalo jambo my!!
 
We utakuwa unatokea kigoma au sijui wapi?? Mdada Wa mjini aache pesa?? Haiwezekani kabisa.
Amini usiamini,imewahi kunitokea,enzi hizo nikiwa 23 yr,nilikuwa nikimpenda mtu,kweli napenda kisawa sawa
 
Halaf unakua unaona kama anakuona au anakuchungulia dirishani,huwa inauma sana,
Niliwah kuachana na mtu nikapata mpenzi mpya heeheh lakin nikawa nawaringanisha naona yaan nimeshuka daraja,kutomba anajua ila nilikuwa nikifanya nae akili yote inamuwaza mpenzi mwingine huwezi amini nilikuwa namtaja jina yule bwana angu wa zamani ,nashukuru sasa ashanitoka na nikifanya wala simfikirii tena
Ina maana huna tafsida? mambo gani haya kunyegeshana asubuhi?.. sio powa
 
Back
Top Bottom