Siku ya kwanza kuchepuka nililia machozi

Siku ya kwanza kuchepuka nililia machozi

Ulilia machozi kwasababu uliingiliwa bila vilainishi ukasababishiwa michubuko full stop.
 
Habari wanajamvi

Hiki kisa kimewahi kunikuta kwenye maisha yangu,siku ya kwanza nachepuka nililia machozi.

Ilikuwa hivi,kipindi hicho nilikuwa kwenye mahusiano na kaka mmoja niliyekuwa nimempenda sana,lakin kuna kaka mwingine alinilaghai kwa maneno na vipesa nikajikuta nimemkubalia
Siku naenda na huyu mpenzi mpya faragha tukiwa sita kwa sita,baada ya round ya kwanza kumalizika,SMS ilingia kwenye sim yangu,kuangalia alikuwa mpenzi wangu "baby wangu uko wapi"

Ghafla nilishikwa na kitu Fulani kilichoniingia mwilini,nikahisi kutomtendea haki mpenzi wangu,nikaanza kububujikwa na machozi,jamaa akawa ananiuliza kulikoni,nikamwambia naumwa,ila hakuona wakati nasoma ile SMS alikuwa bafuni
Nililia nikaamka nikavaa nguo,nikachukua mkoba wangu na kuondoka,hela alizokuwa amenipa nikamrushia.Tangia siku hiyo sikurudiana na huyo mkaka,SMS zake sikumjibu,wala kupokea sim yake

Je wewe imewahi kukuta hali hiyo?
Vipi siku ya pili..!
 
Nakataa kabisa,mim nikiwa sina mtu maalumu nafanya for fun tu lakin nikipata mtu anaeleweka na ananipenda sana wala sitoki tena
Ukiwa huna mtu maalum?ha!kwahyo Kuna nyakati huwa unagongwa na yeyote tu na Kuna wakat unakuwa na mtu maalum?duh,ndio zile nightstand na daystand?Yan mchiz akikustua tu unaenda kuliwa then kila mtu anaendelea na issue zake?we kiboko inaonekana una roho nzuri
 
Yote kwa yote lazima jamaa pia umuweke kwenye list ya walio. ..Ku . .to ..mba ,
 
Yaani huwa nashindwa kuwaelewa wanawake sana.....hivi ni nani aliyewaroga? Eti umerubuniwa, mtu mzima mwenye akili timamu anarubuniwa kweli? Wewe cutelove nahisi si mtoto wa miaka 9 mpaka urubuniwe kihivyo, sema tu ulitaka mwenyewe kuchepuka. Na kama mnaishi mtaa mmoja na huyo jamaa uliyemkimbia basi juwa kishakuchafua kwa washikaji wa kitaa kuwa hujuwi mchezo na umelikimbia ndombolo lake. Hapo jamaa yako akija juwa kuwa jamaa alikumega ujuwe LAZIMA naye atachepuka tena bila hata huruma kwako atakuonyesha tu hadharani kuwa hauna thamani kwake tena mpaka utajuta mwenyewe kwanini ulichepuka.
 
Kaa ungekuwa mpenzi wangu hakika ningekusamehe ,nimekupenda tabia ,yaani kucheat ni ubinadamu tatizo kujitambua ndo unako kupitiliza.
 
Bila shaka saivi umekua mchepukaji mzoefu kabisa.
 
Back
Top Bottom