Siku ya kwanza kuchepuka nililia machozi

AHAHAHAHAH!
pole aseeh!
GUILTY OR NOT GUILTY
ila jamaa alikulamo!
hilo ndo la muhimu!
 
Nililia nikaamka nikavaa nguo,nikachukua mkoba wangu na kuondoka,hela alizokuwa amenipa nikamrushia.
Nadhani game "halikuwa heavy" otherwise ungeendelea tu huku ukiplan kumfariji baby wako baadae.
 
sasa kulia kulikuwa kuna saidia nini wakati umesha Tiwa .. ungelia kabla hujatiwa ningekuona wa maana Kidogo
 
Habari wanajamvi

Hiki kisa kimewahi kunikuta kwenye maisha yangu,siku ya kwanza nachepuka nililia machozi.

Ilikuwa hivi,kipindi hicho nilikuwa kwenye mahusiano na kaka mmoja niliyekuwa nimempenda sana,lakin kuna kaka mwingine alinilaghai kwa maneno na vipesa nikajikuta nimemkubalia
Siku naenda na huyu mpenzi mpya faragha tukiwa sita kwa sita,baada ya round ya kwanza kumalizika,SMS ilingia kwenye sim yangu,kuangalia alikuwa mpenzi wangu "baby wangu uko wapi"

Ghafla nilishikwa na kitu Fulani kilichoniingia mwilini,nikahisi kutomtendea haki mpenzi wangu,nikaanza kububujikwa na machozi,jamaa akawa ananiuliza kulikoni,nikamwambia naumwa,ila hakuona wakati nasoma ile SMS alikuwa bafuni
Nililia nikaamka nikavaa nguo,nikachukua mkoba wangu na kuondoka,hela alizokuwa amenipa nikamrushia.Tangia siku hiyo sikurudiana na huyo mkaka,SMS zake sikumjibu,wala kupokea sim yake

Je wewe imewahi kukuta hali hiyo?
I thanknGod ulikuwa na hiyo hali. Mungu mkubwa kwakweli. Hakika msamaha ulitoka muda huohuo. Big up sanaaaa
 
Wanawake kuna kitu wanashndwa kuelewa

Kama una mtu umpendae na ukagongwa na mtu mwngne asiye mpenz o mume wako...wew ni malaya tu

Pesa na vingnevyo na sababu tu kuhalalisha tyu kugongwa..!!
 
Habari wanajamvi

Hiki kisa kimewahi kunikuta kwenye maisha yangu,siku ya kwanza nachepuka nililia machozi.

Ilikuwa hivi,kipindi hicho nilikuwa kwenye mahusiano na kaka mmoja niliyekuwa nimempenda sana,lakin kuna kaka mwingine alinilaghai kwa maneno na vipesa nikajikuta nimemkubalia
Siku naenda na huyu mpenzi mpya faragha tukiwa sita kwa sita,baada ya round ya kwanza kumalizika,SMS ilingia kwenye sim yangu,kuangalia alikuwa mpenzi wangu "baby wangu uko wapi"

Ghafla nilishikwa na kitu Fulani kilichoniingia mwilini,nikahisi kutomtendea haki mpenzi wangu,nikaanza kububujikwa na machozi,jamaa akawa ananiuliza kulikoni,nikamwambia naumwa,ila hakuona wakati nasoma ile SMS alikuwa bafuni
Nililia nikaamka nikavaa nguo,nikachukua mkoba wangu na kuondoka,hela alizokuwa amenipa nikamrushia.Tangia siku hiyo sikurudiana na huyo mkaka,SMS zake sikumjibu,wala kupokea sim yake

Je wewe imewahi kukuta hali hiyo?
Hata ukiondoka ni bure tu jamaa mzigo kala point 3 muhimu.
 
Huyo jamaa uliyechepuka nae ni pimbi tu, anakuachaje baada ya bao moja tu?

Kweli jamani, yaani bao moja tu unaenda kuoga.
 
Sasa si tayar ulikuwa umeshato*... ulipoondoka ilisaidia nn sasa?? Ungeendelea tu na umaandazi wako.
 
Back
Top Bottom