Siku ya kwanza kuchepuka nililia machozi

Habari wanajamvi

Hiki kisa kimewahi kunikuta kwenye maisha yangu,siku ya kwanza nachepuka nililia machozi.

Ilikuwa hivi,kipindi hicho nilikuwa kwenye mahusiano na kaka mmoja niliyekuwa nimempenda sana,lakin kuna kaka mwingine alinilaghai kwa maneno na vipesa nikajikuta nimemkubalia
Siku naenda na huyu mpenzi mpya faragha tukiwa sita kwa sita,baada ya round ya kwanza kumalizika,SMS ilingia kwenye sim yangu,kuangalia alikuwa mpenzi wangu "baby wangu uko wapi"

Ghafla nilishikwa na kitu Fulani kilichoniingia mwilini,nikahisi kutomtendea haki mpenzi wangu,nikaanza kububujikwa na machozi,jamaa akawa ananiuliza kulikoni,nikamwambia naumwa,ila hakuona wakati nasoma ile SMS alikuwa bafuni
Nililia nikaamka nikavaa nguo,nikachukua mkoba wangu na kuondoka,hela alizokuwa amenipa nikamrushia.Tangia siku hiyo sikurudiana na huyo mkaka,SMS zake sikumjibu,wala kupokea sim yake

Je wewe imewahi kukuta hali hiyo?
So, uliamua kuliwa kwa hiari yako au ulijikuta kwenya hali gani on that day?
 
Ungengoja tu umaliziwe kukazwa mana ushamwagiwa unakimbia nn tena ni sawa na kula ng'ombe mzima alafu ukimbie mkia.
 
Khaaaa nilishindwaaa kabisa ...
Tulikuwa na mikwaruzano na beb nilikuwa naona anapunguza mahaba(care) kumwambia anadai ubusy +uchovu wa kazi !!!
Nakumbuka siku hiyo nilipanga kabisa kujiongeza maana inawezekana mwenzangu ndo ananipotezea hivyo ,Tupo sehemu nakunywa na huyo kaka mara Beb akaanza kupiga simu nikapunguza sauti kapiga wee roho ikaanza kuniuma nahisi kama yupo pemben ananiangalia mara text ikaingia amendika maneno mazuri [emoji85][emoji85]roho iliniuma saana huku nahic utumbo unavurugika.... ikabidi niage naenda chooni nikabeba pochi yangu nikaondoka zangu ,huyo kaka nikamblock tu maana sikutaka aanze kunilaumu kwanin nmemkimbia ...
Kwahyo ulitaka umzawadie jamaa gegedo takatifu?
 
Habari wanajamvi

Hiki kisa kimewahi kunikuta kwenye maisha yangu,siku ya kwanza nachepuka nililia machozi.

Ilikuwa hivi,kipindi hicho nilikuwa kwenye mahusiano na kaka mmoja niliyekuwa nimempenda sana,lakin kuna kaka mwingine alinilaghai kwa maneno na vipesa nikajikuta nimemkubalia
Siku naenda na huyu mpenzi mpya faragha tukiwa sita kwa sita,baada ya round ya kwanza kumalizika,SMS ilingia kwenye sim yangu,kuangalia alikuwa mpenzi wangu "baby wangu uko wapi"

Ghafla nilishikwa na kitu Fulani kilichoniingia mwilini,nikahisi kutomtendea haki mpenzi wangu,nikaanza kububujikwa na machozi,jamaa akawa ananiuliza kulikoni,nikamwambia naumwa,ila hakuona wakati nasoma ile SMS alikuwa bafuni
Nililia nikaamka nikavaa nguo,nikachukua mkoba wangu na kuondoka,hela alizokuwa amenipa nikamrushia.Tangia siku hiyo sikurudiana na huyo mkaka,SMS zake sikumjibu,wala kupokea sim yake

Je wewe imewahi kukuta hali hiyo?
Hiyo ilikuwa siku ya kwanza kuchepuka, enhe tuelezee siku ya pili ilikuwaje? na sasa je unalia tena au umekuwa mzoefu?
 
Mtoa mada bila shaka kwa ss umeshakuwa profesheno mchepukaji na hulii tena
 
Mtu anaekupenda ukimsaliti lazima ulie tena unamsaliti kwa mtu ambae hafanani nae hata robo.
sema mara nyingi wenye mapenzi hawana pesa... na sisi wanawake na tamaa zetu za pesa ndo hapo nafsi inapokusuta ...unajikuta umekua petro
Yaani lazma roho ikuume[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
kuna clip niliona ya binti anazini na jamaa mwingine mpenzi wake akampigia akapokea dyudyu ikiwa imo tunduni...baada ya kumaliza akaanza kulia.
jamaa wala hakuwa ana habari akawa anakula mzigo hivyo hivyo..
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Huwa nawaonea sana huruma akina dada
Wao wakiamua kupenda wanapenda sana na kwa moyo mmoja .Tatizo ni kwa wanaume kwakweli wanaume wanawatesa sana dada zetu kwa kuwatumia kama burudani.
Ni ngumu sana kukutana na mwanaume anayependa mmoja tu.
Unaachana na mwanaume huyu baada ya kuimizwa sana unatulia kwa muda wa mwaka au miaka unajikuta unaanza kupenda taratibu na unakutana na mwanaume mwingine unaanza kumpenda kidogokidogo unamsimulia mwanaume wako akiyepita alivyo kutenda huyu mpya anasikiliza na anasikitika sana kwa tabia za wanaume
Baada ya miezi mitatu ushampa moyo wako na unaanza kusahau machungu ya x wako huyu mpya anakufanyia kituko kibaya zaidi kuliko wa kwanza either anatembea na mama yako mzazi mdogo wako au shost wako
WANAUME HAKIKA TUNAWATESA SANA AKINA DADA .
POLENI DADA ZETU
Kweli kabisa
 
Habari wanajamvi

Hiki kisa kimewahi kunikuta kwenye maisha yangu,siku ya kwanza nachepuka nililia machozi.

Ilikuwa hivi,kipindi hicho nilikuwa kwenye mahusiano na kaka mmoja niliyekuwa nimempenda sana,lakin kuna kaka mwingine alinilaghai kwa maneno na vipesa nikajikuta nimemkubalia
Siku naenda na huyu mpenzi mpya faragha tukiwa sita kwa sita,baada ya round ya kwanza kumalizika,SMS ilingia kwenye sim yangu,kuangalia alikuwa mpenzi wangu "baby wangu uko wapi"

Ghafla nilishikwa na kitu Fulani kilichoniingia mwilini,nikahisi kutomtendea haki mpenzi wangu,nikaanza kububujikwa na machozi,jamaa akawa ananiuliza kulikoni,nikamwambia naumwa,ila hakuona wakati nasoma ile SMS alikuwa bafuni
Nililia nikaamka nikavaa nguo,nikachukua mkoba wangu na kuondoka,hela alizokuwa amenipa nikamrushia.Tangia siku hiyo sikurudiana na huyo mkaka,SMS zake sikumjibu,wala kupokea sim yake

Je wewe imewahi kukuta hali hiyo?
Lakini si uligongwa tayari? we ni mwehu tu
 
Back
Top Bottom