MUONGOHabari wanajamvi
Hiki kisa kimewahi kunikuta kwenye maisha yangu,siku ya kwanza nachepuka nililia machozi.
Ilikuwa hivi,kipindi hicho nilikuwa kwenye mahusiano na kaka mmoja niliyekuwa nimempenda sana,lakin kuna kaka mwingine alinilaghai kwa maneno na vipesa nikajikuta nimemkubalia
Siku naenda na huyu mpenzi mpya faragha tukiwa sita kwa sita,baada ya round ya kwanza kumalizika,SMS ilingia kwenye sim yangu,kuangalia alikuwa mpenzi wangu "baby wangu uko wapi"
Ghafla nilishikwa na kitu Fulani kilichoniingia mwilini,nikahisi kutomtendea haki mpenzi wangu,nikaanza kububujikwa na machozi,jamaa akawa ananiuliza kulikoni,nikamwambia naumwa,ila hakuona wakati nasoma ile SMS alikuwa bafuni
Nililia nikaamka nikavaa nguo,nikachukua mkoba wangu na kuondoka,hela alizokuwa amenipa nikamrushia.Tangia siku hiyo sikurudiana na huyo mkaka,SMS zake sikumjibu,wala kupokea sim yake
Je wewe imewahi kukuta hali hiyo?
shure trust meMUONGO
Kumkataa shetani ni ushindi mzuri.Hongera sana kwa kuamua jambo jema la kuacha umalayaHabari wanajamvi
Hiki kisa kimewahi kunikuta kwenye maisha yangu,siku ya kwanza nachepuka nililia machozi.
Ilikuwa hivi,kipindi hicho nilikuwa kwenye mahusiano na kaka mmoja niliyekuwa nimempenda sana,lakin kuna kaka mwingine alinilaghai kwa maneno na vipesa nikajikuta nimemkubalia
Siku naenda na huyu mpenzi mpya faragha tukiwa sita kwa sita,baada ya round ya kwanza kumalizika,SMS ilingia kwenye sim yangu,kuangalia alikuwa mpenzi wangu "baby wangu uko wapi"
Ghafla nilishikwa na kitu Fulani kilichoniingia mwilini,nikahisi kutomtendea haki mpenzi wangu,nikaanza kububujikwa na machozi,jamaa akawa ananiuliza kulikoni,nikamwambia naumwa,ila hakuona wakati nasoma ile SMS alikuwa bafuni
Nililia nikaamka nikavaa nguo,nikachukua mkoba wangu na kuondoka,hela alizokuwa amenipa nikamrushia.Tangia siku hiyo sikurudiana na huyo mkaka,SMS zake sikumjibu,wala kupokea sim yake
Je wewe imewahi kukuta hali hiyo?
Huwa nawaonea sana huruma akina dadaSiyo tabia yangu,nilikuwa nampenda boy wangu sana
Sio kweliNaona kawaida sana,maana wanaume wa siku hizi hawana upendo wa dhati,unampenda kumbe ukimpa mgongo ana msururu wa wanawake
Ndo maneno yenu hayaSasa hivi hata nikiguswa na jani nashtuka kabisa ,nikifikiria Maneno anayoniambia G sifikirii kabisa kuchepuka,ananipenda ananipa mapenzi yote,ananitunza,anataka niwe na furaha muda wote,hata sijaribu kabisa tumefanya zamani inatoshaaa
Mbona mi hainisutiMtu anayekupenda ukimsaliti lazima nafsi ikusute haswaaa.
Nipo best, za kupotea?best upo?
kuna kadi !
Wewe si una undugu na shetani.Mbona mi hainisuti
Ila kila saa nikichepuka inakuja sura yako nikila mzigoWewe si una undugu na shetani.
Ww bado hujapata jambajamba, mwanaume hasifiwi hivyoo.Sasa hivi hata nikiguswa na jani nashtuka kabisa ,nikifikiria Maneno anayoniambia G sifikirii kabisa kuchepuka,ananipenda ananipa mapenzi yote,ananitunza,anataka niwe na furaha muda wote,hata sijaribu kabisa tumefanya zamani inatoshaaa
Si unajua vile sisahauliki!!!Ila kila saa nikichepuka inakuja sura yako nikila mzigo